Hivi makomda hajatafuta upenyo wa kuchikichia ughaibuni? Maana huwezi jua ya kesho yatakuwaje.

Fikiria sharti namba moja la mabilioni ya shilingi kutoka kwa wahisani liwe.. Afikishwe ktk vyombo vya sheria aliyedhulumu haki ya kuishi wenzake.

Kipi kitakuwa rahisi kukubali sharti hilo na kumtosa makonda au kukataa sharti hilo ili kumlinda makonda?
Sasa ataenda wapi wakati Hao Hao Akina Pompeo Waliwahi Kumpiga BAN...

Wakati mwingine hii Dunia Hugeuka hata Usiaminin....Watesi wao ndoo wanateseka..Jifunzeni
 
Ijapokuwa Ole Sabaya anatuhumiwa kufanya uovu mkubwa wakati akiwa DC Hai, alipaswa kufunguliwa mashtaka ya jinai kortini. Kwa TAKUKURU kumweka mahabusu kwa wiki nzima ni kukiuka sheria za nchi yetu & kuendeleza tabia ya ukiukaji wa haki za binadamu ya vyombo vyetu vya usalama!

Dhamana kwa Sabaya ni sawa na kufungulia nyuki kwenye imkutano mkubwa.
Yaani Sabaya hana nyumba, hana mke, hana kitu chochote cha dhamana je? Una mpaje dhamana? Mnataka atoroke kabla ya mahakamani? Acheni mamlaka zifanye kazi yake. Mamlaka zina mjua kuliko kuliko nyie.
By the way hizi sheria zimewekwa na wabunge wa Ccm acha yampate.
 
Sheria is not always right. Akipelekwa mahakamani akipata mwanasheria mzuri anachomoa. Si kila wakati sheria zinatenda haki hata kama una uhakika mtuhumiwa katenda kosa!
Unaposema una uhakika mtuhumiwa katenda kosa hapo kosa sio la sheria bali wahusika wanaotakiwa kuthibitisha ilo kosa.kwasababu jukumu la kuthibitisha sio jukumu la mtuhumiwa wala wanaotafsiri sheria bali walioshtaki kama ni jamhuri au kinyume chake.
 
Sasa ataenda wapi wakati Hao Hao Akina Pompeo Waliwahi Kumpiga BAN...

Wakati mwingine hii Dunia Hugeuka hata Usiaminin....Watesi wao ndoo wanateseka..Jifunzeni
Leo kuna clip niliiona jioni ya sabaya akilalamika na kusema anaonewa sijui ni ya lini hiyo?
 
Tuzingatie Sheria

Sio kufanya Mambo kwa utashi wenu

Leo sabaya akikaa mwezi mzima mahabusu

Kesho mkiwakamata chadema mtataka justification kwa kutumia Jambo la sabaya

Apelekwe mahakamani period
Tundu Lissu kaliona hilo ndio maana kasema haki itendeke amejua kuwa kesho inaweza tokea kwa CDM.TAL ni mjanja sana
 
Ifike muda, Tundu Lissu nae ajue kuna muda wa kuongea na muda wa kukaa kimya!

Sympathy kwa jitu aina ya Sabaya inatoka wapi?

Dawa ya wahuni ni kudeal nao kihuni.
mkuu ulienda shule lakini? unajua kitu tunaita katika sheria---INNOCENT TILL PROVED GUILTY?????? jaribu kumuelewa mhe lissuu, kila anasema ni sheria na haki itendeke, period, haijarisi ni tuhuma aina gani huyu ole saa baya anatuhumiwa, lakini afikiswe mahakamani, hilo ndilo issue hapa, kumbuka only a court of law can find him guilty, amefanya mengi kateka, kaua , kachukua rushwa, lakini ana haki mbele ya sheria, take him to court charge him, prove him guilty, send him to segerea for not less than 70 years
 
Hiii drama wanayoifanya Takukuru, sjyo fair kabsa ni sharti wampeleke Mahakamani
Mahakama ikatowe hukumu. Kwa maana tuuma zote zinazo mkabili ni za kweli
 
Back
Top Bottom