Ndio yupo mwingine mtaani ni mteja wangu ananitaka sana sema sina shobo(shida hii nyota),anaumeme najua ila anaficha,kuna kipindi alikuja anaumwa baada yakufanya vipimo kuna kipimo kiliyumba sana,kikiyumba hicho lazima tupime HIV,Hepatitis,sasa siwezi kumpima bila ridhaa,nikamwambia ,akagoma kupima ,mimi nikapima sababu nilikuwa na damu,kikasoma positive,kila akija anaumwa nikimwambia pima hataki,namzoom tu wakati anabugia dawa,anazungusha mayai ya kuchemsha,anagawa kwa kila rika popote pale maninner.