Ukweli kuhusu Lengai Ole-Sabaya kuwekwa kizuizini ni mgogoro wa wamasai, ofisi ya DPP na serikali kikaangoni

Erkapus

Member
Aug 8, 2022
8
8
Nawasalimu kwa salamu ya jamuhuri yetu.

Vile kichwa cha habari kinavyojieleza, pamekuwa na matukio mbalimbali ya upotoshaji dhidi ya jamii ya kimasai na watu yake.

Tangu serikali ya awamu ya sita iingie madarakani ni manyanyaso tu, madhila, kudhalilishwa, kutishiwa na kuhamishwa kutoka kwenye ardhi ya babu zetu bila kufuata utaratibu wowote.

Pia watoto wetu, vijana na wazee wamewekwa kizuizini kwa muda mrefu, kwa kesi za kusingiziwa na mmojawapo ni Lengai Ole Sabaya. Yote hii ni Ili kufunga mdomo ya wamasai wa Tanzania.

Yote yaliyotokea dhidi yetu yanajulikana na tunasikitika viongosi wakiongozwa na waziri mkuu wanasema uongo ili wananchi wenzetu watuone wakorofi na hatupendi maendeleo ya nchi yetu. Jambo hili ni uongo sana, serikali na waziri mkuu Majaliwa sio wakweli.

Ndugu zangu watanzania, hayati Rais Magufuli alipoingia madarakani alikuta vuguvugu la mgogoro wa tarafa ya Ngorongoro pamoja na Loliondo, ambalo Rais Kikwete alimudu kwa hekima na busara Sana.

Tulimshukuru na tunapenda sana kwa uamuzi ule. Alipoingia Rais Magufuli kuna viongozi walikuwa wanamdanganya kuhusu mgogoro ule wakitaka tufukuzwe lakini kijana wetu Lengai Sabaya alimwambia ukweli Magufuli na ile ikawa salama yetu. Huu ndio ukweli ambao watanzania wengi hawaufahamu.

Awamu hii iliposhika usukani, ilitangaza adhma ya kupunguza watu Ngorongoro na mkakati ukaanza mara moja. Cha kwanza alikamatwa Lengai Sabaya na kufunguliwa mashtaka ya kupangwa kwa kilichotajwa kuwa ni rushwa, ufisadi, ujambazi wa silaha.

Kama haya yangekuwa na ukweli wowote basi viongozi wengi vijana wenye ukwasi na utajiri wa kutisha nao wangeshtakiwa, mfano ni Makonda, Mnyeti na Gambo. Lakini huoni wakishtakiwa kwa sababu Lengai Sabaya yupo magereza kwa sababu ya wamasai na sio makosa ya kiuongozi

Nani asiyejua yule Asad wa soko kuu anatakatisha fedha? Ina maana serikali haina taarifa kwamba wahindi yote, wanatuma hela nje ya nchi kupitia Asad na kupokea dolar nyingi chafu kutoka huko duniani na zinaingia ndani ya nchi kupitia pale soko kuu la Arusha mjini na zinatakatishiwa pale.

Kosa la sabaya ni nini? kwenda kufatilia hayo na ametumwa na mamlaka iliyo juu yake kufatilia uhujumu uchumi, Hana kosa Lengai tatizo ni wamasai. Haingii akilini Lengai eti aliiba fedha kidogo vile Kwa bastola.

Nani hajui mzungu yule wa Moshi alikuwa analima bangi miaka mingi iliyopita na Lengai alitumwa na mamlaka iliyo juu yake kumfatilia. Je angekataa??

Hamduni akiwa mgeni RPC wa Moshi wa kipindi hicho alikasirika, lakini Lengai Sabaya hakuwa na kosa zaidi ya kudhaniwa alimpa taarifa sahihi Dr Magufuli juu ya mgogoro wa wamasai. Sisi wamasai tunajua mnataka mumpoteze kabisa lakini Mungu wetu wa babu zetu hajalala na anaona.

Mlipopanga kuwakamata viongozi wetu wengine na vijana wetu na kuwafungulia kesi ya uongo ya mauaji, mlimwamisha gereza Ili asikutane nao. Nia ni ovu dhidi yetu wamasai, na sisi sio wabaya.

Ndugu setu watanzania sisi wamasai tuna taarifa kwamba mwendesha mashtaka kutoka ofisi ya DPP Kilimanjaro aitwae Kassim Nasri alimfuata Lengai Sabaya na kumshawishi akubali makosa Ili aachiwe na Lengai alikataa.

Wakati Lengai alipopelekwa hostali kufanyiwa upasuaji, Kassim na timu yake walimfuata mshtakiwa wa mwisho anaitwa Antero Assey ambae alikuwa mlinzi wa mweshimiwa Freeman Mbowe na kumshawishi aandike barua na kukubali kosa kisha ataachiwa na kuwa shahidi wa serikale dhidi ya Lengai Sabaya, tuna taarifa amekubali.

Kisha waliwatisha sana washtakiwa wengine waliobakia nao ikawabidi kuandika barua za kukiri makosa, Nia yao ni ovu kwasababu wanajua kesi hizi hazina ushahidi. Ikiwa sabaya yupo magereza kwasababu ya makosa yake aliyotenda akiwa kiongozi Je makonda yupo nyumbani kwake kwanini? Tatiso ni wamasai.

Nahitimisha hivi, DPP hebu fuatilia haya mambo. Kesi zote za uwongo dhidi ya Lengai Sabaya na viongozi wa kimasai zifutwe mara moja.

Kwako mweshimiwa Rais, sisi wamasai wa Tanzania tunasikitika sana na mateso na udhalilishaji na upotoshaji unaofanywa dhidi ya jamii yetu. Tunaamini wewe mweshimiwa Raisi umepewa taarifa sa wongo. Sisi sio watu wabaya, Ila tunaumia watu wetu hata wenye figeso na Elimu hawapewi nafasi ya kufanya maongezi ya haki na serekale.

Wakati tunaambiwa wamasai wa tarafa ya ngorongoro wanahamishiwa katika kijiji cha msomera tulitaka vijana wetu wasomi tuliowasomesha wapewe ruhusa ya kwenda msomera na kufanya utafiti kama ikolojia inafanana na itaweza kumudu mifugo na mimea yetu ya asili. Tulitaka tujiridhishe kama kijiji kitatosha wananchi wa tarafa nsima? Tarafa siku zote ni kubwa kuliko kijiji. Tulishtuka wasiri mkuu alivyotudanganya ukubwa wa eneo la mraba kijijini msomera. Alitaja ukubwa wa nchi nzima.

Tunaumia sana jinsi malaigwanan mnaowatumia kufanya maongezi, sio wa ngorongoro. Mnatumia laigwanan wa kisongo na munduli, mweshimiwa hiyo sio sahihi. Hamtapata ukweli wowote, sisi tupo tayari kwa majadiliano.

Na kule loliondo tuliamishwa, hatukupewa fidia, lakini tuliomba wakati ya kiangasi turuhusiwe kunywesha maji mifugo yetu hata kwa ulinsi. Sambi yetu ni kuhoji mwekesaji anasaidiaje jamii inayomsunguka? Tunakuomba mweshimiwa achilia watu wetu kutoka huko mageresa.

Watanzania msifurahie haya mambo ya visasi. Kuna watu walichangia hoja kwa kusema kwamba kuna wasukuma walipisha migodi. Je wasukuma hao walitolewa usukumani na kupoteza asili yao? Sisi tunaumia sana sababu tuna taarifa hata wamasai wa longido na simanjiro watafatwa na mapori tengefu. Asili yetu inapotezwa kabisa, wamasai wote tupelekwe Kwa waswahili. Leo hii sisi tunapelekwa pwani kwa mabavu bila maongesi ya mesani. Atakuja siku moja mwekesaji atake Kilimanjaro, wachaga watahamishiwa zansibari na hawajui kuogelea, hawajazoea bahari. Sisi hatujui kupika chapati, hatujui nasi wala fitumbua, tunapelekwa Tanga. Mimea yetu ya mizizi ya dawa itaenda wapi. Mila zetu tutafanya wapi. Wanyama wetu watahimili joto la Tanga? Mweshimiwa tafadhali husisha wataalamu wetu wa kimasai wamezaliwa ndani yetu na wanafahamu vizuri mimea na mizizi yetu na wanyama wetu, ni wasomi wazuri na watakusaidia sana katika mchakato huu. Tumesomesha vijana wetu ati, wamesoma vizuri. Lakini sasa hivi wamasai walioajiriwa na serkale wanaona cha moto. Mpaka park rangers na wafanyakazi wa NCAA wamehamishwa wote. Hivi mweshimiwa wazungu wakitizama fideo ya royal tour wakatuona tunaforuka fisuri na Ile musungu Peter, wakipenda wakaja ngorongoro wakatuulizia watatupata kweli?

Maombi yetu
. Lengai Sabaya aachiliwe, yuko mageresa kwa ajili ya wamasai na Mungu wa Babu zetu anaona. Angekuwa mageresa kwa ajili ya makosa akiwa kiongozi basi na makonda iko wapi
. Viongozi wetu walio magereza kwa kesi ya uongo ya mauaji waachiliwe, wapo mageresa Ili Masai wa Tanzania apigwe
. Sisi wamasai hatuamini katika vita, na hatupendi vita, tunaamini maongezi ya mezani na sheria za nchi.
. Tuna uchungu sana moyoni tunaposingiziwa na kuonekana sisi ni wakorofi na hatupendi maendeleo. Wananchi wenzetu sisi wamasai ni watu wema sana.

Ardhi ya ngorongoro ni ardhi ya babu zetu, haikupaswa sisi kudhalilishwa hivi na kuondolewa bila utaratibu.

Ndugu zetu watanzania sisi wamasai hatutumii mshale hata siku moja, mshale ni wa wasonjo ambao walituchokoza na polisi waliwaruhusu ndipo laana ya Mungu wa Babu zetu iliwapata na mshale wa wasonjo ulimlenga askari wao na kumuua. Sisi tunatumia mkuki na sime na fimbo. Hivyo viongozi wetu na watu wetu waliopo magereza hawajauwa.
 
Sawa mutu ya ngalelooo, fita fote ifi fa serikali kwa kyamii ya masai ni shuki mbaya iliyosalishwa na kijana wenu. Serikali ya sasa inajaribu tu kupungusa maumifu yaliyoletwa na kijana wenu wakati uleee!!!
Nawasalimu kwa salamu ya jamuhuri yetu. Vile kichwa cha habari kinavyojieleza, pamekuwa na matukio mbalimbali ya upotoshaji dhidi ya jamii ya kimasai na watu yake. Tangu serekale ya awamu ya sita iingie madarakani ni manyanyaso tuu, madhila, kusalilishwa, kutishiwa na kuhamishwa kutoka kwenye ardhi ya babu setu bila kufuata utaratibu wowote.
Pia watoto wetu, vijana na wazee wamewekwa kizuizini kwa muda mrefu, kwa kesi za kusingiziwa na mmojawapo ni Lengai Ole Sabaya. Yote hii ni Ili kufunga mdomo ya wamasai wa Tanzania.
Yote yaliyotokea dhidi yetu yanajulikana na tunasikitika fiongosi wakiongoswa na wasiri mkuu wanasema wongo Ili wananchi wensetu watuone wakorofi na hatupendi maendeleo ya nchi yetu. Jambo hili ni wongo sana, serekale na wasiri mkuu majaliwa sio wakweli.

Ndugu sangu watanzania, hayati Rais Magufuli alipoingia madarakani alikuta fugufugu la mgogoro wa tarafa ya ngorongoro pamoja na Loliondo, ambalo Rais kikwete alimudu kwa hekima na busara Sana. Tulimshukuru na tunapenda sana kwa uamusi ule. Alipoingia Rais magufuli kuna viongozi walikuwa wanamdanganya kuhusu mgogoro ule wakitaka tufukuzwe lakini kijana wetu Lengai Sabaya alimwambia ukweli magufuli na Ile ikawa salama yetu. Huu ndio ukweli ambao watanzania wengi hawaufahamu.

Awamu hii iliposhika usukani, ilitangaza adhma ya kupunguza watu ngorongoro na mkakati ukaanza mara moja. Cha kwanza alikamatwa Lengai Sabaya na kufunguliwa mashtaka ya kupangwa kwa kilichotajwa kua ni rushwa, ufisadi,ujambazi wa silaha. Kama haya yangekuwa na ukweli wowote basi viongozi wengi vijana wenye ukwasi na utajiri wa kutisha nao wangeshtakiwa, mfano ni makonda, mnyeti na Gambo. Lakini huoni wakishtakiwa kwa sababu Lengai Sabaya yupo mageresa kwa sababu ya wamasai na sio makosa ya kiuongozi

Nani asiyejua yule Asad wa soko kuu anatakatisha feza? Ina maana serekale hana taarifa kwamba wahindi yote, wanatuma hela nje ya nchi kupitia Asad na kupokea dolar nyingi chafu kutoka huko duniani na zinaingia ndani ya nchi kupitia pale soko kuu la Arusha mujini na zinatakatishiwa pale. Kosa la sabaya ni nini? kwenda kufatilia hayo na ametumwa na mamlaka iliyo juu yake kufatilia uhujum uchumi, Hana kosa Lengai tatizo ni wamasai. Haingii akilini Lengai eti aliiba fedha kidogo vile Kwa bastola.
Nani hajui mzungu yule wa Moshi alikuwa analima bangi miaka mingi iliyopita na Lengai alitumwa na mamlaka iliyo juu yake kumfatilia. Je angekataa?? Hamduni akiwa mgeni RPC wa Moshi wa kipindi hicho alikasirika, lakini Lengai Sabaya hakuwa na kosa zaidi ya kudhaniwa alimpa taarifa sahihi Dr magufuli juu ya mgogoro wa wamasai. Sisi wamasai tunajua mnataka mumpoteze kabisa lakini Mungu wetu wa babu zetu hajalala na anaona.

Mlipopanga kuwakamata viongozi wetu wengine na fijana wetu na kuwafungulia kesi ya uongo ya mauaji, mlimwamisha geresa Ili asikutane nao. Nia ni ovu dhidi yetu wamasai, na sisi sio wabaya.

Ndugu setu watanzania sisi wamasai tuna taarifa kwamba mwendesha mashtaka kutoka ofisi ya dpp Kilimanjaro aitwae Kassim Nasri alimfuata Lengai Sabaya na kumshawishi akubali makosa Ili aachiwe na Lengai alikataa... Wakati Lengai alipopelekwa hostali kufanyiwa upasuaji, Kassim na timu yake walimfuata mshtakiwa wa mwisho anaitwa Antero Assey ambae alikuwa mlinzi wa mweshimiwa Freeman mboe na kumshawishi aandike barua na kukubali kosa kisha ataachiwa na kuwa shahidi wa serkale dhidi ya Lengai Sabaya, tuna taarifa amekubali. Kisha waliwatisha sana washtakiwa wengine waliobakia nao ikawabidi kuandika barua za kukiri makosa, Nia yao ni ovu kwasababu wanajua kesi hizi hazina ushahidi. Ikiwa sabaya yupo mageresa kwasababu ya makosa yake aliyotenda akiwa kiongozi Je makonda yupo nyumbani kwake kwanini? Tatiso ni wamasai.

Nahitimisha hivi, DPP hebu fuatilia haya mambo. Kesi zote za uwongo dhidi ya Lengai Sabaya na viongozi wa kimasai zifutwe mara moja.

Kwako mweshimiwa Rais, sisi wamasai wa Tanzania tunasikitika sana na mateso na udhalilishaji na upotoshaji unaofanywa dhidi ya jamii yetu. Tunaamini wewe mweshimiwa Raisi umepewa taarifa sa wongo. Sisi sio watu wabaya, Ila tunaumia watu wetu hata wenye figeso na Elimu hawapewi nafasi ya kufanya maongezi ya haki na serekale. Wakati tunaambiwa wamasai wa tarafa ya ngorongoro wanahamishiwa katika kijiji cha msomera tulitaka vijana wetu wasomi tuliowasomesha wapewe ruhusa ya kwenda msomera na kufanya utafiti kama ikolojia inafanana na itaweza kumudu mifugo na mimea yetu ya asili. Tulitaka tujiridhishe kama kijiji kitatosha wananchi wa tarafa nsima? Tarafa siku zote ni kubwa kuliko kijiji. Tulishtuka wasiri mkuu alivyotudanganya ukubwa wa eneo la mraba kijijini msomera. Alitaja ukubwa wa nchi nzima. Tunaumia sana jinsi malaigwanan mnaowatumia kufanya maongezi, sio wa ngorongoro. Mnatumia laigwanan wa kisongo na munduli, mweshimiwa hiyo sio sahihi. Hamtapata ukweli wowote, sisi tupo tayari kwa majadiliano.

.Ardhi ya ngorongoro ni ardhi ya babu zetu, haikupaswa sisi kudhalilishwa hivi na kuondolewa bila utaratibu.

Ninavyo mjua Mimi ni kuwa alikuwa jambazi maarufu enzi awamu Tano, na kesi alizomazo baadoo kabisaaa, ana kesi eflu kidogo mbele yake, mtetee Yu Kwa kuwa nduguyo Kwa maana ya ukabila, au uchama, au ujambazi wa kushirikiana au wa pamoja na SII vinginevyo 🤔
 
Sawa mutu ya ngalelooo, fita fote ifi fa serikali kwa kyamii ya masai ni shuki mbaya iliyosalishwa na kijana wenu. Serikali ya sasa inajaribu tu kupungusa maumifu yaliyoletwa na kijana wenu wakati uleee!!!
Hapana we hujui. Mbona viongosi wengine vijana matajiri tuu hawajakamatwa? Hi ni kisasi, kweli wasamehe tu hiyo kjna wetu
 
Ni mbuni huyu ameandika kwa pronouns ya kimasai ili aonekane ni mmasai aliyakuwa wamasai wanakuseaga kutamka tu ila kuandika wanaandika vizuri
Mimi sio ndege mbuni. Mimi anasema ukweli. Kingeresa tunaandika fisuri kweli
 
Ninavyo mjua Mimi ni kuwa alikuwa jambazi maarufu enzi awamu Tano,na kesi alizomazo baadoo kabisaaa,ana kesi eflu kidogo mbele yake,mtetee Yu Kwa kuwa nduguyo Kwa maana ya ukabila,auuchama,au ujambazi wa kushirikiana au wa pamoja na SII vinginevyo
Shiye wewe ni Kassim Nasri? Kama hii kijana ina makosa kwanini nyie mnatishia wale washtakiwa wensake Ili waandike barua moate mashaidi. Kwanini mlimwambia lengai akubali makosa na akakataa
 
Nawasalimu kwa salamu ya jamuhuri yetu. Vile kichwa cha habari kinavyojieleza, pamekuwa na matukio mbalimbali ya upotoshaji dhidi ya jamii ya kimasai na watu yake. Tangu serekale ya awamu ya sita iingie madarakani ni manyanyaso tuu, madhila, kusalilishwa, kutishiwa na kuhamishwa kutoka kwenye ardhi ya babu setu bila kufuata utaratibu wowote.
Pia watoto wetu, vijana na wazee wamewekwa kizuizini kwa muda mrefu, kwa kesi za kusingiziwa na mmojawapo ni Lengai Ole Sabaya. Yote hii ni Ili kufunga mdomo ya wamasai wa Tanzania.
Yote yaliyotokea dhidi yetu yanajulikana na tunasikitika fiongosi wakiongoswa na wasiri mkuu wanasema wongo Ili wananchi wensetu watuone wakorofi na hatupendi maendeleo ya nchi yetu. Jambo hili ni wongo sana, serekale na wasiri mkuu majaliwa sio wakweli.

Ndugu sangu watanzania, hayati Rais Magufuli alipoingia madarakani alikuta fugufugu la mgogoro wa tarafa ya ngorongoro pamoja na Loliondo, ambalo Rais kikwete alimudu kwa hekima na busara Sana. Tulimshukuru na tunapenda sana kwa uamusi ule. Alipoingia Rais magufuli kuna viongozi walikuwa wanamdanganya kuhusu mgogoro ule wakitaka tufukuzwe lakini kijana wetu Lengai Sabaya alimwambia ukweli magufuli na Ile ikawa salama yetu. Huu ndio ukweli ambao watanzania wengi hawaufahamu.

Awamu hii iliposhika usukani, ilitangaza adhma ya kupunguza watu ngorongoro na mkakati ukaanza mara moja. Cha kwanza alikamatwa Lengai Sabaya na kufunguliwa mashtaka ya kupangwa kwa kilichotajwa kua ni rushwa, ufisadi,ujambazi wa silaha. Kama haya yangekuwa na ukweli wowote basi viongozi wengi vijana wenye ukwasi na utajiri wa kutisha nao wangeshtakiwa, mfano ni makonda, mnyeti na Gambo. Lakini huoni wakishtakiwa kwa sababu Lengai Sabaya yupo mageresa kwa sababu ya wamasai na sio makosa ya kiuongozi

Nani asiyejua yule Asad wa soko kuu anatakatisha feza? Ina maana serekale hana taarifa kwamba wahindi yote, wanatuma hela nje ya nchi kupitia Asad na kupokea dolar nyingi chafu kutoka huko duniani na zinaingia ndani ya nchi kupitia pale soko kuu la Arusha mujini na zinatakatishiwa pale. Kosa la sabaya ni nini? kwenda kufatilia hayo na ametumwa na mamlaka iliyo juu yake kufatilia uhujum uchumi, Hana kosa Lengai tatizo ni wamasai. Haingii akilini Lengai eti aliiba fedha kidogo vile Kwa bastola.
Nani hajui mzungu yule wa Moshi alikuwa analima bangi miaka mingi iliyopita na Lengai alitumwa na mamlaka iliyo juu yake kumfatilia. Je angekataa?? Hamduni akiwa mgeni RPC wa Moshi wa kipindi hicho alikasirika, lakini Lengai Sabaya hakuwa na kosa zaidi ya kudhaniwa alimpa taarifa sahihi Dr magufuli juu ya mgogoro wa wamasai. Sisi wamasai tunajua mnataka mumpoteze kabisa lakini Mungu wetu wa babu zetu hajalala na anaona.

Mlipopanga kuwakamata viongozi wetu wengine na fijana wetu na kuwafungulia kesi ya uongo ya mauaji, mlimwamisha geresa Ili asikutane nao. Nia ni ovu dhidi yetu wamasai, na sisi sio wabaya.

Ndugu setu watanzania sisi wamasai tuna taarifa kwamba mwendesha mashtaka kutoka ofisi ya dpp Kilimanjaro aitwae Kassim Nasri alimfuata Lengai Sabaya na kumshawishi akubali makosa Ili aachiwe na Lengai alikataa... Wakati Lengai alipopelekwa hostali kufanyiwa upasuaji, Kassim na timu yake walimfuata mshtakiwa wa mwisho anaitwa Antero Assey ambae alikuwa mlinzi wa mweshimiwa Freeman mboe na kumshawishi aandike barua na kukubali kosa kisha ataachiwa na kuwa shahidi wa serkale dhidi ya Lengai Sabaya, tuna taarifa amekubali. Kisha waliwatisha sana washtakiwa wengine waliobakia nao ikawabidi kuandika barua za kukiri makosa, Nia yao ni ovu kwasababu wanajua kesi hizi hazina ushahidi. Ikiwa sabaya yupo mageresa kwasababu ya makosa yake aliyotenda akiwa kiongozi Je makonda yupo nyumbani kwake kwanini? Tatiso ni wamasai.

Nahitimisha hivi, DPP hebu fuatilia haya mambo. Kesi zote za uwongo dhidi ya Lengai Sabaya na viongozi wa kimasai zifutwe mara moja.

Kwako mweshimiwa Rais, sisi wamasai wa Tanzania tunasikitika sana na mateso na udhalilishaji na upotoshaji unaofanywa dhidi ya jamii yetu. Tunaamini wewe mweshimiwa Raisi umepewa taarifa sa wongo. Sisi sio watu wabaya, Ila tunaumia watu wetu hata wenye figeso na Elimu hawapewi nafasi ya kufanya maongezi ya haki na serekale. Wakati tunaambiwa wamasai wa tarafa ya ngorongoro wanahamishiwa katika kijiji cha msomera tulitaka vijana wetu wasomi tuliowasomesha wapewe ruhusa ya kwenda msomera na kufanya utafiti kama ikolojia inafanana na itaweza kumudu mifugo na mimea yetu ya asili. Tulitaka tujiridhishe kama kijiji kitatosha wananchi wa tarafa nsima? Tarafa siku zote ni kubwa kuliko kijiji. Tulishtuka wasiri mkuu alivyotudanganya ukubwa wa eneo la mraba kijijini msomera. Alitaja ukubwa wa nchi nzima. Tunaumia sana jinsi malaigwanan mnaowatumia kufanya maongezi, sio wa ngorongoro. Mnatumia laigwanan wa kisongo na munduli, mweshimiwa hiyo sio sahihi. Hamtapata ukweli wowote, sisi tupo tayari kwa majadiliano.
Na kule loliondo tuliamishwa, hatukupewa fidia, lakini tuliomba wakati ya kiangasi turuhusiwe kunywesha maji mifugo yetu hata kwa ulinsi. Sambi yetu ni kuhoji mwekesaji anasaidiaje jamii inayomsunguka? Tunakuomba mweshimiwa achilia watu wetu kutoka huko mageresa.

Watanzania msifurahie haya mambo ya visasi. Kuna watu walichangia hoja kwa kusema kwamba kuna wasukuma walipisha migodi. Je wasukuma hao walitolewa usukumani na kupoteza asili yao? Sisi tunaumia sana sababu tuna taarifa hata wamasai wa longido na simanjiro watafatwa na mapori tengefu. Asili yetu inapotezwa kabisa, wamasai wote tupelekwe Kwa waswahili. Leo hii sisi tunapelekwa pwani kwa mabavu bila maongesi ya mesani. Atakuja siku moja mwekesaji atake Kilimanjaro, wachaga watahamishiwa zansibari na hawajui kuogelea, hawajazoea bahari. Sisi hatujui kupika chapati, hatujui nasi wala fitumbua, tunapelekwa Tanga. Mimea yetu ya mizizi ya dawa itaenda wapi. Mila zetu tutafanya wapi. Wanyama wetu watahimili joto la Tanga? Mweshimiwa tafadhali husisha wataalamu wetu wa kimasai wamezaliwa ndani yetu na wanafahamu vizuri mimea na mizizi yetu na wanyama wetu, ni wasomi wazuri na watakusaidia sana katika mchakato huu. Tumesomesha vijana wetu ati, wamesoma vizuri. Lakini sasa hivi wamasai walioajiriwa na serkale wanaona cha moto. Mpaka park rangers na wafanyakazi wa NCAA wamehamishwa wote. Hivi mweshimiwa wazungu wakitizama fideo ya royal tour wakatuona tunaforuka fisuri na Ile musungu Peter, wakipenda wakaja ngorongoro wakatuulizia watatupata kweli?

Maombi yetu
. Lengai Sabaya aachiliwe, yuko mageresa kwa ajili ya wamasai na Mungu wa Babu zetu anaona. Angekuwa mageresa kwa ajili ya makosa akiwa kiongozi basi na makonda iko wapi
. Viongozi wetu walio magereza kwa kesi ya uongo ya mauaji waachiliwe, wapo mageresa Ili Masai wa Tanzania apigwe
. Sisi wamasai hatuamini katika vita, na hatupendi vita, tunaamini maongezi ya mezani na sheria za nchi.
. Tuna uchungu sana moyoni tunaposingiziwa na kuonekana sisi ni wakorofi na hatupendi maendeleo. Wananchi wenzetu sisi wamasai ni watu wema sana.
.Ardhi ya ngorongoro ni ardhi ya babu zetu, haikupaswa sisi kudhalilishwa hivi na kuondolewa bila utaratibu.

Ndugu zetu watanzania sisi wamasai hatutumii mshale hata siku moja, mshale ni wa wasonjo ambao walituchokoza na polisi waliwaruhusu ndipo laana ya Mungu wa Babu zetu iliwapata na mshale wa wasonjo ulimlenga askari wao na kumuua. Sisi tunatumia mkuki na sime na fimbo. Hivyo viongozi wetu na watu wetu waliopo magereza hawajauwa.
Lengai ni sikio la kufa, ngoja waje tuskia wanasemaje. Lengai mkorofiii
 
Alipokua anavamia mahotel saa 8 usiku mara atake cash,mara atake kulala bure ,mara atake kupelekea amapiano wasanii ulikua kimyaaaaa umekalia.Endelea kukaa kimya hivyo hivyo shoga wewe.
 
Serikali inampenda sn sabaya huko walipo muhifadhi ndipo anastahili akitoka uraiani inaweza kuwa sio salama sn kwa maisha yake.

Hakuna ajuaye kesho yake.
 
Back
Top Bottom