Tuweni makini na hawa wapenzi wa mtandaoni

Tuweni makini na hawa wapenzi wa mtandaoni

Inategemea na ulipo na level ya hospitali.

Kama ulipo kuna hospitali ya wilaya kupima haitazidi elfu 15 na chanjo itakua elfu 10.

Wakati ukienda hospitali ya level ya juu kupimwa itaanzia elfu 30 na chanjo itaanzia hapo na zaidi.

Pamoja na gharama kubwa ila ukiwaambia unawachangia damu wanakupima free.
Asante sana mkuu.

Nafikiri miongozo hii ya wote waliotoa maelezo kuhusu hili litawafaidisha wadau wengi hapa jukwaani.
 
Experience ya magonjwa uliyotaja ninayo. Siyo ya kuuguza, ni experience ya kutakiwa kukutana na wagonjwa wa namna hiyo kila siku.

Niliposema watu niliowataja nilimaanisha watu ambao hawakutani na waliofubazwa na UKIMWI. Bahati mbaya umenielewa vibaya.
90s nilikuwa kijana mdogo, niliona watu wakiugua ukimwi mkuu, tena zile stages za mwisho mwisho! Anyway kila mtu na namna anavyoona mambo!!
 
Watu hawajui, kuna Gen-Z wengi sana (1998 kuja juu) wamezaliwa na moto. Mavyuoni wapo kibao, mtaani wapo kibao na huwezi kuwajua.
Ukiendekeza chini unakwenda tajiri bila kujali utalamu wako. Hiyo ya kumuona mtu kwa macho itakuponza tajiri.
Watu wenye UKIMWI wanamkakati wa kuambukiza wenzao kwa kasi sana. Hawana cha kupoteza.
 
Umesema kweli,tena Hawa wa 2000 ni hatari zaidi,
 
90s nilikuwa kijana mdogo, niliona watu wakiugua ukimwi mkuu, tena zile stages za mwisho mwisho! Anyway kila mtu na namna anavyoona mambo!!
Ambacho mimi naona ni kwamba UKIMWI is deadly tofauti na watu wanavyouchukulia. Hayo ndiyo mambo naona.

Chief unaona UKIMWI siyo big deal coz ukifuata kanuni utaishi kwa zaidi ya anayeugua figo.
 
Pale muhimbili kuna watoto mapacha walizaliwa walitakiwa kuongezewa damu,baada ya kwenda kuomba blood bank,kulikuwepo na intern pale BT,Kule blood bank kuna damu zinakuwa zimesha pimwa lakini hazijapelekwa kwenye friji tayari kwa kutolewa,kuna nyingine huwa zimepimwa pamoja na makundi yake kabisa lakini hazijachambuliwa zinakaa cold room,huko cold room kuna upande zinakuwa zimegawanya,sasa kwenye friji hakukuwa na O RH - na kesi ilikuwa emergency,ikabidi aende cold room,akajichanganya akachukua upande ambao zimefanyiwa grouping lakini hazijafanyiwa screening,akaenda kufanya compatibility ikarun akatoa,(kumbuka mtoto anatumia mls chache sana),baada yakumuwekea mtoto mmoja ghafla akaanza ku develop reaction,,kuanza kutafuta sababu ya rxn,wakafanya test yaHIV wakakuta ni positive.NBUNGUZA MIHEMKO HAYA MAMBO YAPO YANATOKEA SANA ,KAMA HAUPO UWANJANI HUWEZI KUELEWA.KIBANDA KILIMUANGUKIA SENIOR ALIYEKUWA NAYE ALILALA,ALISIMAMISHWA KAZI BAADAE AKARUDISHWA
Maelezo meengi ,uongo uongo tu.
Damu inapitia process nyingi sana mpaka mtu anaongezewa.
Hakuna makosa kama hayo yanaweza kutokea.

Certificate Yako ya pharmacy (6months) huwezi elewa
 
Watu hawajui, kuna Gen-Z wengi sana (1998 kuja juu) wamezaliwa na moto. Mavyuoni wapo kibao, mtaani wapo kibao na huwezi kuwajua.
Ukiendekeza chini unakwenda tajiri bila kujali utalamu wako. Hiyo ya kumuona mtu kwa macho itakuponza tajiri.
Watu wenye UKIMWI wanamkakati wa kuambukiza wenzao kwa kasi sana. Hawana cha kupoteza.
Hii nimeona mtu anaambikiza kwa makusudi hasa gen z
 
Kaka amini nakwambia wanao usambaza ukimwi Kwa asilimia kubwa si malaya amini Hilo, kundi hatari ni wake za watu, wanavyuo wanaojipambanua si malaya, waajiriwa, watu wanalombana balaa amini hilo
Waajiriwa wa wapi
Sekta binafsi au sekta ya umma ?
 
Back
Top Bottom