Ukiwa kama mzazi, ukifahamu mtoto wako anashiriki mapenzi ya jinsia moja utafanya nini?

Pia kuna hizi series za movies muwe nazo makini sana ndiko watu wanajifunzia huko hasa watoto, kuna ile series ya Money Heist ina mambo ya mchele mule ila unakuta dogo anakodolea macho tu, kuna pia games za ngono kwenye hivi vifaa vya internet, simu, tablets, lapy, game consoles n.k watoto wanajifunza vingi huko kwenye platform ya shetani.

Yaani kama una DSTV nyumbani na mtoto ana access nayo, niwashauri tu mjitahidi kuweka child lock ile, wale jamaa wana channels zinarusha makatuni na movies za ubwabwa live sometimes. So dogo akiona ivo atataka ku practice na mtu.. Wafunzeni watoto wa kiume kujitegemea wasikae kutamani mambo yanayokuja tu machoni mwao kirahisi, vijizawadi pia vinawaponza watoto hawa kutobolewa. Wajengeeni hofu ya Mungu wajifunze kumuogopa Mungu wakati wote na references muwape ile Sodom na Gomorrah wajue hilo jambo ni chukizo kabisa mbele za MUNGU na hana huruma nalo.

Usikae na mtoto wa kiume ambae hajui kufua hata soksi zake, hajui kufagia ndani/chumba anacholala, hawezi mazoezi, enzi hizo nakumbuka sie unatumwa dukani mlezi anakwabia natema mate chini yakikauka hujafika utaisoma namba ila wa saiv ni madogo mayai tupu na viburi vimewajaa, wafunzeni kupasua kuni, kokoto, yaani mkeep busy na shughuli za kiume zile za size yake si za kumkomoa, usimpe nafasi ya kwenda kucheza PS au kukaa kwenye TV kuangalia movies za majuu na katuni siku hizi maigizo mengi wanaweka ushoga live kabisa..
 
Kuna mzee mmoja jirani alisema kama ningezaa mtoto alafu likawa shoga kwakweli ninampiga shoka afe tu📣
Hili swala tunalijadili, tunaona vijana wa kiume wanavyoharibika lakini uneshawahi kifikiria likikitokoea kwa mtoto wako utafanya nini?

Kuna mtu ninamfahamu amepata mental break down baada ya kufahamu kijana wake ana boyfriend.
 
Hakuna namna ila kumtoa hapo na kumpeleka kijijini akakutanishwe na wazee wa jadi wamfanyie maswala ya kimila ikiwamo kumjenga kiume akae huko hata miaka mitano. Akitoka huko anaweza kuwa sawa.

Unaweza kumpeleka huko akakutana na mjuba mwengine akaanza kumpiga shimo haya mambo yasikie tu
 
Mambo mengine ni kuomba Mungu ! Sexual Education haifundishwi wala kuzungumziwa kwenye ngazi ya familia matokeo yake mtoto anaanza kufunzwa na ulimwengu.

Nafikiri ni wakati sasa wa wazazi kuwafundisha watoto kuhusu sex na gender lakini pia kuzungumzia kuhusu LGBTQ Yes kuna hiyo Q pia hawa wanasema wanajiona ndani kama watoto ijapokuwa ni watu wazima tayari henceforth wanavutiwa na watoto au vijana ni kama vile pedophiles wamepata kwa kutokea.

Mfundishe mtoto wa kiume ABC za uanaume kuna huyu mwamba anaitwa Jordan Bernt Peterson namkubali sana ni profesa wa psychology yuko vizuri sana kwenye hizi contemporary issues za Sexuality ,Gender na Feminism unaweza kumfuatilia pia.
 
Hili swala tunalijadili, tunaona vijana wa kiume wanavyoharibika lakini uneshawahi kifikiria likikitokoea kwa mtoto wako utafanya nini?

