mkalamo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 324
- 347
Utaratibu wa Namba kwenye mitihani ulianza wakati wa Malima kabla ya hapo haukuwepo hivyo umepotoshaKighoma Malima alikuwa mdini sana. Alipokuwa Waziri wa Elimu alifanya purge ya mabosi wa misheni. Na wakati huo huo zikaenea rumours kuwa maksi za waislamu wanapewa wamisheni ili kuwanyima nafasi waislamu! Cha ajabu ni kuwa wakati huo zilikuwa zinatumika namba ambazo zilifanya utambuzi wa dini ya mwenye maksi kuwa mgumu. Hata chama cha NRA alichojiunga baada ya kutoka CCM kilikuwa kina harufu kali ya udini.
Mtikila nae kweli alikuwa mdini. Yeye alijiona kama yuko katika mapambano kutetea ukristu na wakristu. Kwa mfano alipigia sana kelele zuio la matumizi ya shule za serikali kwa mambo ya ibada. Alikuwa pia mbaguzi wa rangi.
Amandla....