jaman, niliwai omba ushaur juu ya shost yang, alkuwa anajisaidia choo kigum ushaur kauzingatia kwa kula ma2nda xna papai, parachch, maj na juice ya ukwaju lakn tatzo bado choo chake ni chasda af kigum kinachotoka kwa maumiv anahc kama kapata kidonda njia ya haja kubwa na pia anadai anakauvimbe kadogo akigasuka kanauma kanapelekea kupata maumiv hta anashndwa kukaa, anaomba ushaur je tatzo hlo linatokana na kutoa cho kigmu? Tiba yake ikoje? Pia mziZi alishaur a2mie mafta ya habisoda yanapatkana wap!
Habari JF Doctors
Msaada tafadhali, Mdogo wangu wa kiume umri 27 ameota nyama anadai siyo kubwa sana ni ndogo karibia na sehemu ya njia ya haja kubwa, ana lalamika maumivu makali na tumbo lina muuma sana.Je ni ugonjwa gani? na matibabu yake yako ya kienyeji au hospitali. msaada madokta. asante
Kwani unaenda haja kubwa mara ngapi ndani ya hizo 24 hrs, lol!
nenda hospitali, huenda una hermorroids na unahitaji uchunguzi mapema ili utibiwe.
Kwani unaenda haja kubwa mara ngapi ndani ya hizo 24 hrs, lol!
Nashukuru king'asti..nimechukua ushauri tatizo japo hospital nshaenda na tatizo hili ni miez miwil sasa linaacha then back. May be nimpate dr competent na anayejali! Thnks again make naona wengine wanafanya ushabiki kwenye afya za watu!
Yaaani wewe usingezaliwa mama angeumwa tumbo.saaaana!!!!!