Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

Status
Not open for further replies.
nimeongean na mdogo wangu anafanya kazi la-kairo hotel amesema kikao kilikwepo kuanzia saa tano usiku hadi saa saba usiku na waliondoka wa ndege usiku huo huo.

Ahsante sana ndugu yangu kwa taarifa hii hali ni tete sana na inatisha tena sana
 
kuna mtu humu atahudhuria mdahalo wa juha leo?
naomba aulizwe hili
 
nimeongean na mdogo wangu anafanya kazi la-kairo hotel amesema kikao kilikwepo kuanzia saa tano usiku hadi saa saba usiku na waliondoka wa ndege usiku huo huo.

haya sasa...ushahidi taratibu unaanza kuja!
CCM ni wauaji, wanyama, na hawafai..actually ni magaidi!
 
jamani kama ni hivi hii nchi haitafika mbali vita inanukia,kwani watu hawatakubali upuuzi wa namna hii,
MAPINDUZI DAIMA MBUYU NI LAZIMA UANGUSHWE
 
Invisible mbona wengine hatuwezi ona hizo barua. kuna level tofauti za access humu au. tutazionaje . tuambieni basi.
 
mdogo wangu ansema kuwa
mmiliki wa la-kairo hotel ni mjaruo na kikao hicho kilifadhili na Bw Gachuma

ndiye alilipa gharama zote na kuwa walijifungia ndani na kukaa kwa mda huo wa zaid ya saa mbili
 
niliomba kusimamia uchaguzi katika kituo fulani ivi, jina langu likatoka, likapelekwa halmashauri, walipoona kuwa nimejiandika kuwa mimi ni mwanafunzi wa chuo, wakalikata. hii ni bahati mbaya, nilikuwa naenda sio kwamba nikapate hala yao, bali nikalinde kura kwani niliomba usimamizi mkuu wa kituo. my waifu amepata na ananipa data zote wanavyofanya huko na wanavyoambiwa wafanye, vitisho wanavyopata na kila aina ya ushetani wa ccm. hakika yake nchi hii inaonewa sana na ccm. na kama kungekuwa na uchaguzi wa huru na haki, sisiemu isingekuja kupata kiti.

elimu yangu ni ya juu sana, lakinni ili nipate niliweka cheti cha degree yangu yakwanza kabisa, kumbe hilo likawa kosa. wao walikuwa wanachagua watu ambao watawapendelea wao, wasomi wamewazuia kabisa, wamewachagua mambumbumbu wa form four ambao watasikiliza maelekezo yao yote kwa hofu. majina hayajaonekana kwenye vituo vingi, na yale ya wasimamizi wakuu na wasiaidizi, yamechakachuliwa yote wakawekwa makada..TUME HURU YA UCHAGUZI TUTAIPATA LINI hapa tz? Ee Mungu tuokoe na ccm hii.
 
hivi mnakumbuka siku ile kikwtw kabla ya kumtanganza mgombea mwenza alisema nini?

huyu jamaa ni mwizi mkubwa sana na mtu mbaya sana
 
Jamaa nani kakuambia fisadi atakubali ahukumiwe wakati na resources zote. Kazi nguvu waliyonayo ni kucheza na nguvu ya umma. Uvumilivu una mwisho wake. watu wamechoka CCM kuweni makini.
 
Invisible,

JK alikuwa Mwanza tarehe 16 October 2010? Na Ridhiwani alikuwa huko siku hiyo?

Kuna watu nafikiri wanaandaa mazingira ya Watanzania kuchinjana. Kuweni waangalifu sana!
buckreef dunia ni kama kijiji mtu anapata breakfast Cape town SA na lunch anapata Dar TZ sembuse Mwanza.
 
Kuweni mashahidi wa jinsi taratibu nchi inavyopelekwa kwenye zahma!...
Iam dissapointed!...nani atavumilia hili?...Naomba wahusika wamshauri Dr Slaa asikurupuke kuongelea chochote juu ya suala hili, bado linatisha sana kwa sasa!

There are currently 85 users browsing this thread. (51 members and 34 guests)

There are currently 189 users browsing this thread. (77 members and 112 guests)


Bookmarks
 
Wenzenu saa hizi za lala salama wako busy na kampeni ya nyumba kwa nyumba, nyie na wengine busy kuangalia nani kaingia nyumba fulani, nani kaandika nini, nani yuko hotel fulani na fulani, na nani mumporomoshee matusi..

Stukieni strategies na strategist wenu, khaaaa! mchawi kafa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom