Naam pana amani hapa, namalizia ujenzi wa banda la kuku, nataka niweke kuku 2500 wa kienyeji, nimeendelea kujifunza hapa, nimefurahi sana. mambo ya soko naaminii yapo tu, ni wewe mwenyewe kujifanyia marketing kama vile unavyotongoza!!!

Naanzisha na bustani mbali mbali za mboga na matunda,, nitakuja kuwapa feedback MUNGU akipenda.

Hongera,nakushauri uanze kidogo,kama unajifunza,anza na angalau vifaranga 50 hadi 100,hapo unajifunza vingi sana,hasa kwa sababu umri wa vifaranga ndo umri wenye changamoto nyingi sana katika ufugaji,cha ziada,wachunguze kuku wako Mara kwa mara,ishara ya kwanza ya kukua mgonjwa ni kuzubaa,ukiona kuku amezubaa usipuuze,anza Mara moja kuchunguza tatizo,kila la kheri.
 
Barikiwa sana sana aiseee
 
habari wadau, mimi pia nina mradi unaofanana na huu, naomba ushauri wa kitaalamu.
nataka nianze na kuku mia moja, nitawafugia ktkt shamba ambapo nahitaji kufanya biashara ya mayai ya kuku wa kienyeji.
kwa makadirio ya chini na kwa mujibu wangu naona inalipa zaidi kuliko kuku, soko si tatizo ; naomba ushauri wa kitaakamu kuhusu mradi huu.
 
Naam pana amani hapa, namalizia ujenzi wa banda la kuku, nataka niweke kuku 2500 wa kienyeji, nimeendelea kujifunza hapa, nimefurahi sana. mambo ya soko naaminii yapo tu, ni wewe mwenyewe kujifanyia marketing kama vile unavyotongoza!!!

Naanzisha na bustani mbali mbali za mboga na matunda,, nitakuja kuwapa feedback MUNGU akipenda.

Kila la kheli ndugu, hata mimi niko mbioni kufanya same like you.

Tuwe tunapeana feedbacks
 
Kila la kheli ndugu, hata mimi niko mbioni kufanya same like you.

Tuwe tunapeana feedbacks

Asante sana, kuna jamaa nimeongea nao wanakopesha vifaranga hadi 600. Wana masharti mazuri tu kwahio ni mwanzo mzuri pia
 
Niunganishe pia mkuu. Ni masharti gani nafuu, na wanapatikana wapi? Aina gani ya vifaranga? Msaada tagadhari
 
hodi humu ndani mm ni mfugaji wa kuku wa kienyeji kusema kweli wanafaida sana nilianza na kuku mmoja sasa ivi nina kuku 150 kwa ss nimestop kutotolesha nauza mayai trey kwa jumla nikimaanisha kwanzia trey 4 elfu12 trey 1 elfu 15 pia nauza majogoo sh.20000 kuku wangu ni wakubwa sana jogoo mmoja ana kg 3 hadi tatu na nusu. yani aiwezi kupita cku sijauza mayai ata ya trey au ata 10 kwa mwongozo zaidi nitafute
 
Pole sana deleko,nenda kwenye maduka ya dawa kuna dawa inaitwa ascarex inaweza kukusaidia
 
Mwenye uitaji wa mtaalam nipo hapa nimehitimu masomo ya kilimo na mifugo waweza nipata kwa namba 0785549057 napatikana mda wote
 
mwe uitaji wa mtaalam nipo hapa nimehitim masomo hayo mwenye kuitaji mfugo wa aina yoyote antafute kwa namba 0785549057
 
Habari zenu humu ndani nimependa sana yaliyomo humu ndani na jinsi mnavyopigana na maisha nimependa mada na ushauli pia je? Naweza pata vifaranga kuku wa kienyeji nipo Moro na je? Naweza pata ushauli zaidi maana ili somo la kutoa mayai kwa kuku alafu ukaweka tena kwa pamoja ili watotoe kwa pamoja kama unakuku 50 na yai likikaaa siku Tisa linaanza kupoteza ubora wake sidhani kama nitafanikisha asanteni mungu awalinde vyoote
 
Wajameni Kuku Wa Kienyeji Wanalipa.
Yani Apa Nimetoka Kuuza Majogoo Mawili Tu Nina 30K Yangu Mfukoni. MiVifaranga Imejaa Hadi Raha.Hawa Majogoo Walisalia Baada Ya Wengi Wao Kuumwa So Katika Watano Waliobaki Nimeuza Wawili Kubakiza Mbegu. Bado Nipo Small Scale Nishapoteza Wengi Kwa Kuibiwa Au Ugonjwa Pia Majogoo Mengine Wanapenda Kugegeda Adi Wanazamia HukoHuko,Pumbavu Zao!!Ila All In All Ni Biashara Nzuri Na Rahisi.

Hahaha dah nimecheka sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom