Ushauri: Nataka kuanzisha biashara ya Nafaka au Vipodozi

nyore

Member
Jun 8, 2020
14
34
Me kijana wa kiume (24) nimemaliza chuo mwaka huu, Nina mtaji wa m1.5 ipo kati ya biashara hii itanitoa;

(1) BIASHARA YA NAFAKA.
Ni biashara ambayo naipenda sana tangu zamani japo sijawahi kuifanya ila natamani siku moja nianze kufanya, nijikite katika uuzaji wa mchele kama bidhaa kuu vingine baadae, changamoto sijawahi kuifanya sijui ni wapi wanafungiaga mzigo na vipi Kwa mtaji huo unatosha Kwa kuanzia?

(2) UREMBO NA VIPODOZI.
Nywele kama bidhaa kuu ( lengwa ), vilevile sijawahi kuifanya na sijui wapi wanafungia mzigo na je Kwa mtaji huo unatosha Kwa kuanzia?

Location lengwa ni dar es salaam - kigamboni maeneo ya darajani.

NAOMBENI msaada wa kimawazo, mwongozo na ushauri ndugu zangu
 
Unaonaje hiyo mipango ukaja kuifanyia hapa nolasco usijibane kula beer utapata michongo
 
Jaribu nafaka mdogo mdogo uta toboa… sema ina hitaji ukae na wazoefu kwanza upate kujua changamoto zake.. running cost..kupata masoko na kadharika
 
Mimi nipo mkoa wa mbeya, wilaya ya mbarali ninakushauri Anza na biashara ya mchele kwa mtaji ulionao kidogo kidogo mtaji utakua.. naweza kukusaidia kupata mzigo bila hata wewe kutumia ghalama ya kufika huku
 
Mchele bei gani kwa sasa huko mbeya?
 
Me kijana wa kiume (24) nimemaliza chuo mwaka huu, Nina mtaji wa m1.5 ipo kati ya biashara hii itanitoa;

(1) BIASHARA YA NAFAKA.
Ni biashara ambayo naipenda sana tangu zamani japo sijawahi kuifanya ila natamani siku moja nianze kufanya, nijikite katika uuzaji wa mchele kama bidhaa kuu vingine baadae, changamoto sijawahi kuifanya sijui ni wapi wanafungiaga mzigo na vipi Kwa mtaji huo unatosha Kwa kuanzia?

(2) UREMBO NA VIPODOZI.
Nywele kama bidhaa kuu ( lengwa ), vilevile sijawahi kuifanya na sijui wapi wanafungia mzigo na je Kwa mtaji huo unatosha Kwa kuanzia?

Location lengwa ni dar es salaam - kigamboni maeneo ya darajani.

NAOMBENI msaada wa kimawazo, mwongozo na ushauri ndugu zangu
Chukuwa viungo vya chai wapelekee watu wa madukani.

Au ingia wewe mwenyewe front kwenye majumba.

Au tafuta vijana wawili watatu nunua matiki maji watembeze vipande mtaani.
 
Me kijana wa kiume (24) nimemaliza chuo mwaka huu, Nina mtaji wa m1.5 ipo kati ya biashara hii itanitoa;

(1) BIASHARA YA NAFAKA.
Ni biashara ambayo naipenda sana tangu zamani japo sijawahi kuifanya ila natamani siku moja nianze kufanya, nijikite katika uuzaji wa mchele kama bidhaa kuu vingine baadae, changamoto sijawahi kuifanya sijui ni wapi wanafungiaga mzigo na vipi Kwa mtaji huo unatosha Kwa kuanzia?

(2) UREMBO NA VIPODOZI.
Nywele kama bidhaa kuu ( lengwa ), vilevile sijawahi kuifanya na sijui wapi wanafungia mzigo na je Kwa mtaji huo unatosha Kwa kuanzia?

Location lengwa ni dar es salaam - kigamboni maeneo ya darajani.

NAOMBENI msaada wa kimawazo, mwongozo na ushauri ndugu zangu

Natamani nikushauri vitu vingi kuhusu biashara na huo mtaji ulio kusanya, kama utaona inafaa ni pm nikueleweshe, sihitaji hata mia yako.
 
Back
Top Bottom