Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

Mkuu no way matokeo ya kila tuo yapo wazi ,tume ya uchaguzi Uganda niwapongeze, jamaa anambuluza Msevini sio KWA viwango hivi,but alishakubali hachia madaraka vinginevyo tegemea kua na marais wawili wa uganda

Habari Mkuu, tafadhali naomba matokeo ya Uchaguzi wa Uganda wa tarehe 14 Januari 2021.​

 
Habari Mkuu, tafadhali naomba matokeo ya Uchaguzi wa Uganda wa tarehe 14 Januari 2021.
Nadhani unaelewa kilichotokea na hata sasa unajua kile kinachoendelea mpaka sasa ambapo jeshi linaendelea kumzuia Bobi.

So huwezi sema Museveni kashinda kihalali, this is Afrika -shithole country.
 
Back
Top Bottom