Ugali ni chakula cha kimasikini

Sio kama hawatumii kabisa kwa kula wanakula sema sio ugali wao wanatumia mahindi kw kutengenezea vyakula kama popcorn,conflex,cookies n.k
 
Afrika nzima kuna ugali ingawa mapishi ndio tofauti hata west africa kuna fufu inafanana na ugali igawa wao wanatengenezea unga wa ndizi, ninakula ugali karibia kila wiki
Nafikiri mleta mada hakufanya utafiti vizuri
 
Niko ugenini, lakini ugali ni muhimu sana kwangu.Huwa natafuta vyakula vya kiafrika vinapouzwa, sifanyi kosa kwenye kitu inaitwa Dona.Halafu mtu anaponda ugali kisa Mzungu kasema, kafie huko.
 
Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo

Siyo kweli; hii ni mythi kubwa sana miongozi mwa wabongo tusiojiamini na kudhania kuwa mambo yetu ni inferior kwa yale ya wazungu; nitaeleza hili la mahindi kwa wamerakani.

Kwa marekani, mahindi kama yalivyo mazao yoyote yanalimwa kwa ajili ya biashara. Ingawa mahindi ni chakula cha binadamu kikiwa kinatumia kwa njia mbalimbali kama vile baby corn soup, corn dogs, corn meal na namna nyinginezo, huwa yanalipa sana kwa mkulima yanapotumiwa kama chakula cha mifugo, hasa kwa vile yana virutubishoa vingi sana kwa mifugo kiasi kuwa wafugaji wanapendelea mahindi kuliko chakula kingine. Kwa hiyo siyo kweli kuwa wamarekani wanalima mahindi kama chakula cha mifugo au hawataki kula mahindi hayo kwa vile ni chakula cha mifugo. Wanayala na wanayependa sana ila faida itokanayo na kuwalisha mifigo ni kubwa. Ningekuwa na muda nigeweka picha kuthibitisha maneno yangu hayo.
 
Ugali ni bora sana
Uzungu ni ujanja ujanja tu

Hivi Mchina akila nyoka kuna ubaya gani?
Wakati ndiyo chakula chao cha Asili.

Ugali kwa sisi hapa Nyumbani tutaula sana
ndiyo umetukuza sasa wao Marekani na mifugo
yao wawalishe tu.
 
Mleta mada kumbuka pia hapa nyumbani
kuna vyakula vya kila kabila lakini
kwa asilimia kubwa Ugali kama Juma Nature
alivyoimba kwenye song la Ugali(Nguna).
 
Mkuu. Nijuavyo mimi, ukila ugali wa mahindi yaliyokobolewa hapo unakuwa unajaza tumbo tu, kwa sababu vile viini ambavyo vina protein, fat, other vitamiz, vinakuwa vimetoka.
Lakini ukila ugali wa dona, hapo hakuna tatizo. Ndio maana kwa kuona hivyo, kuna ishu ya kitaifa inakuja ya kuweza ku Fortify unga mweupe/uliokobolewa.
Kuna dossing/dosifier itakuwa inafanyika viwandani au kwenye milling machines, ili kuweza ku suppliment upungufu wa virutubisho.
Hivyo virutubisho watakuwa wanatuletea wenyewe wazungu kupitia BASF.
Hatari ninayoiona mbeleni wasije wakatufanya tukawa maanithii au mapungaa....

Samahani sana, lakini mahindi ni chakula jamii ya nafaka (carbohydrate); ni sawa ngano, mchele, mihogo, viazi etc. Kazi kubwa ya vyakula hivi ni kuupa mwili nguvu. Hapo kwenye red vyakula vinavyotoa protein ni nyama, samaki etc. Samahni sana.
 
Mkuu hiyo elimu ya kwamba Protein ipo kwenye nyama na samaki, ilikuwa elimu ya Sayansi Kimu, ya enzi hizooo... Lakini ni kweli kuna protein lakini kiasi ni kidogo.
 
Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo

Wamarekani wanakula SANA mahindi, ila mahindi yao ni tofauti ya mahindi ya TZ (yao ni laini na matamu zaidi).

