Uchambuzi Kitabu cha Mwinyi: Sitawasahau Maalim Seif, Mrema na Mtikila katika utawala wangu

Ni dhahiri Ccm walifanya maamuzi magumu kumyima na kumruhusu asepe kutoka ndani ya Ccm maana inaonekana wazi maalimu alikuwa mtu mwenye UCHU na TAMAA ya madaraka.

HAFAI KABISA KUWA KIONGOZI
 
Tufahamishe mnama kuhusu huyo Peter aliyetengwa na Mzee Mkapa
Peter Maro, aka Peter Mramba, ni mtoto wa Mama Anna Mkapa (.nee Anna Maro) wake yeye Mama Anna na Basil Pesambili Mramba.

Kabla ya Mkapa kuwa na Mama Anna, Mama Anna alizaa mtoto na Basil Pesambili Mramba, ndiyo huyo Peter.

Kwenye parties za Mkapa, Mkapa alikuwa namsifia sana Peter kama mtoto wake very bright, kupita hata watoto wa kuzaa mwenyewe Mkapa.

Huyu alikuja kupewa Simu 2000 katika zoezi la kubinafsisha mashirika ya umma.

Nimekuja kusoma kitabu cha Mkapa, Peter hajatajwa kwenye familia.

Mzee Mkapa kam delete kabisa mwanawe wa kufikia kwa Mama Anna!
 
Hicho kitabu bei gani?
Mbona vitabu vyenyewe wakizindua wanauza Bei juu?lengo kisomwe na akina nani?
 
Naona kitabu kinamsema Maalim Seif kinafiki wakati mwenyewe hayupo duniani tena ili ajitetee. Hivi Mwinyi hakupata shida kutoka kwa Nyerere?
Kuhusu Maalim Seif, Mwinyi alipo andika kuhusu, alikuwa bado hajafa! Na mwandishi hakujua kama Seif atakufa!
 
Peter Maro, aka Peter Mramba, ni mtoto wa Mama Anna Mkapa (.nee Anna Maro) wake yeye Mama Anna na Basil Pesambili Mramba.

Kabla ya Mkapa kuwa na Mama Anna, Mama Anna alizaa mtoto na Basil Pesambili Mramba, ndiyo huyo Peter.

Kwenye parties za Mkapa, Mkapa alikuwa namsifia sana Peter kama mtoto wake very bright, kupita hata watoto wa kuzaa mwenyewe Mkapa.

Huyu alikuja kupewa Simu 2000 katika zoezi la kubinafsisha mashirika ya umma.

Nimekuja kusoma kitabu cha Mkapa, Peter hajatajwa kwenye familia.

Mzee Mkapa kam delete kabisa mwanawe wa kufikia kwa Mama Anna!
Mimi watoto wa mkapa siwajui majina yao

Naomba nitajie majina boss wako wapi baba yao alikuwa kiongozi mkubwa tu Ila wao wanaishi mafichoni

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
80% ya watu sitini na 80% ya watu 120! Je! Watu wangapi ni wengi? Ukijibu hilo utaijua alivyoshindwa Seif.
 
Kitabu cha Kikwete ndicho kitajaaa makashi kash na mastory ya kuvutia kama atafunguka richmond escrow itakuwa safi sanaaa
 
Ukweli ni kuwa " the buck stops with the President". Badala ya kuona kama anaonewa, alitakiwa kufanyia kazi malalamiko ya wakina Mtikila. Ni kama vile Mkapa alipokabidhi Chuo cha Serikali ili kiwe cha waislamu ili kupunguza pengo lililopo kielimu kati ya wamisheni na waislamu. Au Nyerere alipomkemea Iddi Amin alipowatimua raia wa Uganda wenye asili ya kihindi.

In fwakt, baada ya malalamiko alimpandisha cheo Kighoma Malima na kumfanya Waziri wa Fedha.

Amandla...
Noted, this is why nikataka maelezo zaidi hapa, nilihisi kuna jambo Mwinyi ameficha.
 
Mwinyi ni kama anavutia upande wake aonekane mtakatifu, Malina alijenga sehemu ya kusalia wizara ya fedha je sio udini, alishindwa kukusanya kodi hadi nchi wahisani wakagoma hadi atolewe wizara ya fedha kama haitoshi wakawaambia wafunge akaunti zake za nje kitendo kilichopelekea apate ugonjwa wa moyo na kufariki.
Maalim Aeif ndiye aliyeiba nyaraka za Jumbe na kumpelekea Mw. Nyerere kuonyesha mpango wq Jumbe kudai serikali tatu lakini baadae aligeuka na kujifanya anataka serikali tatu kwa wasiomjua Seif alikuwa mtu mjanjamjanja
I see, halafu hawa jamaa hawataki kabisa kunyooshewa vidole wakikosea, hata hawa huku jf nao wanajiona watakatifu hivyo hivyo, Mwinyi kaogopa kusema "the dark side of his leadership" akidhani ni siri kumbe ukweli unajulikana, simply Malima alikuwa kipenzi cha Mwinyi wakati hakuwa na uwezo hadi wahisani wakamkataa.
 
Ufupi kufika futi au centimeters ngapi? Maana Ufupi na urefu ni relative! Y

80% ya watu sitini na 80% ya watu 120! Je! Watu wangapi ni wengi? Ukijibu hilo utaijua alivyoshindwa Seif.
Sifahamu tofauti iliyopo kati ya population ya Unguja na Pemba, kama unayo weka hapa, all in all ndio maana nikasema kama kuweka percentage kulizua malalamiko kwanini hizo kura wasingesema idadi kamili ya mtu alizopata badala ya kuweka percentage.
 
I see, halafu hawa jamaa hawataki kabisa kunyooshewa vidole wakikosea, hata hawa huku jf nao wanajiona watakatifu hivyo hivyo, Mwinyi kaogopa kusema "the dark side of his leadership" akidhani ni siri kumbe ukweli unajulikana, simply Malima alikuwa kipenzi cha Mwinyi wakati hakuwa na uwezo hadi wahisani wakamkataa.
Alikuwa corrupt sana. Alikuwa na msaidizi wake wizarani ambae walikuwa wana kula pamoja. Presha ya wahisani ilikuwa kwenye hilo. Mwinyi alipomuondoa na kumweka Kikwete, kitu cha kwanza alichofanya JK ni kumtimua yule msaidizi publicly na kusema kuwa amemuachia Rais kumshughulikia Boss wake kwa sababu hakuwa na madaraka nae. It was damning. Sikumbuki Mwinyi alichukua hatua gani lakini haikuchukua muda akajiunga na NRA.

Asante kwa taarifa, kumbe pressure ilivyozidi Mwinyi akakubali kumuondoa, sidhani kama haya kayaweka kwenye hicho kitabu chake, naona baada ya Malima ndio likawa chimbuko la JK kwenye siasa za Tanzania.
 
Alikuwa corrupt sana. Alikuwa na msaidizi wake wizarani ambae walikuwa wana kula pamoja. Presha ya wahisani ilikuwa kwenye hilo. Mwinyi alipomuondoa na kumweka Kikwete, kitu cha kwanza alichofanya JK ni kumtimua yule msaidizi publicly na kusema kuwa amemuachia Rais kumshughulikia Boss wake kwa sababu hakuwa na madaraka nae. It was damning. Sikumbuki Mwinyi alichukua hatua gani lakini haikuchukua muda akajiunga na NRA.

Amandla...
Mkuu nilitaka nikinunue kitabu hiki lakini sasa sitakinunua sababu ni kama mzee kakitunga kuwashutumu tu watu na yeye kawa malaika. Amesahau kwanini watu walimpachika jina la Rukhsa na hata Mwalimu Nyerere mara kwa mara alikuwa anasema Ikulu sio mahala pa walanguzi na maneno mengi makali.
 
Mwinyi ni kama anavutia upande wake aonekane mtakatifu, Malina alijenga sehemu ya kusalia wizara ya fedha je sio udini, alishindwa kukusanya kodi hadi nchi wahisani wakagoma hadi atolewe wizara ya fedha kama haitoshi wakawaambia wafunge akaunti zake za nje kitendo kilichopelekea apate ugonjwa wa moyo na kufariki.
Maalim Aeif ndiye aliyeiba nyaraka za Jumbe na kumpelekea Mw. Nyerere kuonyesha mpango wq Jumbe kudai serikali tatu lakini baadae aligeuka na kujifanya anataka serikali tatu kwa wasiomjua Seif alikuwa mtu mjanjamjanja

Tueleze hapa huo ujanjajanja wa Maalim Seif
 
Alikuwa corrupt sana. Alikuwa na msaidizi wake wizarani ambae walikuwa wana kula pamoja. Presha ya wahisani ilikuwa kwenye hilo. Mwinyi alipomuondoa na kumweka Kikwete, kitu cha kwanza alichofanya JK ni kumtimua yule msaidizi publicly na kusema kuwa amemuachia Rais kumshughulikia Boss wake kwa sababu hakuwa na madaraka nae. It was damning. Sikumbuki Mwinyi alichukua hatua gani lakini haikuchukua muda akajiunga na NRA.

Amandla...

Dah JK tena? Sasa si bora huyo Malima, JK ndio jambazi nambari moja kwenye hili taifa, Jamaa ametupiga kupita kiasi
 
Sifahamu tofauti iliyopo kati ya population ya Unguja na Pemba, kama unayo weka hapa, all in all ndio maana nikasema kama kuweka percentage kulizua malalamiko kwanini hizo kura wasingesema idadi kamili ya mtu alizopata badala ya kuweka percentage.

Maalim Seif walimpora uraisi 1985, Jamaa kawavuruga mno CCM kwenye uhai wake kuliko mtu yoyote. Na Mzimu wake utaendelea kuwatafuna mana ameacha ideologies ambazo wafuasi wake watendelea kuishi nazo vizazi kwa vizazi
 
Ni dhahiri Ccm walifanya maamuzi magumu kumyima na kumruhusu asepe kutoka ndani ya Ccm maana inaonekana wazi maalimu alikuwa mtu mwenye UCHU na TAMAA ya madaraka.

HAFAI KABISA KUWA KIONGOZI

MKuu sijui nani ana tamaa ya madaraka kati ya CCM au Maalim Seif, Maalim Seif alikua na wafuasi wa Zaidi ya asilimia 75% ya wazanzbari, wakati CCM wamekua wakimuibia kura toka siasa za chama kimoja pamoja na chaguzi 5 za vyama vingi
 
Back
Top Bottom