Tuweni makini na hawa wapenzi wa mtandaoni

Tuweni makini na hawa wapenzi wa mtandaoni

mitandaoni mimi nawapita tu kwakweli nawaogopa sio poa,
Ndio hao hao binadamu waliopo nje ya mitandaoni mkuu.

Sema siku hizi haya ma filter hawa wassenge ndio wanapenda sana kuyatumia, ukiingia Insta unaona mtoto ana glow , ukikutana naye laivu ana mabaka mabaka utafkiri kobe kddeki
 
Hivi gharama za kupima homa ya ini zinakwendaje?
Vipimo vya Awali (Rapid Test): Kipimo cha haraka cha kuchomwa kidole ili kuona kama una maambukizi hugharimu kati ya Tsh 5,000 na Tsh 15,000.
Maabara ndogo na hospitali za ngazi ya chini mitaani hutoa huduma hii kwa bei hiyo.

Hospitali Kuu za Serikali:
Katika hospitali kubwa kama Hospitali ya Taifa Muhimbili, vipimo vya kina vinavyohusisha na kuangalia utendaji kazi wa vimeng'enya vya ini (Liver Function Tests) hugharimu karibu Tsh 85,000.

Hospitali Binafsi:
Hospitali binafsi za kati na kubwa (kama AAR) hutoa vipimo hivi kwa kati ya Tsh 25,000 hadi Tsh 50,000.
 
Wakati fulani na ulafi wangu humu nikajikuta nimepata mdada wa kanda ya Kaskazini.
Kwa namna alivyo alikuwa too demanding and controlling wakati hapo hatujaonana hata face to face na wala sijaanza kumtongoza. Nikaona huyu tayari hatutawezana. Nikaanza kumkataa taratibu hadi tukapoteana.
Hahaha uliamua kuimaliza story kabla hata haijaanza Mkuu.
 
hata aliyenao tayari kuna dawa
Sindano ya miezi 6: Mgonjwa au mtu anayejilinda anachomwa sindano mara mbili tu kwa mwaka badala ya kumeza vidonge kila siku.

Kinga ya asilimia 99.9: Kwa wasio na maambukizi, inazuia virusi visiingie kwenye seli za mwili kwa ufanisi mkubwa sana.

Inafubaza kwa walioambukizwa: Inazuia virusi kuzaliana na kulinda afya ya walio na VVU.
 
Mwaka 2023 kama sio 2024 niliweka uzi hapa unaohusu upweke na kujitenga sana kwa upande wange,basi kuna dada mmoja akanifuata pm,tukawa tunachati baadae tukawa tunawasilia kwa whatssap,yeye ni mwalimu ndio alikuwa ameripoti huko RUVUMA,ni mchaga na ana dada yake hapa dar,anawatoto 2 wote wa baba mmoja ila waliachana.

Basi likizo ya likizo ya mwezi wa 6 alikuja kuwaangalia watotot wake hapa Dar alifikia mbande ndiko aliko dada yake,mimi nashinda Chanika kijiweni kwangu,mbande na chanika ni rahisi kufika,akanitaka nimfuate,sasa mimi mtu kumfuata kwa mara ya kwanza ni mwiko nikamwambia aje mpaka chanika kweli akaja.

Alipofika tu nakumuona code ziligoma kabisa kuhusu afya yake haendani kabisa na ni mtu wa kukasirika haraka sana hata kwa mambo yasiyoeleweka,na mimi nilikuwa na upwiru kwelikweli almost a year,kadhalika na yeye(kwa madai yake).

Baada ya maongezi ya muda nikamwambia tupime HIV,akawa mzito,nikamuuliza baba wa wanao mliachana muda gani na umewahi kuwa na mahusiano baada ya hapo? akasema miaka 2(na ndio umri wa mtoto mdogo) na hakuwahi kuwa na mahusiano.

Akasema nimpime lakini nisimpe majibu nikamwambia kwa vyovyote iwavyo mimi nitajua namna yakukuhandle kwakuwa ni mtu wa afya, na hapa natoa huduma za afya.

Nikachukua kitendanishi nikamuandaa nakuchukua damu,nilipoweka buffer nikaficha asione,ilipo dissolve tu kikasoma positive,sikushituka sababu code zilinigoma tangia namuona nikamkabili kisaikolojia,nikamwambia hapa ni ofisini tuonane jmosi,basi akaondoka.

Alipofika kwake nikaanza kumuhoji ,katika kumuhoji akaonekana kama ni mtu anayejijua kwa muda mrefu ila alifikiri mimi nimwepesi angeweza niingiza mkenge,nilichojiuliza kama ni miaka 2 na hakuwa na mahusiano maana yake alipata huo ukimwi kwa mumewe au wakati wa kujifungua,maana nilimuhoji kuhusu kunyonya mtoto akasema aliacha akiwa na miezi 6 sababu yeye alipata kazi mbali na alimuachia mtoto mama yake,je kama alipata wakati wa kujifungua ama kwa mumewe aliwezaje kukaa miaka 2 bila kujigundua kama ameathirika? nikajua kalikuwa kananichota.

Sikutaka kumnyanyapaa,mwenyewe naona akanilima block fasta 😀

kuweni makini.
Ulikosea kaka ungemvalia life jacket
 
Vipimo vya Awali (Rapid Test): Kipimo cha haraka cha kuchomwa kidole ili kuona kama una maambukizi hugharimu kati ya Tsh 5,000 na Tsh 15,000.
Maabara ndogo na hospitali za ngazi ya chini mitaani hutoa huduma hii kwa bei hiyo.

Hospitali Kuu za Serikali:
Katika hospitali kubwa kama Hospitali ya Taifa Muhimbili, vipimo vya kina vinavyohusisha na kuangalia utendaji kazi wa vimeng'enya vya ini (Liver Function Tests) hugharimu karibu Tsh 85,000.

Hospitali Binafsi:
Hospitali binafsi za kati na kubwa (kama AAR) hutoa vipimo hivi kwa kati ya Tsh 25,000 hadi Tsh 50,000.
🙏🏽🙏🏽🙏🏽
 
Hahaha uliamua kuimaliza story kabla hata haijaanza Mkuu.
sorry to say yule dada alikuwa very desperate kupata mwenza. Wakati huo mwenzake nilikuwa kwenye phase ya u playboy, ndio maana tulishindwana mapema.

Ila nikikumbuka mikasa yangu na wadada wa Jf nabaki kucheka peke yangu.
Cha kufurahisha sikuwahi kukutana na dume lenye Id ya kike.

Ila experience mbaya zaidi niliyonayo humu ni kwa jamaa mmoja alianzisha ka group ka watsap ili vijana tunaotaka kujikwamua kiuchumi tuungane tukapige kazi.

Nikiri jamaa alituzidi akili akachangisha elfu 3 tatu kwa watu kama 100 hivi. Wote alitupata JF japo hatukuwa tunajuana, ila miongoni mwao walikuwa watu anaojuana nao ambao lengo lao lilikuwa moja kutupiga na kusepa. Ukizingatia wengi wetu wakati tulikuwa tumenaliza Vyuo, hatuelewi ramani ya mtaani, jama aka take faida yaani kwa ufupi tulipigwa
 
Ndio yupo mwingine mtaani ni mteja wangu ananitaka sana sema sina shobo(shida hii nyota),anaumeme najua ila anaficha,kuna kipindi alikuja anaumwa baada yakufanya vipimo kuna kipimo kiliyumba sana,kikiyumba hicho lazima tupime HIV,Hepatitis,sasa siwezi kumpima bila ridhaa,nikamwambia ,akagoma kupima ,mimi nikapima sababu nilikuwa na damu,kikasoma positive,kila akija anaumwa nikimwambia pima hataki,namzoom tu wakati anabugia dawa,anazungusha mayai ya kuchemsha,anagawa kwa kila rika popote pale maninner.
huyu akijua anakufunga. Yaani unatoa codes karibia 80%. Chanika hiyo one, mhudumu wa afya hyo two mzungusha mayai hyo tatu. Story yako ni sawa ila jitahid kuficha codes zingne bro ukilifanyia chanika sema ulifanyia huko kwa mfuga mbwa. Shauri yako.
 
muhudumu anaweza kuwa na maambuki,na michubuko na gloves ikachanika,kuongezewa damu nk
Wewe ni mtaalamu wa afya kweli?
Kwamba mtu anaweza kuongezewa damu yenye maambukizi?
Hivi unajua damu inapitia process gani mpka mtu anaongezewa?

Ukiachana na hiyo pumba uliyoiandika ,hayo mengine sio sababu ya maambukizi labda muuguzi aamue kufanya makusudi.

Genius huna exposure kabisa ,acha uendelee kusshaulika
 
Any online galtoto hao epukana na kibaya zaidi akajileta mwenyewe usikurupuke vaa hata makaratasi mixer baloon zile kubwa kama mipira haipo la sivyo be ready kuvaa pamper na kutembea na dawa kama chinga muuza karanga.
 
Lakini maambukizi si mpaka mchubuane wote wawili? Na unajua UKIMWI SIO UGONJWA?

HIV-AIDS inamaanisha maambukizi ya virusi vinavyoshambulia na kudhoofisha mfumo wa kinga ya mwili. Ingawa maneno haya mawili hutajwa pamoja, yanawakilisha mambo mawili tofauti: HIV ni virusi vyenyewe, wakati AIDS (UKIMWI) ni hatua ya mwisho ya ugonjwa unaosababishwa na virusi hivyo.
 
yap na unajua weng wanapata hiv na wanaogopa kuanza dawa kisa sijui aibu na mwisho wake ndo hiyo aids na unajua utamu ukizid unawezatoa mpira uende peku mkuu na ndo huko kupata msuguano lakini kama ni mtu ulichukua mda na dem hata mnaenda ndani mnatoka bila kukulana, mwisho wa siku utakula mema ya nchi bila stress coz atakuwa tayar kupima lakin kama wewe ni timu fisi u will endup mbato~ling her tena dry na upwiru wako.
 
Wewe ni mtaalamu wa afya kweli?
Kwamba mtu anaweza kuongezewa damu yenye maambukizi?
Hivi unajua damu inapitia process gani mpka mtu anaongezewa?

Ukiachana na hiyo pumba uliyoiandika ,hayo mengine sio sababu ya maambukizi labda muuguzi aamue kufanya makusudi.

Genius huna exposure kabisa ,acha uw
Pale muhimbili kuna watoto mapacha walizaliwa walitakiwa kuongezewa damu,baada ya kwenda kuomba blood bank,kulikuwepo na intern pale BT,Kule blood bank kuna damu zinakuwa zimesha pimwa lakini hazijapelekwa kwenye friji tayari kwa kutolewa,kuna nyingine huwa zimepimwa pamoja na makundi yake kabisa lakini hazijachambuliwa zinakaa cold room,huko cold room kuna upande zinakuwa zimegawanya,sasa kwenye friji hakukuwa na O RH - na kesi ilikuwa emergency,ikabidi aende cold room,akajichanganya akachukua upande ambao zimefanyiwa grouping lakini hazijafanyiwa screening,akaenda kufanya compatibility ikarun akatoa,(kumbuka mtoto anatumia mls chache sana),baada yakumuwekea mtoto mmoja ghafla akaanza ku develop reaction,,kuanza kutafuta sababu ya rxn,wakafanya test yaHIV wakakuta ni positive.NBUNGUZA MIHEMKO HAYA MAMBO YAPO YANATOKEA SANA ,KAMA HAUPO UWANJANI HUWEZI KUELEWA.KIBANDA KILIMUANGUKIA SENIOR ALIYEKUWA NAYE ALILALA,ALISIMAMISHWA KAZI BAADAE AKARUDISHWA
 
Back
Top Bottom