Ukiwa kama mzazi, ukifahamu mtoto wako anashiriki mapenzi ya jinsia moja utafanya nini?

Hili swala tunalijadili, tunaona vijana wa kiume wanavyoharibika lakini uneshawahi kifikiria likikitokoea kwa mtoto wako utafanya nini?

Kuna mtu ninamfahamu amepata mental break down baada ya kufahamu kijana wake ana boyfriend.
Binafsi nitampeleka kwa Fatuma Karume amfuge
 
Hizi familia baba na mama wote wako busy, unakuta baba ana kikao kazini mpaka saa tatu usiku na mama yuko Ethiopia kwenye mkutano. Watoto wanaangaliwa na wafanyaka kazi wa ndani. Unaweza kuwa na wafanya kazi wa kike lakini kuna dereva wa kupeleka watoto shule. Kumbe dereva anampa pipi na biscuti mtoto wako akitoka shule wanasimama kwake kidogo.
 
Inasikitisha ,Kuna jamaa aliharibiwa Boarding Maua Seminary wakati akiwa Olevel na alifaulu vizuri tu alipata A tisa ,tukakutana Advance akiwa tayari GASHO,Shule za boarding nazo ni machaka ya Lesbians/Gays/LGBT.

Aint Svck a D!ck ,No Homo.
Hasa kwa hawa watoto mayai, unakutana kuna mtu anmsaidia kuweka socks pamoja kitu hukwahi kumfundisha nyumbani.
 
Inasikitisha ,Kuna jamaa aliharibiwa Boarding Maua Seminary wakati akiwa Olevel na alifaulu vizuri tu alipata A tisa ,tukakutana Advance akiwa tayari GASHO,Shule za boarding nazo ni machaka ya Lesbians/Gays/LGBT.

Aint Svck a D!ck ,No Homo.
Uyo kama chuo alikuja kusoma udom ,Basi namfahamu,ila usingeweka jina la shule apo ,ni mtazamo tu
 
Dah changamoto!

Binafsi nimesoma na watu wa LBGT.. wengi sio kwamba wanazaliwa hivyo au ni kuzidi kwa hormones, hapana.. zipo sababu za wao kuwa hivyo... nmekuwa nao karibu na kujaribu kupata views zao na namna ya kubadili nyendo zao..

Wa kwanza ni lesbian and bisexual.. huyu alinambia ni kutokana na manyanyaso ya kingono aliokutana nayo tangu akiwa binti mdg yaliompelekea akachukia wanaume na kuamua kuwa lesbian ili tu askutane na wanaume.. huyu kwa kiasi chake nlifanikiwa kumbadilisha tho wakati mwingine huwa ananiambia anashindwa kusahau lakini namtia moyo .. amekubali kubadilika na kuwa karibu na muumba wake.

Huyu wa pili ni gay.. yeye aliniambia kuwa aliharibiwa na muuza duka jirani yao tangu akiwa kijana mdg!
Na muuza duka yule alivo mshenzi alimharibu kisaikolojia kwa kumwambia kuwa ni mzuri na anafanana na msichana!

Kwa hiyo tangu hapo akaanza kujihisi ni msichana na kuendelea kuharibiwa mpaka akazoea .. hata ukimuona tu unaweza dhani ni msichana! Ameshindwa kubadilika au hajaamua maana ameharibika sana mpaka anasikitisha..

Kuna member mmoja humu namuhisi ni yeye maana wanafanana mpaka miandiko!
 
Hili swala tunalijadili, tunaona vijana wa kiume wanavyoharibika lakini uneshawahi kifikiria likikitokoea kwa mtoto wako utafanya nini?

Kuna mtu ninamfahamu amepata mental break down baada ya kufahamu kijana wake ana boyfriend.
Hapo hamna namna mie ni kumchinja huyo mtoto na kujipeleka kwa polisi mie mwenyewe
 
Mtoto wa miaka minne mfundishe kuosha sahani yake baada ya kula

Miaka sita ajue kufua nguo yake ya ndani pamoja na socks.

Miaka nane ajue kufua sare zake za shule na kutandika kitanda asubuhi.

Hapa hata ukiaga dunia anaweza kukabili changamoto za maisha duniani. Kulea mtoto kama yai ni hasara.

Pia kuwa karibu nae jioni akuekeze yakiyomsibu kutwa nzima. Sasa mtoto wako anasifiwa na kuuza duka kuwa ni mzuri kama binti na wewe huna habari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom