Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

Status
Not open for further replies.
Na ndo man mtazamaji mmoja wa uchaguzi kutoka nje alisema anashangaa kuona CCM hushinda kwa kishindo -- wakati nchi inadidimia umasikini. Ushindi wa aina hiyo unakaa vipi?
 
Mkuu Invsible na wengine kama mtaweza kunisaidia

asante sana....... Majina mbona yamekosewa? pili JK alikuwa mwanza tarahe hizi?


Mkuu Majina gani yaliyokosewa? Kwani Slaa alikwenda Mwanza mara ya mwishi lini? Na Baada ya Slaa kwenda Mwanza JK alifanya nini?
 
Mkuu Invisible,

Kweli una uhakika hiyo barua imeandikwa na huyo anayesemekana ameandika?

Kama ni kweli, pelekeni kwenye vyombo vyote ili ukweli ujulikane. Hatuko hapa kutetea maovu kama ni kweli lazima kitendo hicho kilaaniwe na wahusika kuchukuliwa hatua. Ila my first instinct ni kwamba hiyo barua ni forgery; mtu anapanga mipango kama hiyo na ataweka kwenye maandishi

Kwa Tanzania lolote linawezekana na wacha tusubiri ukweli.

Binafsi namuamini invisible,hakuna mtu wa ccm au chadema anaweza kufoji barua kama hiyo....ujue hao ni watendaji wa serikali,wanapokea maelekezo kutoka juu,hawezi akapeleka kwa simu na pia serikalini siyo watumiaji wazuri wa emails. kinachowaumbua ni kudhani kila mtu ni mchafu kwenye system! katika hao wanaodhani wako nao katika kuchakachua,wengine ni waadilifu ndo maana tunapata haya hadharani....
kushindwa kwao ni dhahiri...let's vote for Dr Slaa.
 
Huu ni ushenzi uliopindukia kama ni kweli. Kuondoa fitina ni mtu kwenda La-Kairo kujua kama jamaa walikaa kikao hiyo tarehe 16.
Hii nchi inakwenda kwenye umwagajiwa damu kama hali ndio hii, u can fool the people for some times but not all the times, tolerance has limits , beyond that even police or the army can do nothing, the only way is to let the people decide who they want. Pamoja na yote hayatafadhali kila mwenye kujua kuomba naamuombe mola wake kwa namna yake maana this is terrible.

Ufirauni wa namna hii hauwezi kuvumiliwa na mtu awaye yote, hata angekuwa muoga namna gani.
 
Watatumia nguvu ya dola na pesa kama walivyodhamiria.. Ila sisi tunamtumia Mungu mwenye mamlaka yote... Yeye ndo top ya yote... I hope Mungu hataruhusu kamwe uovu huu utendeke..
 
Kuweni mashahidi wa jinsi taratibu nchi inavyopelekwa kwenye zahma!...
Iam dissapointed!...nani atavumilia hili?...Naomba wahusika wamshauri Dr Slaa asikurupuke kuongelea chochote juu ya suala hili, bado linatisha sana kwa sasa!

There are currently 85 users browsing this thread. (51 members and 34 guests)
 
Bahati mbaya tumekumbana na barua hizi ikabidi tuwashirikishe!


chakachua_halmashauri_mwanza1.jpg

chakachua_halmashauri_mwanza2.jpg

Kazi kweli kweli! Sidhani kama Kabwe anaweza kuandika barua kama hiyo, sana-sana inaweza ikawa imechakachuliwa pia! Its possible ilivyokaa, ipo scanned! Sasa lengo lako sijui ni nini?
 
Mkuu Invisible, with due respect; Hivi, uliona wapi wafanya magendo au wala rushwa wakapeana risiti? nadhani hiyo barua ndio uchakachuaji wenyewe na aliyeitoa anakusudia kujenga hofu na kuwababaisha watu.
Uzoefu wangu wa rafu za uchaguzi huwa hakuna maandishi labda pale mnapotaka kujenga mazingira ya kufungua kesi kupinga matokeo.

Hawa CCM wanaweza sana -- kwani wanajiamini ile mbaya -- wana kila kitu - vyombo vya dola etc -- nani atachunguza? Na hata wakichunguza nani ana balls za kusema ni kweli barua hizo? Narudia kusema hawa CCM wanaweza kabisa kufanya hivyo. It's terrible!!!
 
mkuu invisible, with due respect; hivi, uliona wapi wafanya magendo au wala rushwa wakapeana risiti? Nadhani hiyo barua ndio uchakachuaji wenyewe na aliyeitoa anakusudia kujenga hofu na kuwababaisha watu.
Uzoefu wangu wa rafu za uchaguzi huwa hakuna maandishi labda pale mnapotaka kujenga mazingira ya kufungua kesi kupinga matokeo.
totally agree with you. Siamini hiyo barua kama imetoka halmashauri ni ya kweli
 
Hizi zipelekwe "The Hague" au wapigwe mawe mpaka wafe. Wahudhuriaji wa mkutano huu wanatakiwa wawe ndani muda wowote kuanzia sasa hivi.

Hizi ni taarifa za kupeleka kwa wahisani anakopenda kwenda kulia njaa.

Zipelekwe na mapema ili uchaguzi uahirishwe na Kikwete should step down immediately.
 
Invisible is a man of dataz for sure. Hii haina tofauti na nyaraka waraka, stay skeptical.
 
Bado nipo kwenye ganzi ya moyo.
Nina hasira mpaka basi. we acha tu
 
nimeongean na mdogo wangu anafanya kazi la-kairo hotel amesema kikao kilikwepo kuanzia saa tano usiku hadi saa saba usiku na waliondoka wa ndege usiku huo huo.
 
Solution kwa upande wako wewe mwananchi:
1. Usiache kwenda kupige kura
2. Ukae tayari kulinda kura yako

Solution kwa Chadema:
1. Peleka copy NEC
2. Peleka copy kwa wasimamizi wa uchaguzi kutoka nchi za nje
3. Peleke copy kwenye vyombo vya habari vya ndani ya nchi na nje ya nchi kwa pamoja
4. Fungua kesi mahakamani dhidi ya huyu bwana mwenye sahihi hapo (Kabwe)
 
baba yangu amelia baada ya kumuonyesha barua hii

niko home mwanza na nimeomba rikizo kwa ajili ya octoba 31

Hata mimi nasikia kulia na nimeishiwa nguvu kabisa na kukata tamaa kwamba haki haitendeka katika upigaji kura na pia kuhesabu hizo kura.
 
huyu kabwe msimamizi wa uchaguzi mwanza ndo alimtoa wenje baada ya kuambiwa na masha kuwa si raia

ni mtu mpumbavu sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom