Mkuu. Nijuavyo mimi, ukila ugali wa mahindi yaliyokobolewa hapo unakuwa unajaza tumbo tu, kwa sababu vile viini ambavyo vina protein, fat, other vitamiz, vinakuwa vimetoka.
Lakini ukila ugali wa dona, hapo hakuna tatizo. Ndio maana kwa kuona hivyo, kuna ishu ya kitaifa inakuja ya kuweza ku Fortify unga mweupe/uliokobolewa.
Kuna dossing/dosifier itakuwa inafanyika viwandani au kwenye milling machines, ili kuweza ku suppliment upungufu wa virutubisho.
Hivyo virutubisho watakuwa wanatuletea wenyewe wazungu kupitia BASF.
Hatari ninayoiona mbeleni wasije wakatufanya tukawa maanithii au mapungaa....