GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,866
- 11,100
Members, Kila wakati huwa nasema tatizo la watanzania ni English, English au kiingereza.
Kama hakuna mtu anakuongelesha kiingereza kwa ufasaha kila siku lazima usahau
Ofisi nyingi za Serikali Tanzania wanaongea kiswahili, Wafanyakazi wengi wa serikali tena graduate walishasahau kuongea kiingereza kwani ofisini wanaongea kiswahili masaa yote.
Ni sekta binafsi tu ndizo nyingi zinatumia kiingereza kwani zina muingiliano sana na wataalamu wa kizungu, Kihindi na kiarabu, Kuna ofisi za private sector hapa Tanzania watu wanagonga english masaa ishirini na nne
Tuwatumie watu wenye akili kubwa kama Taifa,Watu wanaosifia tu na kumpeti peti Mama yatatugharimu zaidi.
Tunakusanya tozo mabilioni lakini zote zinakwenda kulipa faini za kijinga kwa ushauri wa wajinga wachache walioshauri mamlaka ivunje mikataba ovyo.
Declaratiob of Interest,Mimi ni mwana ccm lakini linapokuja hoja za Tundu Lissu hakuna mwana ccm mwenye uwezo wa kuzijibu zaidi ya watu kuporomosha matusi tu.
Wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka 2020 nilipandisha nyuzi hapa kuhusu hoja za Tundu lissu zilizoelezea uhuru na maendeleo ya watu. Alipingwa sana kwa matusi na wana ccm lakini Rais Samia alipopokea nchi akakiri kuna tatizo la demokrasia na uhuru wa watu.
Tundu Lissu kila siku anaonyesha matobo makubwa kwenye sheria zetu na katiba yetu. Suala la mikataba ya madini alishauri hapa kuwa tutakuja kushtakiwa kwa sheria za kimataifa lakini wana ccm tuliishia kumuita sio mzalendo anatumwa na mabeberu.
Tundu Lissu alishauri kabla ya kubadili sheria zetu lazima kwanza Serikali ya Tanzania ijiondoe MIGA au Serikali ya Tanzania iiambie Dunia kuwa sasa inajitoa kwenye mambo yote ya kimataifa ndio ianze mambo ya kujitoa kwenye mikataba midogo midogo.
Cha kushangaza Serikali inapenda pesa za kimataifa toka IMF na World Bank na hawajavunja mikataba yao na IMF na WB bali wanataka kuzichezea kampuni zinazotaka kwenye nchi zinazoshikilia mpini wa Fedha wa dunia.
Tuache mambo ya upinzani pembeni ifike mahari tuwatumie watu wenye powerfully brain kama Tundu Lissu,Kama Taifa sioni tatizo la kuwatumia watu wenye akili watusaidie kuliko kuendelea kukumbatia machawa wanaofikiria kujaza matumbo yao.
Tundu Lissu ameonyesha matobo makubwa kwenye sheria zetu na ni moja ya watu hata Mimi Mwana CCM alinifanya nianze kupenda kusoma Sheria na historia ya nchi hii.
Tundu Lissu amewapa mwanga maelfu ya Watanzania akiwa bungeni na kuwafanya Raia wengi watambue haki zao na muundo wa serikali yao.
Hakuna ubishi, moja ya watu waliolifanya Bunge la Anna Makinda na Spika Sitta lipate heshima na kugoma Bunge litumike kama rubber stamp ya serikali ni Tundu Lissu.
Mama Rais Samia muite Tundu Lissu ongea nae akueleze sheria zenye utata kuanzia sheria zinazohusu Jeshi la Polisi, Takukuru na hata muundo wa katiba yetu.
Wanachotuzidi wazungu ni kuwatumia watu ambao ni powerfully brain bila kuangalia status zao.
Newton Isac na Einstein Albert hawakuwa na ushawishi kwenye tawala za enzi hizo lakini akili zao na uwezo wao wazungu wanautumia uvumbuzi wao mpaka sasa kuitawala dunia, Lakini bado Afrika tunahangaika kukariri darasani kazi zao
Kwenye hizi kesi za madini, Tundu Lissu ameibuka mshindi na sio mshindi tu ametuonyesha kuwa yale anayoongea ndiyo yanafanyika huko Dunia ya kwanza.
Prof aliyemdanganya JPM leo anaabishwa na kudharirishwa kwenye mahakama za kimataifa, Prof hajui sheria za kimataifa na kiingereza chake kama cha Mimi Gussie wa Makete
Long live Tundu Lisu