Kinuju
JF-Expert Member
- Mar 20, 2021
- 2,390
- 5,310
Mbowe yuko wapi?Anasema imebaki takataka moja tu huko Bungeni, na Bw. corona akitaka kusaidia, Tanzania itakuwa imekombolewa.
Utanisamehe sana kama utahuzunika kwa haya.
Mbowe yuko wapi?Anasema imebaki takataka moja tu huko Bungeni, na Bw. corona akitaka kusaidia, Tanzania itakuwa imekombolewa.
Utanisamehe sana kama utahuzunika kwa haya.
Wamepagawa shujaa wa africa kafaItashitakiwaje wakati mhusika kashatangulia mbele ya haki?
Huyu binti wa kihaya ni mmoja wa wanao jitambua sana.Leo nimekusoma tofauti na nilivyowahi kukusoma hapa JF tokea nikuone hapa.
Heshima kwako.
Labda ujitolee wewe ukashitakiweKwaiyo mhusika amendoka na Tanzania?
Sikiliza hapa:Dstv ni channel gani Mkuu nataka kusikiliza madini
Wee nenda tbc kaangalie kishindo cha awamu ya tanoTangu saa 3 kamili namsubiria Tundu Lisu na PLO Lumumba luningani Star tv lakini siwaoni.
Namuona hayati Magufuli akihutubia enzi za uhai wake.
Kulikoni?
Maendeleo hayana vyama!
Kwani star tv ya Dialo hawaonyeshi?Dstv ni channel gani Mkuu nataka kusikiliza madini
Najiuliza huo ushujaa unaazia wapi?Wamepagawa shujaa wa africa kafa
Ushujaa wa kuteka na kupoteza watuNajiuliza huo ushujaa unaazia wapi?
Star tv na kiss fm au dstv namba853Kituo/channel gani?
Bado tunafuatilia tuone kama utapata linkWengine tupo mbali na TV tupeni update , kuna live streaming?
Kuna nafasi ww piga simLisu anasemaje kuhusu Tanzania kushtakiwa MIGA?