Kuna mtu ninamfahamu amepata mental break down baada ya kufahamu kijana wake ana boyfriend.
Mkuu kuna vitu kuvijadili pia vinatia kichefuchefu na mwili kufa ganzi, mojawapo ni hili ALLAH ATUEPUSHE
 
Mi ni wa kiume na nimewahi kuwa mtoto. Acha ubishi. Sikuzaliwa mtu mzima. Jaribu kusoma kidogo psychology ya watoto wadogo. Information imejaa kwenye web. Watoto ambao wana hatari ya kuwa mashoga ni wale wanaofanyiana katika umri wa balehe. Hawa wana penetrate kabisa na wana experience orgasm. Miaka 4-7 ni curiosity tu mara nyingi. Hakuna penetration na hakuna orgasm.
Yaani jinsia moja ndo unasema wanapitia kipindi cha majaribio,u can't be serious dude
 
Dah changamoto!

Binafsi nimesoma na watu wa LBGT.. wengi sio kwamba wanazaliwa hivyo au ni kuzidi kwa hormones, hapana.. zipo sababu za wao kuwa hivyo... nmekuwa nao karibu na kujaribu kupata views zao na namna ya kubadili nyendo zao..
Bhanunu huyo
 
Worse enough hizi kesi nyingi sana ni mijini hasa Daslama.

Sijui ndio utandawazi au wazazi na walezi wa sasahivi ni Bora na mnahuruma kuliko wa zamani.

Sikuhizi kuna vpind vya watoto hasa cartoons zna promote sana hizi mambo za homosexual,jaribu kuangalia cartoon mbali mbali ambazo znaoneshwa saivi tofauti na zile za miaka yetu.

Mtoto mdogo unampa simu anaingia YouTube, anaingia Instagram anakutana na kina Dulvan, sijui kina Juma Lokole na watu wote wanaoiga mambo ya kike, mwisho wa siku mtoto wa kiume anaona sawa.

Watoto wa kike nao ndio usiseme, mara wapige picha wamebusiana midomo ,mara wananyonyana ndimi, mara wamewekeana mguu juu ya mguu mwingine mara wamelaliana, mara kutekenyana hivi kwann shetan ASIKUSEMESHE jambo kwa mtindo huu.

Watoto wa kiume lazma walelewe kiume ikiwezekana kama ni WA mjini ikifika likizo waende kwa babu na bibi huko Sikonge au Mpitimbi Songea wakalime, wakawinde sio mtoto wa kiume anakaa anachek makatun ya kina Nickelodeon sijui Cinderella na dada zake.

Wakati Niko mdogo nlikuwa nikioga na ndugu zangu bafuni, siku hiyo tuko tunapiga story na wenzangu za visichana pale mtaani ,bi mkubwa akasikia kuanzia hapo ikawa mwisho kuoga pamoja Hadi Leo hii.

Wazazi achen malezi ya kimayai kama kina Irene uwoyaa mnaharibu watoto wenu acheni umagharibi usio na manufaa mtaja pata shida ukubwani
 
Hakuna namna ila kumtoa hapo na kumpeleka kijijini akakutanishwe na wazee wa jadi wamfanyie maswala ya kimila ikiwamo kumjenga kiume akae huko hata miaka mitano. Akitoka huko anaweza kuwa sawa.
Hata huko kijijini hakuna wanaume? Hata ukimpeleka huko ataliwa tu hakuna namna.
 
Nafikiri kuna bwabwa humu limetoa ushauri lakini wadau mmepuuza...

Kuna wakati kuzungumzia hizi maada pia kunachangia kupelekea watu kuanza ufalla wa hvi...

Kuna watu wamekuwa aware na huu upuuzi kwa sababu umeanza kuwa mjadala...

Ni better maada kama hizi ziachwe,,, coz awareness hufanya watu ku try,,,
 
Hili swala tunalijadili, tunaona vijana wa kiume wanavyoharibika lakini uneshawahi kifikiria likikitokoea kwa mtoto wako utafanya nini?

Kuna mtu ninamfahamu amepata mental break down baada ya kufahamu kijana wake ana boyfriend.
Mungu anipishilie mbali na hayo Mambo kwa wanangu ila nahisi nitakuwa mtu wa ajabu kabisa Kama sio kumteketeza sijajua kingine kabisa Cha kufanya zaidi nawaza kuua tu,, mungu atudaidie kwa kweli

Sent from my CPH1933 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom