Mtu wa haki na mtu wa Mungu Lissu hana kinyongo pamoja na marisas yote yale.Na huyu Sabaya aliandaa kundi la vijana kumpiga mawe wakati wa kampeni.

Somo kubwa kwa shetani Sabaya na shetani mkuu wake aliyeenda
Mchimba mashimo, kaingia mwenyewe.... Leo sharia kandamizi zinawaadhibu wao wenyewe
 
Ni kweli anatakiwa afunguliwe mashitaka ieleweke kisheria ana makosa ya kujibu... huku akiendelea akihojiwa na TAKUKURU
Hawa Wanaweza baadae wakamwachia kienyejienyeji....kama hafunguliwi mashitaka.....
 
Siyo huruma ni utawala wa sheria ambao huwa ana uhubiri,hii ni kipimo sahihi cha kujua jamaa huwa anamaanisha anapoongelea haki na utawala wa sheria,
Ifike muda, Tundu Lissu nae ajue kuna muda wa kuongea na muda wa kukaa kimya!

Sympathy kwa jitu aina ya Sabaya inatoka wapi?

Dawa ya wahuni ni kudeal nao kihuni.
 
Ifike muda, Tundu Lissu nae ajue kuna muda wa kuongea na muda wa kukaa kimya!

Sympathy kwa jitu aina ya Sabaya inatoka wapi?

Dawa ya wahuni ni kudeal nao kihuni.
Lissu anachokitaka Sabaya atolewe hadharani apandishwe Kortini kila mtu aone.
Unajua Sabaya alikuwa anatakeleza Matakwa ya Jiwe, sasa usishangae Jamaa wakamalizana nae Kimya Kimya katika Muendelezo wa Kulinda Legacy ya Meko
 
Back
Top Bottom