Lyatonga Mrema, Maalimu Seif na Edward Lowassa walikuwa na ndoto za Urais hazikutimia lakini Akina Shujaa Magufuli Wakasukumiziwa Urais!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,980
Kuanzia Nyerere hadi Kikwete wote wanasema waliombwa na Wazalendo Ndani ya Vyama vyao wagombee Urais

Magufuli akasema alibeep akajikuta amesukumiziwa huko Ndani ya Urais

Hata Dr Slaa 2010 aliombwa na Chadema agombee

Nakumbuka Watu walioonyesha Nia thabiti ya kutaka kuwa Rais wa JMT ni Lyatonga Mrema na Edward Lowasa na Kule SMZ ni maalim Seif lakini hawakufanikiwa

Mungu wa Mbinguni awabariki😀🔥
 
Urais wa kupewa kwa bahati...huwa hauna tija....sema mungu huwa hapendi watu wenye mipango na nafasi za ukubwa...anasema huwa wanasahau kumtukuza mungu mwenyewe..wanajitukuza wenyewe hadi kero..kiti cha ENZI hakiombwi unapewa tu na mungu...afu mipango anakupa yeye mwenyewe huko mbele ya safari......by Baraka
 
Kuanzia Nyerere hadi Kikwete wote wanasema waliombwa na Wazalendo Ndani ya Vyama vyao wagombee Urais

Magufuli akasema alibeep akajikuta amesukumiziwa huko Ndani ya Urais

Hata Dr Slaa 2010 aliombwa na Chadema agombee

Nakumbuka Watu walioonyesha Nia thabiti ya kutaka kuwa Rais wa JMT ni Lyatonga Mrema na Edward Lowasa na Kule SMZ ni maalim Seif lakini hawakufanikiwa

Mungu wa Mbinguni awabariki
NDIO MAANA NA MUNGU ALIMNYAKUA MAPEMAAA ALIKUWA SHETANI
 
Hao uliowataja walikuwa walafi wa madaraka, ila Magufuli alipewa kwa sababu kwa wakati huo ilionekana Ana nafuu
 
Back
Top Bottom