Ukinywa pombe Kilimanjaro hotel, Serena, Sea Cliff huwezi kukuta feki

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,840
Watanzania kwanza lazima mjue hii nchi Ina walanguzi kila sehemu, viongozi wa serikali ndowamumini sana wa utengenezwaji wa pombe feki, jezi feki, vyakula feki,yaki kila kitu fake mpaka miili yetu ukienda mlonganzira wanakuchonga unakuwa kama agness masogange

Kwahiyo Kwa sisi watumiaji wa vilevi tumekumbana sana na vinywaji feki na hatuna mtetezi Kwa kuwa watengenezaji nihawahawa nzi wa kijani ni bora Sasa tuchukue tahadhari wenyewe

Kwa upande wangu afya ni bora kuliko kitu chochote kile. Nilivyoona pombe feki ni nyingi niliamua kuacha kabisa pombe lakini Nilivyoona kuacha pombe siwezi saizi Nina maeneo maalum ya kunywa pombe. Naenda zangu seacliff Masaki mwisho naagiza Windhoek zangu za baridi unapata kitu original kabisa kutoka Namibia sio hizo za kitambaa cheupe zinafyatuliwa rombo.

Siend tena maeneo ya hovyo kunywa pombe mm. Naenda sehemu ambazo naamini sio wahuni.. Ukitaka original lazima ugaramike.
 
Ufupisho: Mleta mada anataka kutujuza umma kuwa amekunywa pombe Serena hotel na Sea Cliff

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha ushamba!, hayo maeneo binafsi niyakawaida sana sio tu kwangu hata kwa watanza wote nadhani ipo hivyo pamoja na wewe mwenyewe. Seacliff, kilimanjaro, Serena, Golden tulip, tilapia, Malaika ni sehemu ya Tanzania sio uarabuni

Kusema ni sehemu special saana sio kweli nakama Kuna mtu anatafsiri hivyo basi hana akili
 
Watanzania kwanza lazima mjue hii nchi Ina walanguzi kila sehemu, viongozi wa serikali ndowamumini sana wa utengenezwaji wa pombe feki, jezi feki, vyakula feki,yaki kila kitu fake mpaka miili yetu ukienda mlonganzira wanakuchonga unakuwa kama agness masogange

Kwahiyo Kwa sisi watumiaji wa vilevi tumekumbana sana na vinywaji feki na hatuna mtetezi Kwa kuwa watengenezaji nihawahawa nzi wa kijani ni bora Sasa tuchukue tahadhari wenyewe

Kwa upande wangu afya ni bora kuliko kitu chochote kile. Nilivyoona pombe feki ni nyingi niliamua kuacha kabisa pombe lakini Nilivyoona kuacha pombe siwezi saizi Nina maeneo maalum ya kunywa pombe. Naenda zangu seacliff Masaki mwisho naagiza Windhoek zangu za baridi unapata kitu original kabisa kutoka Namibia sio hizo za kitambaa cheupe zinafyatuliwa rombo.

Siend tena maeneo ya hovyo kunywa pombe mm. Naenda sehemu ambazo naamini sio wahuni.. Ukitaka original lazima ugaramike.
Haya ndiyo matokeo ya wananchi kuishi kama nyumbu wa Manyara na kuacha kuwasimamia viongozi.
 
Watanzania kwanza lazima mjue hii nchi Ina walanguzi kila sehemu, viongozi wa serikali ndowamumini sana wa utengenezwaji wa pombe feki, jezi feki, vyakula feki,yaki kila kitu fake mpaka miili yetu ukienda mlonganzira wanakuchonga unakuwa kama agness masogange

Kwahiyo Kwa sisi watumiaji wa vilevi tumekumbana sana na vinywaji feki na hatuna mtetezi Kwa kuwa watengenezaji nihawahawa nzi wa kijani ni bora Sasa tuchukue tahadhari wenyewe

Kwa upande wangu afya ni bora kuliko kitu chochote kile. Nilivyoona pombe feki ni nyingi niliamua kuacha kabisa pombe lakini Nilivyoona kuacha pombe siwezi saizi Nina maeneo maalum ya kunywa pombe. Naenda zangu seacliff Masaki mwisho naagiza Windhoek zangu za baridi unapata kitu original kabisa kutoka Namibia sio hizo za kitambaa cheupe zinafyatuliwa rombo.

Siend tena maeneo ya hovyo kunywa pombe mm. Naenda sehemu ambazo naamini sio wahuni.. Ukitaka original lazima ugaramike.
Mkuu Windhoek hapo sea cliff bei gani?
 
Haya maeneo wanajaa walimu sana
 
Back
Top Bottom