Licha ya kuongoza kutoa wasomi wengi, ni kwanini Mwanza makao makuu ya kanda ya ziwa hawana Vyuo vikuu vya serikali

R-K-O

JF-Expert Member
Jun 27, 2023
482
2,138
Unapozungumzia Kanda ya ziwa ndiko wasomi wengi wanakotoka

Kagera

Mwanza (Hususan kisiwa cha ukerewe)

Mara


Mwanza ndio makao makuu ya mikoa ya kanda ya ziwa, Watu wa Kagera na Mara ni rahisi kufikia hapa lakini jiji hili la pili kwa ukubwa hapa nchini halina chuo kikuu, kwanini ?

Dar kuna UDSM na mkoa wa karibu Morogoro kuna chuo cha Mzumbe na Sokoine

Dodoma kuna UDOM

Mbeya kuna MUST na tawi la Mzumbe

Kwanini Mwanza hakuna chuo kikuu ?
 
tanzania wasomi ni wachaga kaskazini mwanza, kagera na watu wa mbeya huko angalia ma prof na watu waloko vitengo
Ni ukweli usiopingika kwamba mikoa ya kaskazini Kagera, Kilimanjaro na Mara kuna wasomi wengi mno.

Nilisoma ripoti flani maprofesa wengi zaidi wanatoka kisiwa cha ukerewe,
 
Magufuli alipanga kujenga Chuo Kikuu kule Chato, ndoto imepotea.
 
Nafikiri kuna taasisi kubwa haipendi ushindani mahala fulani na inatumia ushawishi wake kufanikisha hili ili mtu atakaependelea kwenda Kojani aende kwa Kilimanjaro Express pekee
 
Ila siku hizi kuna Matawi ya hivyo vyuo vikuu! Mzumbe, IRDP, IFM, CBE n.k
Kwanza hizo ni colleges ama taasisi (institutes) zina kozi chache mfano hao ifm na cbe wamejikita kozi za biashara tu kama uhasibu, procurement, masoko, n.k., huwezi linganisha na vyuo vikuu kuna kozi za sheria, biashara, uhandisi, afya, falsafa, siasa, n.k.

Pili hayo ni matawi tu, makao makuu yapo Dar.
 
Back
Top Bottom