Ukiwa kama mzazi, ukifahamu mtoto wako anashiriki mapenzi ya jinsia moja utafanya nini?

hii ni kweli kabisa kuna mtu namfahamu kabisa alikuwa shoga karegea alipelekwa kijijini alikaa kama miez mitatu akishughulikiwa,hivi tunavyoongea juzi amefumwa na mtoto wa baba mwenye nyumba akimgegeda uchochoroni
 
Hili swala tunalijadili, tunaona vijana wa kiume wanavyoharibika lakini uneshawahi kifikiria likikitokoea kwa mtoto wako utafanya nini?

Kuna mtu ninamfahamu amepata mental break down baada ya kufahamu kijana wake ana boyfriend.
Namtilia sumu afe..seriously
 
hii ni kweli kabisa kuna mtu namfahamu kabisa alikuwa shoga karegea alipelekwa kijijini alikaa kama miez mitatu akishughulikiwa,hivi tunavyoongea juzi amefumwa na mtoto wa baba mwenye nyumba akimgegeda uchochoroni
 
Nimejaribu sana kuchunguza haya maswala ya mapenzi ya jinsia moja hasa kwa wanaume yanavyoanza, wengi hukiri chanzo ni maisha ya shule za bording, hasa za jinsia moja, sijakataa pengine inaweza ikawa sawa, lkn huko ni kwa kiasi kidogo.
.
.
sababu kubwa sana ni majumbani mwetu huko, unakuta unamlaza mwanao na kijana wa kazi, sijui mjomba sjui binamu, wanalala kitanda kimoja, vijana dam zinatokota, kutongoza watoto wa kike wanaogopa, wanakula vizuri, aisee kwa kiwango kikubwa sana hapa ndipo panapoanzia.
.
.
tabia hizi zikiendelea kwa muda mrefu ni hatari sana, imagine dogo wameanza kuchezeana labda darasa hata la sita, aende mpaka kidato cha nne huko, atakua na hali gani, kwanza hizo tabia akianza woga wa kutongoza watoto wa kike ndo unaongezeka, ni hatari sana!
.
.
kikubwa naona tubadilishe mifumo ya maisha tuliyoyazoea, mama kuwa karibu na mtoto waa kiume, yes wa kiume ongea nae mada za kimapenzi, mtanie tanie, mf. Paul wewe wadada watakua wanajigonga sana, au Paul ukimaliza tuu chuo Oa mwanangu nataman nimwone mwanao, au sifa zile kumwonyesha ni Rijali, au wakat mwingine mpe mbinu hata za kutongoza, hizi aibu za watoto wa kiume na vyakula hivi hisia wanazopata ni kwa kiwango kikubwa, Baba pia mtoto wa kiume awe wa kiume kweli, mtoto wa kiume limekaa kama lischana la nini, mara misuko, mara kapaka hina, kama lipo bzy tengeneza jim nyumbani.. mpe ratiba ya jim na msimamie kweli, mwanaume lazima awe wa kiume hata kimwonekano tuu, akiwa mascular kwa Tanzania atatongozwa na madem, yaan dogo ajazie madem wamwache hamna hio,
.
.
na kikubwa DINI ifuatilieni, sikuhizi unakuta baba na mama wanaenda kanisani wamewaaçha madogo nyumbani, hata hawaulizi sababu, tuwafuatilie sana madogo.
.
.
mwisho nirudi kwenye mada, kiukweli usiombe yakukute aibu, na majonzi hayo unaweza kufa kwa presha, nashauri kama yametokea, mhamishe dogo eneo, mpeleke pengine jitahidi upate mshauri wa dini, sosholojia, na saikolojia, kumbadilisha dogo. na kaa nae karibu sana, usimlaumu sana akajihisi mkosaji, mchukulie kama mtoto na mahidi kumtunzia siri na abadilike.
.
.
 
Hili swala tunalijadili, tunaona vijana wa kiume wanavyoharibika lakini uneshawahi kifikiria likikitokoea kwa mtoto wako utafanya nini?

Kuna mtu ninamfahamu amepata mental break down baada ya kufahamu kijana wake ana boyfriend.
God forbid
 
kuna mmoja huyo ukikutana nae huwezi zani kama ni dume. Ni bonge kiasi, tembea ya kike hadi anavotembea na kushika kiuno kama she, sura ni mwanamke kabisa, hips na kiuno vipo

mwanzoni tulitaka kubisha kama ni dume, kumbe alikuwa mwana chuo. Wahivi akipelekwa boarding ya wavulana tupu sijui kama atasalimika na wazazi watakuwa hawampendi.

hivi kama huyu ni amezaliwa hivo au walimchezea sana mpaka akawa kama mwanamke?
 
Aisee ni mtihani mzito sana.
 
Hiyo si sababu mimi kuna jamaa na mjua ana matako makubwa, ila jamaa anatembeza rungu mtaani kama kawa, game hizi EPL tunacheki nae sana .Hasi kudanganye mtu mwl wa kwanza wa mtoto ni mzazi na inatakiwa umjenge akuamini ww mzazi kuliko mtu yoyote yule na umlee ajijue yy ni nani,ukikosea na kujifanya upo busy huna time na mtoto hapo umekwisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom