Ugali ni chakula cha kimasikini

ila sio mahindi ya dona
Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo
 
siwezi kula vyakula vya wazungu halafu kesho yake niamke nililie haki ya kuolewa na mwanaume mwenzangu! Ukila hiyo ngano ya Wamarekani lzm ma------ yanyevue nyevue hence unakuwa punga! Ugali ndo kila kitu! Tena ugali wa ulea na lidelele mix up na sabola we acha tu

we mbatata umesahau pitiku na mtolilo.
 
Tumia chakula kitokanacho na ngano na utakuwa na akili sawa na wazungu,utalala kitanda kimoja na mbwa,utawabusu mbwa,utaongea na mbwa na utamfanya mbwa ndio kila kitu hakuna mwandani na rafiki kama madog!

hahaha!
 
kama ni hivyo basi nyumba za chini mjini ni dalili ya miji ya kimaskini kwakuwa marekani kuna magorofa marefu hivyo ni miji ya kitajiri,
nijuacho chakula cha kimaskini ni kile chenye mapungufu ya viinilishe vinavyohitajika mwilini yaani viinilishe hivyo ni kama protein, vitamin, fat, water, minerals, carbohydrates. just to mention the few. ambapo mlaji akosapo anaishia kuwa na malnutrition. tunachojua mwenye pesa anaouwezo wa kula chakula kilicho balanced wakati maskini sana in most cases hawezi. kuhusu ugali hili ni swala la utamaduni tu, kama wao wanavyokula vyenye majina ya hamburger, sausages, tandoori, chicken curry, na kadhalika. huku afrika tuna ugali dona, ugali sembe, nakadhalika,. kuna vyakula vya kifaransa na vyakiitaliano, pia huku kwetu kuna vyakula vya kihaya, kimeru, kichaga, na kadhalika.hivyo ugali ni swala la utamaduni tu.
 
ni kweli ugali ni chakula cha maskini, na ni kweli kinadumaza akili kama uamini fuatilia faly nyingi za wala ndizi, wengi wao wanaakili wana upendo, hawana jaziba ngozi zao nzuri sana, kama huamini nenda kule simiyu uangalie ngozi za wakina dada na wakina mama wamekomaa kweli kweli.

Acha dharau wewe makabila wanayokula ndizi utafananisha na watu wa Simiyu/ziwa kwa sura tu hamuwafikii kabila la wala ndizi weusi tii midomo imemwagika kilo mbili unusu.
 
kwa mishikaki, kwa kuku, kwa majani ya maboga ya kuweka karanga, kwa mkuu wa meza (unaweza endeleza list) utashindanisha hayo mabaga yao hapo...?

kwa noa,six battom,mlenda, kisamvu,tembele n.k
 
Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo

Kwa hiyo wewe unashindia mikate na tambi ili uwe na akili na matokeo yake umeishia kuwa shoga!...nenda shule kidogo kijana ujue katika nafaka (including gano wanayokula hao "wamarekani") kuna virutubisho gani vinavyofanya nini mwilini! UJINGA MZIGO!
 
He! Jamaa kweli namna gani au unamzingua tu duh!wentworth miller hahahaha
 
Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo

Ukisikia mtu anasema inasemekana, nimeambwiwa, nimesikia, nimejulishwa na namna nyingine yoyote inayoonesha hujathibitisha jambo hilo! Juwa kazi unayo!
,
 
Tumia chakula kitokanacho na ngano na utakuwa na akili sawa na wazungu,utalala kitanda kimoja na mbwa,utawabusu mbwa,utaongea na mbwa na utamfanya mbwa ndio kila kitu hakuna mwandani na rafiki kama madog!

Na pia yeye ndiye atakuwa mrithi wako

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo

Hivi hii JF kweli ni ya Great Thinkers? Hii mada inaonesha jinsi gani ulivyo na UPEO MDOGO wa kufikiri au pengine hujui nutritional value ya mahindi kwa binadamu. Kwa taarifa yako, wamarekani na wazungu kwa ujumla wanakula mahindi kwa namna mbalimbali; wanakula mahindi yaliyochanganywa na matunda mengine ambayo kwa lugha yao unayoipendaa huita "salad" au kachumbari kwa kiswahili; pia hula mahindi yaliyokaushwa na kutengenezwa biscuit au crackers mbalimbali. Tofauti yao na sisi labda ni kwakua hawali mahindi kwa mtindo wa ugali. Kama HUJATEMBEA DUNIANI AU HUJAFANYA UTAFITI ITAKUWA NGUMU KUNIELEWA! Mungu akusamehe kwa ujinga wako!
 
Back
Top Bottom