Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo! No research no right to speak! Akili za kuambiwa changanya na za kwako! Ugali ndio chakula kikuu kwa sehemu kubwa ya Tanzania iwe wakati wa njaa au wakati mwingine wowote,Mleta mada inawezekana kalishwa sana ugali tu tangu akiwa mdogo bila mchanganyiko wa vyakula vingine hali ambayo imepelekea akili yake kuwa pumbafu hivyo uwezo wa kung'amua mambo kuwa mdogo.