Ukiwa kama mzazi, ukifahamu mtoto wako anashiriki mapenzi ya jinsia moja utafanya nini?

u lesbian kwan nalo ni tatizo?! si wanapigana deki tu! ila ushoga jaman hata kuutamka bas tu!
shida yangu kubwa ni kuhusu wateja wa mashoga wanakuwa na ugonjwa au ulemavu gani akilini?
Hakuna penye unafuu binti akiisha kuwa lesbian hupoteza matamanio na wanaume pia usagaji ni zaid ya kupigana deki.
 
u lesbian kwan nalo ni tatizo?! si wanapigana deki tu! ila ushoga jaman hata kuutamka bas tu!
shida yangu kubwa ni kuhusu wateja wa mashoga wanakuwa na ugonjwa au ulemavu gani akilini?
Na mimi naona bora hao lesbians maana wanawake wengi walio kuwa wafanya hiyo michezo baada ya miaka kazaa nime wakuta wameolewa au wamezalishwa na u Tom boy kwisha ni wengi wameishia hivyo na walikuwa na michezo hiyo imebaki story ila kwa ndugu zetu mashoga kuacha ime kuwa ni ngumu na wengi wanakufa wakiwa wapo kwenye tabia hiyo.
 
Namfahamu shoga mmoja ambae amelelewa na baba na mama. Nyumban wameshika dini na hakuna malezi ya kimayaimayai, yule mama wakikurya ni wamoto. Amesoma shule za day mpaka O'Level which means alikua kwenye uangalizi wa wazazi. Advance amesoma tusiime.

Ila sasa...
Mungu atusaidie..
Jamaa anafanya kazi taasisi ya serikali yenye hadhi sana. Amesomesha wadogo zake, anatunza wazazi na ndugu. Ameoa 2019 hivyo anatunza familia yake.

Ila pia anatunza na mabwana kwa gharama yoyote ile. Mmoja yupo kimara, alifunguliwa pub ya uwekezaji wa milioni 10.

Mwingine alichukuliwa akiwa chuo kijana mdogo wa 98/97. Amepangiwa chumba, amewekewa kila kitu ndani. Amefunguliwa duka soko la Rehema Nchimbi. Anapewa hela ya kula, ya gym, kuvaa n.k. chamuhimu awe na afya, na nguvu na muonekano. Wana miaka mitatu sasa.

Sasa unajiuliza, hapa wazazi walikosea wapi...
Mungu atuepushe kwakweli. Siwezi hata kuimagin kwa mwanangu. Mungu niepushie mbali
Duuuh
 
Chanzo kikubwa cha ushoga ni wanaume mabasha, hawa ndio wa kudeal nao...

Kilichobaki ni kuwafumua ubongo kwa risasi hawa wanaume...

Hivi mnajua kuna baadhi ya wanasiasa wakubwa tu, pia kuna hawa sijui wachungaji, mitume, manabii, masheikh, maaskofu wengi tu wanakula ndogo kutokana na mikataba ya kishetani waliyojifunga nayo?

Tena hawa watu ndio chanzo kikubwa cha ushoga kushamiri...
mkuu Umenena kweli kabsa.. kama tukiwajua hawa..hatutaweza sali..wala kuswali.. ushoga hauwez isha.. maana wanaowapa jeuri ni watu wakubwa mno..si hawa wa kawaida..
 
Wengi waliokoment ujinga hawana watoto, hawajaoa au kuolewa, hawajui hata bei ya msumari wa bati.
Yaani ukimfukuza mtoto wako kwako kisa tabia yoyote ile basi wewe ni mwovu na mbaya zaidi ya huyo mtoto wako.
 
Worse enough hizi kesi nyingi sana ni mijini hasa Daslama.

Sijui ndio utandawazi au wazazi na walezi wa sasahivi ni Bora na mnahuruma kuliko wa zamani.

Sikuhizi kuna vpind vya watoto hasa cartoons zna promote sana hizi mambo za homosexual,jaribu kuangalia cartoon mbali mbali ambazo znaoneshwa saivi tofauti na zile za miaka yetu.

Mtoto mdogo unampa simu anaingia YouTube, anaingia Instagram anakutana na kina Dulvan, sijui kina Juma Lokole na watu wote wanaoiga mambo ya kike, mwisho wa siku mtoto wa kiume anaona sawa.

Watoto wa kike nao ndio usiseme, mara wapige picha wamebusiana midomo ,mara wananyonyana ndimi, mara wamewekeana mguu juu ya mguu mwingine mara wamelaliana, mara kutekenyana hivi kwann shetan ASIKUSEMESHE jambo kwa mtindo huu.

Watoto wa kiume lazma walelewe kiume ikiwezekana kama ni WA mjini ikifika likizo waende kwa babu na bibi huko Sikonge au Mpitimbi Songea wakalime, wakawinde sio mtoto wa kiume anakaa anachek makatun ya kina Nickelodeon sijui Cinderella na dada zake.

Wakati Niko mdogo nlikuwa nikioga na ndugu zangu bafuni, siku hiyo tuko tunapiga story na wenzangu za visichana pale mtaani ,bi mkubwa akasikia kuanzia hapo ikawa mwisho kuoga pamoja Hadi Leo hii.

Wazazi achen malezi ya kimayai kama kina Irene uwoyaa mnaharibu watoto wenu acheni umagharibi usio na manufaa mtaja pata shida ukubwani
Corporate ladies wakiwa wanakucheki tu

1639403289704.png
 
Namfahamu shoga mmoja ambae amelelewa na baba na mama. Nyumban wameshika dini na hakuna malezi ya kimayaimayai, yule mama wakikurya ni wamoto. Amesoma shule za day mpaka O'Level which means alikua kwenye uangalizi wa wazazi. Advance amesoma tusiime.

Ila sasa...
Mungu atusaidie..
Jamaa anafanya kazi taasisi ya serikali yenye hadhi sana. Amesomesha wadogo zake, anatunza wazazi na ndugu. Ameoa 2019 hivyo anatunza familia yake.

Ila pia anatunza na mabwana kwa gharama yoyote ile. Mmoja yupo kimara, alifunguliwa pub ya uwekezaji wa milioni 10.

Mwingine alichukuliwa akiwa chuo kijana mdogo wa 98/97. Amepangiwa chumba, amewekewa kila kitu ndani. Amefunguliwa duka soko la Rehema Nchimbi. Anapewa hela ya kula, ya gym, kuvaa n.k. chamuhimu awe na afya, na nguvu na muonekano. Wana miaka mitatu sasa.

Sasa unajiuliza, hapa wazazi walikosea wapi...
Mungu atuepushe kwakweli. Siwezi hata kuimagin kwa mwanangu. Mungu niepushie mbali
Huo ni ulemavu hayo sijui malezi ni visingizio tu
 
Hakuna namna ila kumtoa hapo na kumpeleka kijijini akakutanishwe na wazee wa jadi wamfanyie maswala ya kimila ikiwamo kumjenga kiume akae huko hata miaka mitano. Akitoka huko anaweza kuwa sawa.
hii ni kweli kabisa kuna mtu namfahamu kabisa alikuwa shoga karegea alipelekwa kijijini alikaa kama miez mitatu akishughulikiwa,hivi tunavyoongea juzi amefumwa na mtoto wa baba mwenye nyumba akimgegeda uchochoroni
 
😂😂😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom