Tuweni makini na hawa wapenzi wa mtandaoni

Tuweni makini na hawa wapenzi wa mtandaoni

Ndio yupo mwingine mtaani ni mteja wangu ananitaka sana sema sina shobo(shida hii nyota),anaumeme najua ila anaficha,kuna kipindi alikuja anaumwa baada yakufanya vipimo kuna kipimo kiliyumba sana,kikiyumba hicho lazima tupime HIV,Hepatitis,sasa siwezi kumpima bila ridhaa,nikamwambia ,akagoma kupima ,mimi nikapima sababu nilikuwa na damu,kikasoma positive,kila akija anaumwa nikimwambia pima hataki,namzoom tu wakati anabugia dawa,anazungusha mayai ya kuchemsha,anagawa kwa kila rika popote pale maninner.
Wakati wanazigawa kujifanya unamshauri anakutukana mitusi hadi unakuta, lakini kashaukwaa anataka tumuonee Huruma.

Kuna Gen Z naye anajiona mzuri Sana, naona ana Kasi Sana, nampa mwaka au miwili huyu kitawaka, mtaani Ngoma Imejaa Tele. Anajidai tako Wanaume wanamkimbilia anajiona staa
 
Ndio yupo mwingine mtaani ni mteja wangu ananitaka sana sema sina shobo(shida hii nyota),anaumeme najua ila anaficha,kuna kipindi alikuja anaumwa baada yakufanya vipimo kuna kipimo kiliyumba sana,kikiyumba hicho lazima tupime HIV,Hepatitis,sasa siwezi kumpima bila ridhaa,nikamwambia ,akagoma kupima ,mimi nikapima sababu nilikuwa na damu,kikasoma positive,kila akija anaumwa nikimwambia pima hataki,namzoom tu wakati anabugia dawa,anazungusha mayai ya kuchemsha,anagawa kwa kila rika popote pale maninn
Sikuhzi wanaume tunatafutwa na spare used sana kwa kasi zituchakaze tuende nazo
 
Bora awe angel
Kuna notion ya kuhisi kila mwanamke ni mrembo. Kuna
wakati fulani enzi za ujana nikiwa bado mseja, mtu x wa mtandao x alinifanya nikose pozi za kutamani wadada wa huo mtandao kisa comments zao.
Unakuta mtu ni bonge la kibungo ila ana comments zenye mvuto balaaa.
Hii mitandao ya kutumia fake ID ni ya kukaa nayo kitaalamu sana.
 
kutongoza mtandaoni ni mgumu sana mimi aise
 
Hii mitandao ya kutumia fake ID ni ya kukaa nayo kitaalamu sana.
Wakati fulani na ulafi wangu humu nikajikuta nimepata mdada wa kanda ya Kaskazini.
Kwa namna alivyo alikuwa too demanding and controlling wakati hapo hatujaonana hata face to face na wala sijaanza kumtongoza. Nikaona huyu tayari hatutawezana. Nikaanza kumkataa taratibu hadi tukapoteana.
 
kutongoza mtandaoni ni mgumu sana mimi aise
Ni ngumu kweli mkuu.
Japo two times niliwahi kupata mamaa mbili kwenye mtandao X. Zikanisogeza sogeza miezi kadhaa hadi tulivyoachana.

Kuna kabinti kamoja ka humu nilikapata wakati huo kalikuwa kanasoma Ardhi, ila kalikuja kunipotea juu juu. Na Id yangu ya wakati huo nikapoteza password ndio ikawa bye bye.
 
mitandaoni mimi nawapita tu kwakweli nawaogopa sio poa,
 
Back
Top Bottom