hakuna umaskini wa kutisha kama umaskini wa fikra.
Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo
Mkuu. Nijuavyo mimi, ukila ugali wa mahindi yaliyokobolewa hapo unakuwa unajaza tumbo tu, kwa sababu vile viini ambavyo vina protein, fat, other vitamiz, vinakuwa vimetoka.
Lakini ukila ugali wa dona, hapo hakuna tatizo. Ndio maana kwa kuona hivyo, kuna ishu ya kitaifa inakuja ya kuweza ku Fortify unga mweupe/uliokobolewa.
Kuna dossing/dosifier itakuwa inafanyika viwandani au kwenye milling machines, ili kuweza ku suppliment upungufu wa virutubisho.
Hivyo virutubisho watakuwa wanatuletea wenyewe wazungu kupitia BASF.
Hatari ninayoiona mbeleni wasije wakatufanya tukawa maanithii au mapungaa....
Samahani sana, lakini mahindi ni chakula jamii ya nafaka (carbohydrate); ni sawa ngano, mchele, mihogo, viazi etc. Kazi kubwa ya vyakula hivi ni kuupa mwili nguvu. Hapo kwenye red vyakula vinavyotoa protein ni nyama, samaki etc. Samahni sana.
Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo
Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo
kuna ukweli ndo maana asilimia kubwa ya jamii watu wanokula ugali wamedumaa kiakili,
tafuta research za WFP,
hapa TZ asilimia 80% ya waTZ wamedumaa kiakili kwa sababu ya ukosefu wa vyakua vinavyorutubisha akili tangu utotoni, tatizo hili lime cut across nchi nzima karibu kila secta ni 0.8:0.2 yaani ugali vs virutubisho,
kwa mfano serikali ya TZ, Raisi, Makamu wake, Waziri mkuu na baraza la Mawaziri, wenye akili ni 10% tu, ndo maana nchi haipigi hatua,
matatizo makubwa ya nchii hiii si ukosofu wa fedha kama wanasiasa wanayodai ni uwezo mdogo wa kiakili wa watawala na wataalamu wetu,
nakubaliana na mchungaji Msigwa "akili ndogo 80%ya waTZ ndo inatawala akili kubwa20% ya waTZ.
ili tuendeleee tufanye virce -versa, turuhusu akili kubwa yaani 20% ya waTZ itawale akili ndogo 80% ya waTZ, hata nchi zilizoendelea zimefanya hivyo.
sasa hivi huko nchii zilizoendelea wanashinda maabara wantengeneze vyakula vyenye virutubisho kwa ajili ya watoto wao ili wawe na akili zaidi kwa miaka 100 ijayo ili waendelee kutawala dunia , waTZ bado mnagangana na ugali,
si vizuri na si busara kuwakejeli wanao tumia ugali ila, huu ndo ukweli, na ukiujua ukeweli huu anza kutafiti ni vyakula gani unatakiwa kumpa mtoto ili kumjenga kiakili,
ungesema tusile sembe tule dona ningekuelewa...sio kila cha mzungu mali vingne takataka 2....