Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,282
- 105,493
Mkuu sasa unataka kuwafichua watu watoke mafichoni wakati wao hawapendi maisha ya kujifichua?Mimi watoto wa mkapa siwajui majina yao
Naomba nitajie majina boss wako wapi baba yao alikuwa kiongozi mkubwa tu Ila wao wanaishi mafichoni
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Kuna huyo Peter Maro alikuwa Mkurugenzi wa Simu 2000 wakati wa ubinafsishaji wa mashirika ya umma.
Kuna Nico yuko serikalini, siku hizi yupo wizara moja ni Naibu Katibu Mkuu.Aliteuliwa Unaibu Katibu Mkuu na marehemu Magufuli na juzi kateuliwa tena na Rais Sasha
Kuna Stephan yupo na biashara zake.
Inakuwa si rahisi kuwasikia, walifundwa kwao yani ile mshua anaweka beat kunywa maji mpaka umalize kula kwanza.True story.
Vibweka vyao wanavijua watoto wa Sea View / Upanga.