Godfrey Sway
Member
- Apr 13, 2018
- 37
- 34
Siri Ya Mafanikio kwa Wakulima wa Parachichi Njombe.
Mkoa wa Njombe unasifika kwa Kilimo Cha Miti na Biashara ya Mbao kwa Ujumla. Kwa kipindi Cha hivi karibuni wakulima Mkoani Njombe wameingia rasmi kwenye Kilimo Cha Parachichi Aina Ya HASS ambayo Ina soko kubwa sana ndani na Nje ya Nchi. Kilimo Cha Parachichi Kimeonekana kuwa na faida Kubwa sana Kupelekea hata wenye Mashamba ya Miti Kuanza kufyeka na kupanda parachichi za HASS.
Hii ni Kutokana na kukua na kuongezeka kwa Soko la parachichi kwenye Nchi za Ulaya, America na Asia.
Parachichi Aina ya HASS Ndio namba moja kwa kuwa na soko kubwa ndani na Nje ya Nchi Kutokana na Ubora wake Ambao nitauelezea kipindi Kijacho.
Ukiachana na Njombe, Hii ni Mikoa Mingine inayolima pia Parachichi kwa Kiasi Kikubwa.
Mbeya, Iringa, Kilimanjaro, Arusha, Kagera na Baadhi ya Maeneo ya Tanga Kama Vile Lushoto.
Tuna Miche Ya Parachichi Aina Ya HASS, Fuerte, Burundi na Local iliyoandaliwa kwa ustadi Mkubwa sana, Ambayo Utaipata kwa Bei ya Tsh 2500 Tu.
Tupo SUA Morogoro.
Tupigie Leo/ watsap
Mr. Sway 0752799673
Glory Farm 0746850361View attachment 2767332View attachment 2767333View attachment 2767331View attachment 2767334View attachment 2767335View attachment 2767336