Najua ni tabia kabisa ya wabongo, lakini usiongee kama huna hata ushahidi. Post yako ni ya kizushi na ni uongo.
 
kuna ukweli ndo maana asilimia kubwa ya jamii watu wanokula ugali wamedumaa kiakili,
tafuta research za WFP,

hapa TZ asilimia 80% ya waTZ wamedumaa kiakili kwa sababu ya ukosefu wa vyakua vinavyorutubisha akili tangu utotoni, tatizo hili lime cut across nchi nzima karibu kila secta ni 0.8:0.2 yaani ugali vs virutubisho,

kwa mfano serikali ya TZ, Raisi, Makamu wake, Waziri mkuu na baraza la Mawaziri, wenye akili ni 10% tu, ndo maana nchi haipigi hatua,

matatizo makubwa ya nchii hiii si ukosofu wa fedha kama wanasiasa wanayodai ni uwezo mdogo wa kiakili wa watawala na wataalamu wetu,

nakubaliana na mchungaji Msigwa "akili ndogo 80%ya waTZ ndo inatawala akili kubwa20% ya waTZ.

ili tuendeleee tufanye virce -versa, turuhusu akili kubwa yaani 20% ya waTZ itawale akili ndogo 80% ya waTZ, hata nchi zilizoendelea zimefanya hivyo.

sasa hivi huko nchii zilizoendelea wanashinda maabara wantengeneze vyakula vyenye virutubisho kwa ajili ya watoto wao ili wawe na akili zaidi kwa miaka 100 ijayo ili waendelee kutawala dunia , waTZ bado mnagangana na ugali,

si vizuri na si busara kuwakejeli wanao tumia ugali ila, huu ndo ukweli, na ukiujua ukeweli huu anza kutafiti ni vyakula gani unatakiwa kumpa mtoto ili kumjenga kiakili,

Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo
 
kuna ukweli ndo maana asilimia kubwa ya jamii watu wanokula ugali wamedumaa kiakili,
tafuta research za WFP,

hapa TZ asilimia 80% ya waTZ wamedumaa kiakili kwa sababu ya ukosefu wa vyakua vinavyorutubisha akili tangu utotoni, tatizo hili lime cut across nchi nzima karibu kila secta ni 0.8:0.2 yaani ugali vs virutubisho,

kwa mfano serikali ya TZ, Raisi, Makamu wake, Waziri mkuu na baraza la Mawaziri, wenye akili ni 10% tu, ndo maana nchi haipigi hatua,

matatizo makubwa ya nchii hiii si ukosofu wa fedha kama wanasiasa wanayodai ni uwezo mdogo wa kiakili wa watawala na wataalamu wetu,

nakubaliana na mchungaji Msigwa "akili ndogo 80%ya waTZ ndo inatawala akili kubwa20% ya waTZ.

ili tuendeleee tufanye virce -versa, turuhusu akili kubwa yaani 20% ya waTZ itawale akili ndogo 80% ya waTZ, hata nchi zilizoendelea zimefanya hivyo.

sasa hivi huko nchii zilizoendelea wanashinda maabara wantengeneze vyakula vyenye virutubisho kwa ajili ya watoto wao ili wawe na akili zaidi kwa miaka 100 ijayo ili waendelee kutawala dunia , waTZ bado mnagangana na ugali,

si vizuri na si busara kuwakejeli wanao tumia ugali ila, huu ndo ukweli, na ukiujua ukeweli huu anza kutafiti ni vyakula gani unatakiwa kumpa mtoto ili kumjenga kiakili,

pole sana mkuu,

anza kula sausage labda akili zitaongezeka!
 
ngano ina uwezo mkubwa wa kujenga ubongo, mahindi yana starch kuliko viini lishe vingine muhimu, ndo maana wanaokula ugali wanawaza kama ngombe, punda, na kuku
 
Nenda classic hotels zote ugali ni expensive sana,acha kuongozwa na hisia pekee"think beyond the scene"
 
ungesema tusile sembe tule dona ningekuelewa...sio kila cha mzungu mali vingne takataka 2....

We ndio hamnazo kabisa kama ulikuwa haujui mahindi sio zao la asili ya africa. Zao hili lililetwa hata africa na wakoloni kama lilivyoletwa zao la korosho toka latini america. Wazee wetu wa karne ya 17 kurudi nyuma hawakujua mahindi kamwe. Kasome upya historia yako.

Kama hauui babu zako hawakuyajua mahindi kamwe soma hapa http://en.wikipedia.org/wiki/Maize....au wewe kila alichokuletea mzungu unaona cha maana? Ndio maana mnakuwa wafupi kama mbilikimo sababu ya kula mahindi chakula cha mifugo.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom