Tuweni makini na hawa wapenzi wa mtandaoni

Tuweni makini na hawa wapenzi wa mtandaoni

Mwaka 2023 kama sio 2024 niliweka uzi hapa unaohusu upweke na kujitenga sana kwa upande wange,basi kuna dada mmoja akanifuata pm,tukawa tunachati baadae tukawa tunawasilia kwa whatssap,yeye ni mwalimu ndio alikuwa ameripoti huko RUVUMA,ni mchaga na ana dada yake hapa dar,anawatoto 2 wote wa baba mmoja ila waliachana.

Basi likizo ya likizo ya mwezi wa 6 alikuja kuwaangalia watotot wake hapa Dar alifikia mbande ndiko aliko dada yake,mimi nashinda Chanika kijiweni kwangu,mbande na chanika ni rahisi kufika,akanitaka nimfuate,sasa mimi mtu kumfuata kwa mara ya kwanza ni mwiko nikamwambia aje mpaka chanika kweli akaja.

Alipofika tu nakumuona code ziligoma kabisa kuhusu afya yake haendani kabisa na ni mtu wa kukasirika haraka sana hata kwa mambo yasiyoeleweka,na mimi nilikuwa na upwiru kwelikweli almost a year,kadhalika na yeye(kwa madai yake).

Baada ya maongezi ya muda nikamwambia tupime HIV,akawa mzito,nikamuuliza baba wa wanao mliachana muda gani na umewahi kuwa na mahusiano baada ya hapo? akasema miaka 2(na ndio umri wa mtoto mdogo) na hakuwahi kuwa na mahusiano.

Akasema nimpime lakini nisimpe majibu nikamwambia kwa vyovyote iwavyo mimi nitajua namna yakukuhandle kwakuwa ni mtu wa afya, na hapa natoa huduma za afya.

Nikachukua kitendanishi nikamuandaa nakuchukua damu,nilipoweka buffer nikaficha asione,ilipo dissolve tu kikasoma positive,sikushituka sababu code zilinigoma tangia namuona nikamkabili kisaikolojia,nikamwambia hapa ni ofisini tuonane jmosi,basi akaondoka.

Alipofika kwake nikaanza kumuhoji ,katika kumuhoji akaonekana kama ni mtu anayejijua kwa muda mrefu ila alifikiri mimi nimwepesi angeweza niingiza mkenge,nilichojiuliza kama ni miaka 2 na hakuwa na mahusiano maana yake alipata huo ukimwi kwa mumewe au wakati wa kujifungua,maana nilimuhoji kuhusu kunyonya mtoto akasema aliacha akiwa na miezi 6 sababu yeye alipata kazi mbali na alimuachia mtoto mama yake,je kama alipata wakati wa kujifungua ama kwa mumewe aliwezaje kukaa miaka 2 bila kujigundua kama ameathirika? nikajua kalikuwa kananichota.

Sikutaka kumnyanyapaa,mwenyewe naona akanilima block fasta 😀

kuweni makini.
Kila nafsi itaonja mauti, haijalishi ni kwa njia gani. Asante
 
usisumbuke kuharibu pesa zako ati ni vipimo we nenda hos yeyote iliyo na blood bank uwaambie nimekuja kudonate damu watakupima hadi ukimwi, blood group kama hujui watakupima, yaan vipmo kama vyote then utawaomba wakusome majibu urudi home ukidunda kama justine
Sio wote wanaweza kufika huko
 
Nafikiri Ukimwi sio issue tena kama miaka ya zamani, kama una afya yako unaweza kuishi mpaka uzee ukuchukue na kuna dawa ukitumia virus inakuwa undetectable huwezi kuambukiza,figo , moyo, cancer au malaria ni hatari zaidi, pimeni afya zenu
 
huyu akijua anakufunga. Yaani unatoa codes karibia 80%. Chanika hiyo one, mhudumu wa afya hyo two mzungusha mayai hyo tatu. Story yako ni sawa ila jitahid kuficha codes zingne bro ukilifanyia chanika sema ulifanyia huko kwa mfuga mbwa. Shauri yako.
Inawezekana hiyo chanika, muhudumu wa afya, muuza mayai ndiyo code yenyewe. Inawezekana tukio lilifanyikia kimara, yeye kasema chanika. Inawezekana mwanamke alikuwa muuza juisi ila yeye kasema mayai.
 
usisumbuke kuharibu pesa zako ati ni vipimo we nenda hos yeyote iliyo na blood bank uwaambie nimekuja kudonate damu watakupima hadi ukimwi, blood group kama hujui watakupima, yaan vipmo kama vyote then utawaomba wakusome majibu urudi home ukidunda kama justine
😁😁😁
Kwamba nirudi home nikidunda kama Justine.

Justine Beiber?
 
Ndio yupo mwingine mtaani ni mteja wangu ananitaka sana sema sina shobo(shida hii nyota),anaumeme najua ila anaficha,kuna kipindi alikuja anaumwa baada yakufanya vipimo kuna kipimo kiliyumba sana,kikiyumba hicho lazima tupime HIV,Hepatitis,sasa siwezi kumpima bila ridhaa,nikamwambia ,akagoma kupima ,mimi nikapima sababu nilikuwa na damu,kikasoma positive,kila akija anaumwa nikimwambia pima hataki,namzoom tu wakati anabugia dawa,anazungusha mayai ya kuchemsha,anagawa kwa kila rika popote pale maninner.
Hiyo ndio nyota Yako mkuu
 
Pale muhimbili kuna watoto mapacha walizaliwa walitakiwa kuongezewa damu,baada ya kwenda kuomba blood bank,kulikuwepo na intern pale BT,Kule blood bank kuna damu zinakuwa zimesha pimwa lakini hazijapelekwa kwenye friji tayari kwa kutolewa,kuna nyingine huwa zimepimwa pamoja na makundi yake kabisa lakini hazijachambuliwa zinakaa cold room,huko cold room kuna upande zinakuwa zimegawanya,sasa kwenye friji hakukuwa na O RH - na kesi ilikuwa emergency,ikabidi aende cold room,akajichanganya akachukua upande ambao zimefanyiwa grouping lakini hazijafanyiwa screening,akaenda kufanya compatibility ikarun akatoa,(kumbuka mtoto anatumia mls chache sana),baada yakumuwekea mtoto mmoja ghafla akaanza ku develop reaction,,kuanza kutafuta sababu ya rxn,wakafanya test yaHIV wakakuta ni positive.NBUNGUZA MIHEMKO HAYA MAMBO YAPO YANATOKEA SANA ,KAMA HAUPO UWANJANI HUWEZI KUELEWA.KIBANDA KILIMUANGUKIA SENIOR ALIYEKUWA NAYE ALILALA,ALISIMAMISHWA KAZI BAADAE AKARUDISHWA
Mama wa mtoto mlimbeba kwa mbeleko gani?
 
Ndio yupo mwingine mtaani ni mteja wangu ananitaka sana sema sina shobo(shida hii nyota),anaumeme najua ila anaficha,kuna kipindi alikuja anaumwa baada yakufanya vipimo kuna kipimo kiliyumba sana,kikiyumba hicho lazima tupime HIV,Hepatitis,sasa siwezi kumpima bila ridhaa,nikamwambia ,akagoma kupima ,mimi nikapima sababu nilikuwa na damu,kikasoma positive,kila akija anaumwa nikimwambia pima hataki,namzoom tu wakati anabugia dawa,anazungusha mayai ya kuchemsha,anagawa kwa kila rika popote pale maninner.
Namjua huyo
 
Ila siku hizi UKIMWI unatibika..hivyo sio ishu kivile
Goma liko kwenye homa ya ini na haijastukiwa na wengi
Hepatitis B balaa kubwa sana, alafu virus vyake vinaingia kimya kimya bila kukuonesha dalili yoyote ile.
 
Back
Top Bottom