Unafiki tu baada ya kusemwa saana.
Lisu nilikua na mkubali Sana lakini Ana vichuki Fulani na mtu wa visasi Sana . Nafikiri kiongozi hafai labda kiuhanarakati na pengine angejiunga na vikindu vya waasi msituni tu maana wanaaminigi ktk kuua na kulipiza kisasi tu.
Angepata credit na kuonyesha ukomavu wake kipindi cha msiba lakini ndo alikua Ana kenua meno yote 32
Wewe mwenyewe hapo umekwishajitambulisha kwamba huwezi kukubaliana naye kwa lolote, hata kama angetoka machozi ya damu kumlilia uliyemwabudu.
 
Back
Top Bottom