Ukitaka mdumu urafiki JF, msivuane kifuniko cha utamu

Ukitaka mdumu urafiki JF, msivuane kifuniko cha utamu

20260418_180424.jpg
 
Wala msihusishe mambo ya mahusiano hata kama una mahusiano yako humu basi yawe mbali na marafiki zako humu

Mkishavuana tu hicho kifuniko cha utamu basiiii urafiki umekwisha

I thank God for this friend of mine

5 -6yrs bado tunapishana na mishale tu

Una rafki humu?

How many years so far?
📌Planet Data bundles was Here
 
Sasa kama utakuwa unapoteza urafiki na watu wote unaovuana nao nguo za ndani, bila shaka unaweza kuwa mwehu. Failed relationship/situationship sio vita.
 
Hamna Dada mkubwa ,muda mwingi nacheka sana post zake za ujinga tena anaandika akiwa siriaz mpaka nawaza hivi , jamaa secretarybird kama ana familia na watoto anawezaje kujiControl na vituko vyake anaonekana mtu wa maana

Ukimkuta siku anaandika vitu vya maana na kutoa ushauri bila kujua post zake za nyuma u aweza kuona bonge la mtu , ila ni mtu safi anayeamua kujichetua muda mwingi kwa kufurahisha kijiwe cha JF tofauti na Maghayo Busu la Kenge ambaye kiuhalisia ni loose Nut kweli dishi halifanyi kazi
Call me Ayatollah secretarybird.
 
Hujaona kurumbembe moja linapigania ugali hapo ukapita nalo😂 linafokafoka.. nina imani ukiliomba ukalipa hata twenty litafunga domo!
Ukianza na verse utamaliza na verse ohoo..!
Huu mtego huu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom