Tuweni makini na hawa wapenzi wa mtandaoni

Mwaka 2023 kama sio 2024 niliweka uzi hapa unaohusu upweke na kujitenga sana kwa upande wange,basi kuna dada mmoja akanifuata pm,tukawa tunachati baadae tukawa tunawasilia kwa whatssap,yeye ni mwalimu ndio alikuwa ameripoti huko RUVUMA,ni mchaga na ana dada yake hapa dar,anawatoto 2 wote wa baba mmoja ila waliachana.

Basi likizo ya likizo ya mwezi wa 6 alikuja kuwaangalia watotot wake hapa Dar alifikia mbande ndiko aliko dada yake,mimi nashinda Chanika kijiweni kwangu,mbande na chanika ni rahisi kufika,akanitaka nimfuate,sasa mimi mtu kumfuata kwa mara ya kwanza ni mwiko nikamwambia aje mpaka chanika kweli akaja.

Alipofika tu nakumuona code ziligoma kabisa kuhusu afya yake haendani kabisa na ni mtu wa kukasirika haraka sana hata kwa mambo yasiyoeleweka,na mimi nilikuwa na upwiru kwelikweli almost a year,kadhalika na yeye(kwa madai yake).

Baada ya maongezi ya muda nikamwambia tupime HIV,akawa mzito,nikamuuliza baba wa wanao mliachana muda gani na umewahi kuwa na mahusiano baada ya hapo? akasema miaka 2(na ndio umri wa mtoto mdogo) na hakuwahi kuwa na mahusiano.

Akasema nimpime lakini nisimpe majibu nikamwambia kwa vyovyote iwavyo mimi nitajua namna yakukuhandle kwakuwa ni mtu wa afya, na hapa natoa huduma za afya.

Nikachukua kitendanishi nikamuandaa nakuchukua damu,nilipoweka buffer nikaficha asione,ilipo dissolve tu kikasoma positive,sikushituka sababu code zilinigoma tangia namuona nikamkabili kisaikolojia,nikamwambia hapa ni ofisini tuonane jmosi,basi akaondoka.

Alipofika kwake nikaanza kumuhoji ,katika kumuhoji akaonekana kama ni mtu anayejijua kwa muda mrefu ila alifikiri mimi nimwepesi angeweza niingiza mkenge,nilichojiuliza kama ni miaka 2 na hakuwa na mahusiano maana yake alipata huo ukimwi kwa mumewe au wakati wa kujifungua,maana nilimuhoji kuhusu kunyonya mtoto akasema aliacha akiwa na miezi 6 sababu yeye alipata kazi mbali na alimuachia mtoto mama yake,je kama alipata wakati wa kujifungua ama kwa mumewe aliwezaje kukaa miaka 2 bila kujigundua kama ameathirika? nikajua kalikuwa kananichota.

Sikutaka kumnyanyapaa,mwenyewe naona akanilima block fasta 😀

kuweni makini.
Alikuonea bure na ban yake haramu.
 
Ulizingua sana kumpima. Ulitakiwa kula kimasihara, halafu ungekuja kumuanzishia uzi humu jukwaani. Hayo mambo mengine tungeyachukulia kama ni ajali tu kazini.
 
Hao wanaosema hivyo ni vijana waliozaliwa miaka ya mwishoni mwa 1980s na 1990 wamekuja kuwa watu wazima ARV zimeshagunduliwa.

Wangeona wagonjwa wa AIDS wa miaka ya 1980s hadi mid 2000s kabla ya ARV wasingesema hayo wanayoongea sasa hivi.
Upo sahihi mkuu.
Yaani wangeshuhudia hata mtu anavyohangaika kitandani akiwa haonekani, linaonekana shuka tu na kichwa wangechukua tahadhali kubwa sana.

Ukiwa na roho ndogo kwa kipindi hicho unaweza kutoka mbio baada ya kumuona.
 
Afadhali umenielewa!!! Hawa watoto wengi hawaelewi ni kwa nini kulikuwa na unyanyapaa kwa hao waathirika. Ilikuwa inahitaji moyo kuwahudumia kwa jinsi walivyokuwa wanaonekana.
 
Ukiachana na ukimwi ..hivi mwanaume kumbe anaweza kukaa 1 year bila sex?🙄🙄...ndo nimesikia kwa mleta uzi!
Smh!🤔
Simple sana,kuna situation unaweza kupitia,kiasi kwamba usitamani kujishughurisha na chochote,ni mtihani mdogo sana kama upo determined.
 
Back
Top Bottom