Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

hahahahaah masai kaingia disco yaani wewe hata UJI tu najua ni mtihani

Wewe masai dada,haya sema unataka uji wa nazi,uji wa limao,uji wa mchele,uji wa ulezi,uji wa dona,uji wa unga wa muhogo au uji wa mtama!!
 
Last edited by a moderator:
Asee mimi ningependa nikutanishwe na hawa..
Lizaboni Simiyu Yetu MSALANI..

Huwa napenda sana comments zao hhahaha 😀 ni burudani.. 😉
 
Last edited by a moderator:
Tunataka na minofu ya samaki na kachumbari bila kusahau chachandu ya pilipili na ndimu 🙂

Hahahahaaaa gorgeousmimi,,minofu ya samaki na ndimu sio shida,asubuhi naamkia feri,kingfish ananihusu,,hapo kwenye chachandu nahitaji tution!
 
Last edited by a moderator:
Nilokutana nao wanatosha, japo yupo mmoja huyo...
 
Duhhh,mwana JF yeyote!Hapana,to be honest kuna watu sitamani kuonana nao,unajua kutokana na series ya comments za mtu unaweza kuhisi yukoje!
Ntuzu,,,Itakuwa heshima sana kukutana na wewe mkuu!

Mkuu yeyote Mkuu! Km hii meku Mr Rocky na ile Masai OLESAIDIMU na ile Dreva Yao Mndengereko na Yule mfanyakazi Wa kanji bai utafiti na kijana Tized na chapombe Kaizer na ile paroko Eiyer na Shemeji Mentor na #teamRafiki wote na #teamBazazi wote napenda sn kuonana nao!

Na dada zangu wote mwallu miss neddy Karucee charminglady Heaven on Earth masai dada Kaunga na wengine wooote nawapenda sn na ninapenda sn kuonana nanyi!

Na mume mwenzangu Eli79 napenda sn kuona yeye!
 
asante mkuu, tukutane wote watatu..nitalifanyia kazi mkuu!!
 
Last edited by a moderator:
badiebey, naomba fursa ya kukutanishwa nawe!! Just for a hang out!..once!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom