Tundu Lissu, unakuwaje Rais wa nchi bila kukemea Rushwa, bila kuongelea suala la maji, miundombinu na Elimu?

Lissu hafanyi kampeni, anatangaza nia, nyie mnaotaka aongelee maswala yote yanayowakumba watanzania hivi matatizo yenu ni mangapi? mnadhani yatamchukua nusu saa tu kusummarize matatizo yote? Hakutakiwa hata kuongelea matatizo yoyote jana zaidi ya kutangaza nia tu na kuondoka.
 
Yani Lisu atoke kutangaza nia baada ya masaa machache Mbowe avamiwe?

Tena avamiwe saa saba usiku alikuwa anatoka wapi?
Kuna dalili ya Lisu kutengenezewa tukio la kufunikwa hapa .

pole sana Mh Mbowe.
 
Ngoja tuone Jiwe safari hii ataahidi kupunguza bei ya mfuko wa cement toka Tsh9000 aliyotuahidi watanzania mwaka 2015 kwenye kampeni
 
Hiki ndo kile kikundi cha kikabila cha gwajima na bashite.
HAKUNA KM LISSU. Watz wanamtaka LISSU sio mtu anayeunda jamhuri ya watuwa chato. Mnamsifia mtu ambaye hasifiki ila kwasababu ya kutafuta vyeo tu
 
Tundu Lisu umetoa hotuba dhaifu sana kuwahi kutolewa na mgombea yeyote kuwahi kutokea nchini mwetu umeongea mambo mepesi ambayo najua mambo hayo ni ya mazingira ya MAREKANI na nchi zilizoendelea

Tundu Lissu tunaonewa na wala Rushwa wanaoiba Mali zetu na kutufanya tuishi maisha ya kifukara na mateso makubwa badili mfumo wa Sera zako zijikite kwenye mazingira halisi ya nchi yetu inayohitaji. Maji, umeme, afya bora uonevu tunaofanyiwa wananchi wa kunyimwa huduma za msingi za kijamii ndo tunaotaka uukemee

Mheshimiwa Tundu Lissu unaosema wameonewa ni wale ambao wanatuibia na kutuoñea wananchi sisi wananchi tumeteseka muda mrefu tumepata Rais Magufuli anayewabana unaowaita wanaonewaa kwa manufaa ya ya wengi masikini wanaopita kwenye barabara mbovu wanaokunywa maji machafu hawa Magufuli ameamua kula nao sahani moja

Kaeni na Chama chenu mudraft upya Sera zako Sera ulizooñgea ni dhaifu sana to be the Head of state

Tuambie mambo ya kuijenga nchi lakini Personal attack zako kwa kweli hafu za uongo na kutunga ukipata kura hats laki moja kati ya wapiga kura una bahati umewaangusha wafuasi wako wamenywea weakest speech ever
Nimeshtushwa sana tena eneo analotoka yeye Singida ni eneo guswa sana na Tatizo la maji...
 
Huja muelewa labda.....Ameongea vitu vichache alikuwa anatangaza nia tu..... kwenye kampeni ndio ataongea kila kitu hadi kuhusu mama ntilie bodaboda na etc.....
JUST BE CALM AND STAY TUNED
 
Mleta mada una hoja hotuba ilitakiwa kuwa manifesto yake ya uchaguzi ajikite atakavyo shughulikia huduma za jamii,miundombinu nk na uchumi atatumia mfano mbinu ipi.kuongeza mapato ya nchi nk hotuba yake ilikuwa too shallow akiongea Kama mwanaharakati zaidi kuliko mwanasiasa anayetaka utawala

Hakutakiwa speech kujaa attacks kwa serikali ,bunge na mahakama Hivyo vyote Ni ruling tools bunge Ni watawala, mahakama watawala,serikali watawaka .Alijikita kwa watawala badala ya wananchi walio wengi ambao wanahitaji maji,miundombinu,vituo vya afya ,elimu Bora nk wanavyovihitaji hakugusa!! Mgombea uraisi wa ajabu! Asiyejua wananchi wanahitaji Nini anajua tu vile bavyo bunge,mahakama na serikali wanahitaji.Very fun

Ile hotuba ukiiitizama Ni hewa tupu haina kitu
 
Mambo ya Muhimu kama
Elimu, Uchumi, ukwepaji wa kodi na Rushwa
Usimamizi wa rasilimali n.k hajagusa
Hotuba ilikuwa dhaifu. Natamani kama akipange atoe labda nyingine.
Lisu kichwani hamna kitu Ni kama samaki ukimtoa kwenye maji ukamuweka nchi kavu anaishia.Na Lisu ukimtoa kwenye fani ya sheria huku Kwingine kichwani Ni mweupe kabisa.Hayo ndiyo alitakiwa kuongea lakini Wala akawa anaendea kubwabwaja anavyoviota kichwani mwenyewe
 
Hehehe,
Jibu lepesi tu ni kwamba, lisu alikuwa anatoa hotuba ya kutangaza nia yake na akataje machache anayoamini yamekosa tiba, hvyo yanamsukuma kuuomba uraisi ili ayarekebishe,.ila haikuwa hotuba ya kampeni wala ya kuomba kura ndo maana kaongea ki ujumla tu,

Swala LA kusema hataji maji, umeme, sijui barabara hayo ni mambo ya wakati wa kampeni na huongelewa maeneo husika,
.yaan akienda mkoa wenye shida ya maji basi atawaahidi maji, maana sio kila mkoa una shida ya maji, umeme na mengine kadhalika

Kwa hyo wana ccm msipate shida, ila ya Jana ilikuwa na briefing tu ya kutangaza nia

Ila kampeni zikianza ndo tutaanza mizania mnazoleta sasa.

Asante.
Tundu Lissu umetoa hotuba dhaifu sana kuwahi kutolewa na mgombea yeyote kuwahi kutokea nchini mwetu umeongea mambo mepesi ambayo najua mambo hayo ni ya mazingira ya Marekani na nchi zilizoendelea.

Tundu Lissu tunaonewa na wala Rushwa wanaoiba Mali zetu na kutufanya tuishi maisha ya kifukara na mateso makubwa badili mfumo wa Sera zako zijikite kwenye mazingira halisi ya nchi yetu inayohitaji. Maji, umeme, afya bora uonevu tunaofanyiwa wananchi wa kunyimwa huduma za msingi za kijamii ndo tunaotaka uukemee.

Mheshimiwa Tundu Lissu unaosema wameonewa ni wale ambao wanatuibia na kutuoñea wananchi sisi wananchi tumeteseka muda mrefu tumepata Rais Magufuli anayewabana unaowaita wanaonewaa kwa manufaa ya ya wengi masikini wanaopita kwenye barabara mbovu wanaokunywa maji machafu hawa Magufuli ameamua kula nao sahani moja.

Kaeni na Chama chenu mudraft upya Sera zako Sera ulizooñgea ni dhaifu sana to be the Head of state.

Tuambie mambo ya kuijenga nchi lakini Personal attack zako kwa kweli hafu za uongo na kutunga ukipata kura hats laki moja kati ya wapiga kura una bahati. Umewaangusha wafuasi wako wamenywea, weakest speech ever.
 
Wewe boya ile alikuwa anatangaza nia ya kugombea tu wala hata hajapitishwa na Chama chake kugombea au uliambiwa ile ilikuwa ilani ya uchaguzi?
 
Yani Lisu atoke kutangaza nia baada ya masaa machache Mbowe avamiwe?

Tena avamiwe saa saba usiku alikuwa anatoka wapi?
Kuna dalili ya Lisu kutengenezewa tukio la kufunikwa hapa .

pole sana Mh Mbowe.
Kazi ya uvccm hiyo
 
Hehehe,
Jibu lepesi tu Swala LA kusema hataji maji, umeme, sijui barabara hayo ni mambo ya wakati wa kampeni na huongelewa maeneo husika,
.yaan akienda mkoa wenye shida ya maji basi atawaahidi maji, maana sio kila mkoa una shida ya maji, umeme na mengine kadhalika
Chadema mnatia huruma kwa hiyo ukifika mkoa unauliza mna shida gani wakwambie Halafu unasema nitatatua !!! Uko too shallow .Nini utafanya yanakuwa kwenye Ilani yako ya chama ya uchaguzi huendi tu kule unasubiria waseme

Hotuba yake ilitakiwa aisome Kama ilani yake ya Ugombea kuwa atashughuliaje kero kwa hiyo hazijui anasubiri apitishwr atajulia mbele kwa mbele huko huko mikoani akiwa kwenye kampeni? Huo Ni utapeli wa kisiasa

Heri hata angeongelea ilani ya chadema. Kuwa nitaisimamia ilani ya chama na kuainisha maeneo ya ilani

Yeye hata ilani tu ya chadema hakuitimia anatunga yake tu kichwani utadhani ni.mgombea binafsi asiye na chama angeitumia hata ilani tu ya chadema angegusia hayo mambo lakini Hana mpango wa kujua ilani ya chadema Wala kuitumia anaeleza tu anavyoota ambayo hata kwenye Ilani ya chadema havimo.
Kamata ilani ya chadema Halafu linganisha na hotuba ya mheshimiwa mtaka kuteuliwa vitu viwili tofauti !!! Anabwabwaja ya kigombea binafsi badala ya ya kwenye Ilani ya chama chake.Chadema waambieni Hawa wagombea uraisi hewa watumie ilani mnatia aibu ona Lisu alivyotia aibu
 
Tundu Lissu umetoa hotuba dhaifu sana kuwahi kutolewa na mgombea yeyote kuwahi kutokea nchini mwetu umeongea mambo mepesi ambayo najua mambo hayo ni ya mazingira ya Marekani na nchi zilizoendelea.

Tundu Lissu tunaonewa na wala Rushwa wanaoiba Mali zetu na kutufanya tuishi maisha ya kifukara na mateso makubwa badili mfumo wa Sera zako zijikite kwenye mazingira halisi ya nchi yetu inayohitaji. Maji, umeme, afya bora uonevu tunaofanyiwa wananchi wa kunyimwa huduma za msingi za kijamii ndo tunaotaka uukemee.

Mheshimiwa Tundu Lissu unaosema wameonewa ni wale ambao wanatuibia na kutuoñea wananchi sisi wananchi tumeteseka muda mrefu tumepata Rais Magufuli anayewabana unaowaita wanaonewaa kwa manufaa ya ya wengi masikini wanaopita kwenye barabara mbovu wanaokunywa maji machafu hawa Magufuli ameamua kula nao sahani moja.

Kaeni na Chama chenu mudraft upya Sera zako Sera ulizooñgea ni dhaifu sana to be the Head of state.

Tuambie mambo ya kuijenga nchi lakini Personal attack zako kwa kweli hafu za uongo na kutunga ukipata kura hats laki moja kati ya wapiga kura una bahati. Umewaangusha wafuasi wako wamenywea, weakest speech ever.

We unahisi muda wa kutamka ayo ilikuwa jana?? ila MATAGA kweli kazi ipo
 
Back
Top Bottom