Tangu saa 3 kamili namsubiria Tundu Lisu na PLO Lumumba luningani Star tv lakini siwaoni.

Namuona hayati Magufuli akihutubia enzi za uhai wake.

Kulikoni?

Maendeleo hayana vyama!
 
Dstv ni channel gani Mkuu nataka kusikiliza madini
Sikiliza hapa:
 
FUATILIA HAPA
Dondoo
kwa mara ya kwanza Lissu katoa salamu za rambirambi
 
Wengine tushachoka na siasa kura hatupigi tena sjui bunge ,mahujiano yao hatuangalii tena hata akiteuliwa mbuzi badala ya mtu pia sawa

Tuko na mambo yetu maana hii nchi ishakuwa shamba la bibi kitambo hakuna wa kumuamini
 
Unafiki tu baada ya kusemwa saana.
Lisu nilikua na mkubali Sana lakini Ana vichuki Fulani na mtu wa visasi Sana . Nafikiri kiongozi hafai labda kiuhanarakati na pengine angejiunga na vikindu vya waasi msituni tu maana wanaaminigi ktk kuua na kulipiza kisasi tu.
Angepata credit na kuonyesha ukomavu wake kipindi cha msiba lakini ndo alikua Ana kenua meno yote 32
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom