Ukiwa kama mzazi, ukifahamu mtoto wako anashiriki mapenzi ya jinsia moja utafanya nini?

Hili swala tunalijadili, tunaona vijana wa kiume wanavyoharibika lakini uneshawahi kifikiria likikitokoea kwa mtoto wako utafanya nini?

Kuna mtu ninamfahamu amepata mental break down baada ya kufahamu kijana wake ana boyfriend.
Ni kuomba tu mungu atuepushe na hayo majanga aisee
 
Hili swala tunalijadili, tunaona vijana wa kiume wanavyoharibika lakini uneshawahi kifikiria likikitokoea kwa mtoto wako utafanya nini?

Kuna mtu ninamfahamu amepata mental break down baada ya kufahamu kijana wake ana boyfriend.
Huyo ni Mimi kabisaa siwi mnaafiki ntakua mwehu!naomba Allah aninusuru!!
 
Watoto wengi wanapitia kipindi cha majaribio km haya na wala haimaanishi kuwa watakuwa mashoga.
Mkuu enzi zetu michezo ya kujificha inafanywa na wasichana na wavulana Sasa Ukiona wanajificha wavulana kwa wavulana hizo sio dalili nzuri kabisa,, na mwanzo ndiyo huo ukisema kuwa ni kawaida kupitia mitihani hiyo napata uoga kidogo ila akianza ni rahisi Sana kuendelea

Sent from my CPH1933 using JamiiForums mobile app
 
Dah changamoto!

Binafsi nimesoma na watu wa LBGT.. wengi sio kwamba wanazaliwa hivyo au ni kuzidi kwa hormones, hapana.. zipo sababu za wao kuwa hivyo... nmekuwa nao karibu na kujaribu kupata views zao na namna ya kubadili nyendo zao..

Wa kwanza ni lesbian and bisexual.. huyu alinambia ni kutokana na manyanyaso ya kingono aliokutana nayo tangu akiwa binti mdg yaliompelekea akachukia wanaume na kuamua kuwa lesbian ili tu askutane na wanaume.. huyu kwa kiasi chake nlifanikiwa kumbadilisha tho wakati mwingine huwa ananiambia anashindwa kusahau lakini namtia moyo .. amekubali kubadilika na kuwa karibu na muumba wake.

Huyu wa pili ni gay.. yeye aliniambia kuwa aliharibiwa na muuza duka jirani yao tangu akiwa kijana mdg!
Na muuza duka yule alivo mshenzi alimharibu kisaikolojia kwa kumwambia kuwa ni mzuri na anafanana na msichana!

Kwa hiyo tangu hapo akaanza kujihisi ni msichana na kuendelea kuharibiwa mpaka akazoea .. hata ukimuona tu unaweza dhani ni msichana! Ameshindwa kubadilika au hajaamua maana ameharibika sana mpaka anasikitisha..

Kuna member mmoja humu namuhisi ni yeye maana wanafanana mpaka miandiko!
Cocoa stk
 
1639333614946.png

"A 1997 study based on limited variables found no correlation between early childhood (age 6 and under) peer sexual play and later adjustment".
1639333445254.png

Mkuu enzi zetu michezo ya kujificha inafanywa na wasichana na wavulana Sasa Ukiona wanajificha wavulana kwa wavulana hizo sio dalili nzuri kabisa,, na mwanzo ndiyo huo ukisema kuwa ni kawaida kupitia mitihani hiyo napata uoga kidogo ila akianza ni rahisi Sana kuendelea

Sent from my CPH1933 using JamiiForums mobile app
 
u lesbian kwan nalo ni tatizo?! si wanapigana deki tu! ila ushoga jaman hata kuutamka bas tu!
shida yangu kubwa ni kuhusu wateja wa mashoga wanakuwa na ugonjwa au ulemavu gani akilini?
 
Kilichobaki ni kumuomba Mwenyezi Mungu tu, akishakuwa hivyo mzazi unabaki kumwaga machozi tu kila siku iendayo kwa Mungu na kuhisi labda kuna kitu ulikosea.

Tujitahidi tu kufuatilia mienendo ya watoto/wadogo zetu hasa hii jinsi iliyoshika hatamu ili wasije jikwaa kwa mashetani watu.
 
Umakini wa wazazi unahitajika sana kwenye malezi ya watoto,haitakiwi kumuacha mtoto bila supervision, Matron/Patron wawasaidie wazazi kipindi mtoto akiwa shule, supervision ni muhimu kwa 100%, mtoto hatakiwi kulala na wageni, inapendeza kama una ukwasi kila mtoto awe analala kitanda chake(kama chumba kimoja) au chumba chake peke yake.
You are right rafiki
 
Ni moja kati ya swali gumu sana kwanza kulikubali na baadae kulijibu__Sio jambo rahisi kama ambavyo wengi wetu hasa wadau wanavyolichukulia,kikubwa kama mzazi kawanza ni UKUBALIANE na hali hiyo then utafute namna bora ya kumsaidia mtoto wako!!!! Sio rahisi narudia tena lakini ni mchakato endelevu..
 
Alikuwepo jamaa shoga pale geita mwaka 2003-2005, baada ya ndugu wa familia yake kuona aibu inazidi, ilibidi wapange mipango ili wamuondoe duniani

Na kweli mipango ikafanywa ndipo akavamiwa usiku akiwa anatoka kwenye biashara zake nakupoteza maisha

Jina lake la mwanzo linaanzia na herufi "H"
 
Na hakuna kesi hapo!
 
Chanzo kikubwa cha ushoga ni wanaume mabasha, hawa ndio wa kudeal nao...

Kilichobaki ni kuwafumua ubongo kwa risasi hawa wanaume...

Hivi mnajua kuna baadhi ya wanasiasa wakubwa tu, pia kuna hawa sijui wachungaji, mitume, manabii, masheikh, maaskofu wengi tu wanakula ndogo kutokana na mikataba ya kishetani waliyojifunga nayo?

Tena hawa watu ndio chanzo kikubwa cha ushoga kushamiri...

Hii ni point hao ndio wa kudeal nao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom