Ukitaka mdumu urafiki JF, msivuane kifuniko cha utamu

Ukitaka mdumu urafiki JF, msivuane kifuniko cha utamu

Wala msiusishe mambo ya mahusiano hata kama una mahusiano yako humu basi yawe mbali na marafiki zako humu
mkishavuana tu hicho kifuniko cha utamu basiiii urafiki umekwisha...

i thank God for this friend of mine
5 -6yrs bado tunapishana na mishale tu...

Una rafki humu...how many yrs so far

Yote yanawezekana, inategemea na ukweli au uongo mliopeana kabla ya kulana...

Kulana na kuwa marafiki wa kufa na kuzikana au kutokulana na kuwa maadui kama paka na panya...

Mwisho wa siku watu wazima wanaojielewa wanajua kulana ni sehemu ya maisha na haipaswi kuwa chanzo cha uadui...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom