Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Ndio nataka kujua leo ili nitembeze kibuti....😀😀
A shit pipe dream➡➡ It was nice meeting you fellow dreamer
Wifi usiseme kwa kaka.
Ndoa bado naipenda.
Ndio ninalo!Ndio mimi mwizi.
Una la kuongeza?
Kweli wewe libeva,kama vya akina sekigudi wanaopandisha vilima vya Ipogolo!
hii ni menu ya wapi?
SMART TV detected here...........mmh yangekuwa yanaliwa, ingekuwa faida zaidi. Lakn hayana faida yoyote zaid ya kuvutia tu bas.. Chunga tamaa mbaya! yan we umekaa kuwaza ujinga tu, sasa mfno kwa cku huyo jamaa anaamka mara ngap!
Six packs tu mie hoi....
Teh Teh nitonye omsherere gilesi.....Kusema ukweli nionapo binti aliyejazia mzigo yaani makalio huwa napata shida na yule jamaa aliyenyimwa kofia kichwani anaanza kupiga mikele.
Ndipo nilipogundua ugonjwa wangu kuwa ni wa maeneo hayo. Najua kila mwanaume anakaugonjwa wake wengine kifuani, wengine sura na wengine hata kichogo.
Embu tupieni kaugonjwa kenu pengine hata mimi naweza badili upepo