Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

Ungekuwa hvy bas sueleman angekufa siku ya pili toka anamalizia kuwa t... Wale mabint au mnasemaje wanangu,... Na huyo mungu bas hana msimamo mana ana wivu wa kipuuz au mnasemaje wanangu? Mtoa mada tuonyeshe andiko au mnasemaje wanangu,? Na hilo andiko hatulikubali maana wameandika watu kama sisi au mnasemaje wanangu?
 
Kama nilivyoandika uzi
Hiyo zaburi ndio inasema hivi ? ⏬
Nimetoka kusoma Biblia sasahivi

Dah, kupunguziwa Miaka 5 nayo mbayaaa

Imagine Mungu alikuandikia kuishi Duniani Miaka 100, lakini ukazini na mwanamke nje ya ndoa kama 10 ivi ina maana wewe tuko nawe Kwa Miaka 50 Tu

Jamani ACHENI uzinzi, tuishi milele
Unavuta bangi ?
 
Back
Top Bottom