Ukitaka mdumu urafiki JF, msivuane kifuniko cha utamu

Ukitaka mdumu urafiki JF, msivuane kifuniko cha utamu

Wewe mleta mada nini maana ya urafiki wa faida. Hujui mkianza urafiki ndio unaleta hadi wengi kuoana. Kunyanduana na marafiki zangu wa kike hiyo ni kawaida. Kinacho sambaratisha urafiki ni kukopeshana hela masai dada. Kama unabisha mkopeshe rafik yako hela afu uanze kudai. Kwa upande wa hela saidianeni lakin sio kukopeshana nakwambia
 
😂😂😂

Halafu wala sio shida ni kukulana, au huo urafiki.
Tatizo wengi wenu humu ni WANAFIKI na UMALAYA!

Unafiki nauweka hapo kwenye Urafiki, na Umalaya nauweka hapo kwenye Kukulana.

Nasemaje, tumianeni chiu hizo si zenu bhana, sisi wengine macho yetu kazi yake kuziona.
😂😂😂

Udugu Lamomy njoo hukuu.
 
Mdogo wangu ujue umefanya nianze kumfuatilia huyo secretarybird. 😂

Hivi Sifa zako kwake zinakuwaga serious au unamtania. 😀
Hamna Dada mkubwa ,muda mwingi nacheka sana post zake za ujinga tena anaandika akiwa siriaz mpaka nawaza hivi , jamaa secretarybird kama ana familia na watoto anawezaje kujiControl na vituko vyake anaonekana mtu wa maana

Ukimkuta siku anaandika vitu vya maana na kutoa ushauri bila kujua post zake za nyuma u aweza kuona bonge la mtu , ila ni mtu safi anayeamua kujichetua muda mwingi kwa kufurahisha kijiwe cha JF tofauti na Maghayo Busu la Kenge ambaye kiuhalisia ni loose Nut kweli dishi halifanyi kazi
 
Wala msihusishe mambo ya mahusiano hata kama una mahusiano yako humu basi yawe mbali na marafiki zako humu

Mkishavuana tu hicho kifuniko cha utamu basiiii urafiki umekwisha

I thank God for this friend of mine

5 -6yrs bado tunapishana na mishale tu

Una rafki humu?

How many years so far?
Si tulisign non disclosure agreement.

Sasa umekiuka Masharti milioni mia moja ina kuhusu kama fine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom