Tuweni makini na hawa wapenzi wa mtandaoni

Tuweni makini na hawa wapenzi wa mtandaoni

Kaka amini nakwambia wanao usambaza ukimwi Kwa asilimia kubwa si malaya amini Hilo, kundi hatari ni wake za watu, wanavyuo wanaojipambanua si malaya, waajiriwa, watu wanalombana balaa amini hilo
Upo sahihi kwa asilimia zote malaya wana akili sema wapo underrated sana
 
Maelezo meengi ,uongo uongo tu.
Damu inapitia process nyingi sana mpaka mtu anaongezewa.
Hakuna makosa kama hayo yanaweza kutokea.

Certificate Yako ya pharmacy (6months) huwezi elewa
Acha kutetea ujinga wewe mwehu,like if unanijua,shida ya wabongo mnajifanya mnafahamu sana vitu na kutaka kuamisha hayo mambo hayapo,ninazungumza kitu nilichokishuhudia ,sio stori za kina juma na uledi, hizi,blood inafanyiwa screening ya HEP B,HIV na SYPHILIS,hepatitis B na HIV zinafanywa na mashine sasa zikisha fanyiwa screening huwa zina fanyiwa sorting nakufanyiwa grouping (NB;Kuna muda huwa wanafanya kwanza grouping ili kupata groups ambazo ni most on demand ili zikafanyiwe screening),sasa hizi huwa zinawekwa cold room.

zilizo fanyiwa screening kwa mashine kuna zile ambazo OD mashine huwa zinatoa OD ndogo sana,zile huwa zinahifadhiwa na kurudiwa kwa sababu inawezekana mashine ilisoma particles tofauti,sasa hizi huwa zinahifaziwa pia cold room upande wake,sasa kama mtu ni layman katika kitengo anaweza jichanganya kwa namna moja ama nyingine.

Shida wa bongo hamtaki kukubari kama makosa flani yanaweza kutokea ili mjipe utimilifu,udwanzi tu.

Eti certificate ya pharmacy,hiyo pharmacy kwanza sijawahi kusoma,na hapa nina degree 2 horizontal ninaitafuta ya 3 pale DIT BATA WAHEED
 
Nawaangalia tu mnaodai tiba ya ukimwi ipo.

Kuna watu maarufu sana na wana pesa na wapo Marekani na wana ukimwi hadi leo.

Kitu ambacho wengi hatukua tunajua ni kwamba virusi wa UKIMWI wakishakuingia wanavamia DNA yako na kuiunda upya huku na hao virusi wakiwa sehemu ya DNA.

Wazia mgeni amefika nyumbani kwako, anapanga samani za ndani upya, anapaka rangi ya nyumba upya, anabadili vitasa vya mlango, anabdilisha milango na anahamisha nyumba yenyewe.

Hua nashangaa watu wanadai UKIMWI usiogopwe, iogopwe homa ya ini. Homa ya ini ukiitambua mapema ukikomaa na dawa unapona. UKIMWI ukiutambua mapema that's your new identity.

Acheni masihara na UKIMWI. Wengi wenu humu mnaweza pitisha miaka hadi mitano hamjaona mtu aliyefubazwa na UKIMWI ndiyo sababu mnaandika hivi. Nimeshuhudia mgonjwa anatafutiwa drip ya fluconazole, naenda kilomita 50 kufuata drip narudi nakuta amefariki.

Nimeshuhudia mtu anakufa huku madaktari wanapambana kumuokoa mimi nipo pembeni. Yule mama alikufa macho hajafumba, alikua anapiga kwikwi kwa saa nne mfululizo mpaka umauti unamkuta.

Kisha unakutana na mtu anakuambia bora UKIMWI. Aisee
Hao wanaosema hivyo ni vijana waliozaliwa miaka ya mwishoni mwa 1980s na 1990 wamekuja kuwa watu wazima ARV zimeshagunduliwa.

Wangeona wagonjwa wa AIDS wa miaka ya 1980s hadi mid 2000s kabla ya ARV wasingesema hayo wanayoongea sasa hivi.
 
Mtaalam ina maana kama ungemuweka bila kupimana na bila mpira ulikuwa unaupata ukimwi, kwa vile umedeclare wewe ni mtaalam wa afya, kila ngono zembe matokeo yake ni kupata ukimwi?
Ingekuwa ni hivyo rate ya HIV ingekuwa ni kubwa mno!!!
 
Mkuu,
Ukipata ukimwi na miaka 35, unaweza kuishi hadi miaka 70 kama ukiishi kwa kufuata kanuni. Hizo cases za kufa hata mwenye malaria anaweza kufa akiwa ameachama mdomo au macho yanaangalia, kufa kuna formula moja tu, uwezo wa ku-retain pumzi unapotea, iwe malaria, pressure, moyo, figo, homa ya ini na ukimwi.

Kuna magonjwa yanakupa mda wa kuishi na kutafakari maisha, lakini kuna magonjwa hayakupi huo mda, unaugua na kufa instantly. Kwa dunia ya sasa ambayo dawa zipo, ukimwi sio ugonjwa wa kutisha sana, japo unaogopesha😁
UKIMWI hautishi sana miaka hii kwa sababu ya uwepo wa ARV TU!!! Lakini kabla ya hapo Oweeeehhh usiombe!!!!
 
Back
Top Bottom