Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

Status
Not open for further replies.
Jamani msiogope hawa jamaa msimu wao wa kuongoza taifa la tanzania umefika ata kama wakiiba ushindi kwa dkt slaa ni lazima
 
MBONA barua ya CHADEMA mmetoa ghafla?
Imekuwaje tena?.....MOOOODDDDSSSS...WEKENI SAWA HAPA!
 
Naomba leo JK akanushe hii taarifa wakati anazungumza na vyombo vya habari, kwa wale wenye signature za Kabwe tunaomba watuwekee hapa ili tuweze kulinganisha kama ni kweli au ni uchakachuaji. otherwise uchaguzi inabidi uairishwe.

wakuu, mimi naenda kwenye naelekea kwenye mkutano wa kampeni wa CHADEMA hapa arusha...Mbunge G LEMA anamwaga cheche zake....naprint hii barua then nitagawa copy kama sina akili timamu pale mwenye mkutano!!!JK, anatakiwa funguliwa mashtaka.
 
]hivi mnakumbuka siku ile kikwtw kabla ya kumtanganza mgombea mwenza alisema nini[/COLOR]?

huyu jamaa ni mwizi mkubwa sana na mtu mbaya sana

Naikumbuka sana kauli yake Mkuu alesema "hata tusiposhinda tutajishindisha"
 
Duh jamani hii nini. Nampigia simu huyo Kabwe atueleze anataka nini ndani ya nchi hii.
 
tarehe 16 majira ya tano usiku kikwete alifika La-kairo hotel mwanza, hotel hii ipo karibhu na uwanja wa ccm kirumba na walifanya kikao cha zaid ya masaa mawili na kuondoka hapo saa saba usiku

taarifa hizi nimepewa na ndogo wangu anafanya kazi hapo la -kairo hotel sasa hiv baada ya barua hii kuwekwa humu
 
buckreef dunia ni kama kijiji mtu anapata breakfast Cape town SA na lunch anapata Dar TZ sembuse Mwanza.

Mkuu Luteni,

Sio wakati wa kampeni ambapo mgombea amezungukwa na waandishi kila upande. Siku hiyo JK angelikuwa Mwanza bila kutegemewa, tungelipata hapa JF mara moja.

Naanza kupata uhakika kwamba hiyo barua ni forgery. Hata majina yalivyoandikwa ni kimakosa makosa tu.

Siasa za namna hii kweli zitatupeleka pabaya Tanzania. Kufikia kesho tutakuwa tumejua maana vyombo vya habari vyote vitakuwa vinaipitia hii barua.
 
Invisible mbona wengine hatuwezi ona hizo barua. kuna level tofauti za access humu au. tutazionaje . tuambieni basi.
kwako na wengine. hiii barua inafunguka taratibu inaonesha invisible aliiscan kwenye high resolution akaipaste hapa. ila akirudi atatusoma na kuiweka sawa.
barua mie naiona bila shaka
 
confidential? how did u get it?...funny, basi barua hiyo siyo confidential tena,,,,,,,,
 
Ee Mungu utusaidie, Ivisible hii ni kali mzee ahsante kwa kutuhabarisha,:hippie:
 
Ngoja ni save hii barua haikawii kupotea na JF

mbona umechelewa hivyo, maana zilikuwa mbili na sasa ipo moja tu, hapa JF inatakiwa kitu kikiingia tu hapohapo unakidaka kwa future use, hata kama sio leo utakuja kuwaonyesha wajukuu zako, jinsi tulivyokuwa
 
wakuu, mimi naenda kwenye naelekea kwenye mkutano wa kampeni wa CHADEMA hapa arusha...Mbunge G LEMA anamwaga cheche zake....naprint hii barua then nitagawa copy kama sina akili timamu pale mwenye mkutano!!!JK, anatakiwa funguliwa mashtaka.

Powa hii sawa .Fanya hima mkuuuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom