Ukitaka mdumu urafiki JF, msivuane kifuniko cha utamu

Ukitaka mdumu urafiki JF, msivuane kifuniko cha utamu

Wala msihusishe mambo ya mahusiano hata kama una mahusiano yako humu basi yawe mbali na marafiki zako humu

Mkishavuana tu hicho kifuniko cha utamu basiiii urafiki umekwisha

I thank God for this friend of mine

5 -6yrs bado tunapishana na mishale tu

Una rafki humu?

How many years so far?
So unataka tusipate utamu siyo
 
My dear hivyo huku hamna marafiki?
Sijui wanaoweza kufanya hivyo,mi ninachojua humu kunakuchorana tu…ajue habari zako aende inbox kuchat na rafiki yake.Au unaedhani rafiki yako kuwa rafiki na adui yako.Mweee,mi siwezi….hata nikifa siyo kuzikwa tu bali hata taarifa ya kifo changu hamtakuwa nayo.I mean it!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom