Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

Daladala USA hakuna mkuu wangu. Ni kampuni moja tu ya serikali ndio inaoperate buses. Mfano let us say ile ya mwendo kasi ndio ingekuwa kampuni pekee ya mabasi dar es salaam nzima.. hakuna mtu binafsi anafanya daladala. Japo watu binafsi wanafanya uber, taxi nk. Hio unaweza sana tu. Japo unahitaji SSN.
Huko maisha magumu aisee
 
Mhhhh Mkuu. Hivi na Marekani wana elimu ya bure? Nadhani ni kwa baadhi ya nchi za Ulaya ndiko kuna elimu bure. Mfano nchi za Scandnavia kama Sweden, Norway, Finaland, Denmark. Ila elimu ya Marekani unalipia kama sijakosea.
Kuna Mtu wangu wa karibu kabisa anasoma bure halipii ila sijamuuliza anachukua course gani na ya muda gani.

Marekani pia kama hali yako ni ya chini /maskini kuna form unajaza unapewa pesa ya kula kila Mwezi.
 
Kuna ndugu zangu mtu na Dada yeke walifight sana wakenda state baada ya kumaliza A level Miaka ya 90, mpaka leo hawajatoboa Dada mtu alipata tatizo la akili kwasababu ya sonoma , wakamrudisha TZ mpaka leo hayupo sawa, Kaka mtu alishindwa kurudi kwenye msiba wa mama yake kwa wakati ila yeye aliamua kuoa Mke wa Kizungu

Ndugu yangu nwingine alienda Uingereza yeye aliambulia kurudi na tv kubwa sana sijui nchi 80 ile, na kuwa mraibu wa ulevi
 
Unaweza ku-challenge exam.. na usisome. Wabongo kinachowaangusha ni English proficiency. Inatakiwa uwe unajua Ngeli kweli kweli. Bila hivyo hata huo mtihani wa kupata RN license ya USA utafeli tu.
Wabongo wengi hiyo lugha hawapendi kijifunza
 
Duuh aise hongera sana mkuu kushinda hii ni bahati kweli kweli! ,
ila ukishinda na kupewa karatasi haina longo longo...
Mimi naamni life lako huko sasa ni bora x3 kuliko ulivyokuwa hapa bongo ... just imegine watoto wanasoma mpaka high school bure kabisa elimu ya marekani..!
Hii huwa ni nzuri sana, na wanageria wengi hucheza sana lottery na wanashinda, wanapata makazi us
Ila watanzania wengi hawachezi hii bahati na sibu au pengine hawajui.
 
Kuna ndugu zangu mtu na Dada yeke walifight sana wakenda state baada ya kumaliza A level Miaka ya 90, mpaka leo hawajatoboa Dada mtu alipata tatizo la akili kwasababu ya sonoma , wakamrudisha TZ mpaka leo hayupo sawa, Kaka mtu alishindwa kurudi kwenye msiba wa mama yake kwa wakati ila yeye aliamua kuoa Mke wa Kizungu

Ndugu yangu nwingine alienda Uingereza yeye aliambulia kurudi na tv kubwa sana sijui nchi 80 ile, na kuwa mraibu wa ulevi
Nyie ni kabila gani?
 
Mhhhh Mkuu. Hivi na Marekani wana elimu ya bure? Nadhani ni kwa baadhi ya nchi za Ulaya ndiko kuna elimu bure. Mfano nchi za Scandnavia kama Sweden, Norway, Finaland, Denmark. Ila elimu ya Marekani unalipia kama sijakosea.
Ni Bure kuanzia kindergarten Hadi high school..
Utata ni chuo kama hujapata scholarship kwenda college ni ghali sana
 
Chagga leta hoja
Wachaga wa aina gani hao, maana kijijini kwetu kwetu walioenda kule wametoboa sana kimaisha na wanaendeleza kijiji kama vile kusaidia ujenzi wa shule, hosp.
Watoto shule nk.
Sasa hao ndugu zako ni wachaga wa aina gani?
 
Hii huwa ni nzuri sana, na wanageria wengi hucheza sana lottery na wanashinda, wanapata makazi us
Ila watanzania wengi hawachezi hii bahati na sibu au pengine hawajui.
Wanaija wana miaka kadha hawaruhusiwi kucheza, sababu ya idadi yao kwa kipindi cha miaka kadhaa mfululizo ilizidi ile asilimia inayotakiwa , so waliswastopisha, maybe kuanzia mwakani wanaweza ruhusiwa kucheza tena baada ya muda mrefu..

Walifanya hivyo ili na watu wa mataifa mengine wapate chance na ndio maana zikaitwa diversity .

Yes wabongo wengi hawana taaarifa..

Wengne ni zile mentality za umasikini jeuri "bongo ndio kila kitu"
 
Kuna ndugu zangu mtu na Dada yeke walifight sana wakenda state baada ya kumaliza A level Miaka ya 90, mpaka leo hawajatoboa Dada mtu alipata tatizo la akili kwasababu ya sonoma , wakamrudisha TZ mpaka leo hayupo sawa, Kaka mtu alishindwa kurudi kwenye msiba wa mama yake kwa wakati ila yeye aliamua kuoa Mke wa Kizungu

Ndugu yangu nwingine alienda Uingereza yeye aliambulia kurudi na tv kubwa sana sijui nchi 80 ile, na kuwa mraibu wa ulevi
Tabia za mtu hazitamuokoa katika maisha , inabidi ubadili tabia zako na mentality yako.. bila hivyo utaharibikiwa tu hata ukimbilie wapi..!!

Wapo waliobaki hapa bongo wameharibikiwa kimaisha ile mbaya ..na wanaishia kulaumu ndugu au wabongo wenzao wamewaroga
 
Wanalipa kuanzia $100 kwa saa na kuendelea.. unaweza piga masaa hata 80 kwa wiki ukitaka.. manake ukiamua unaweza pata $8000 kwa wiki. Wakitoa taxes.. unabakiwa na $6000 mfukoni sawa na karibia 14 million tshs. Binafsi nina investment programs nyingine, kwa hio sifanyi kazi hivyo. Lakini $12000 to $15000 per month unaipata kirahisi sana tu pia as a travel RN.
Treavel RN ni nani, travel registered nurse or na why unaitwa travel?

Na ulipata hiyo professional bongo au huko huko?
 
Scholarship zina ushindani mkubwa , kikubwa n kujiaanda kisawa sawa , usifanye tu kama unajaribu bahati nasibu, bali fanya kweli !

Mimi ningemshauri mtu anayetafuta scholarship apply kote ie, US, Canada , UK , EU..
Hi ni kwa level ya masters au bachelor?
 
Safi sana mkuu ngoja tupambane huenda na sie tukapata. Scholarships za US tamu sana. Yani unakuta ni full package, unapata salio utadhani unafanya kazi. Changamoto kama unavyosema ni ngumu kupata. Ngoja tupambane lakini..
Hi ni kwa level ya masters au bachelor?
 
Ahsante mkuu. Sema Canada huwa naona kama ngumu kupata full scholarship. Nyingin unakuta zina cover baadhi tu ya mambo. Then ujilipie mambo mengine. Sasa kwa mie mtu wa Namanyere kupata hiyo pesa ya kuongezea ndipo mziki ulipo. Halafu Canada siku hizi pameanza kuwa pagumu sababu ya immigrants wamekuwa wengi. Watu wa Cadana wanatamani kwenda US. Sasa ndio maana nikaona labda target iwe US moja kwa moja.
Hi ni kwa level ya masters au bachelor?
 
Wanalipa kuanzia $100 kwa saa na kuendelea.. unaweza piga masaa hata 80 kwa wiki ukitaka.. manake ukiamua unaweza pata $8000 kwa wiki. Wakitoa taxes.. unabakiwa na $6000 mfukoni sawa na karibia 14 million tshs. Binafsi nina investment programs nyingine, kwa hio sifanyi kazi hivyo. Lakini $12000 to $15000 per month unaipata kirahisi sana tu pia as a travel RN.
VETA ya marekani ada shi ngapi?
 
Hi ni kwa level ya masters au bachelor?
Sana sana ni Masters Mkuu, .. ila pia kuna kuwa(ga) na program mbalimbali za culture exchange na maswala ya lugha .. inaweza pata scholarship ya mwaka kujifunza lugha.. hata china hzi wanatoa
 
Screenshot_20220318-151141_Instagram.jpg

Hzi kazi wazawa baadhi wanaziona mbaya ila immigrants wanakomaa nazo sana mtu anapigika hata miaka 2 anasave, anasoma ...

akitoka hapo qkafanya uwekezaji ..unakuta wanawazidi hata wazawa
 
Back
Top Bottom