Tundu Lissu anastahili kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA lakini siyo Rais wa Tanzania

Hakuna mwanasiasa mwenye visasi kama Edward Lowassa!! Uliza tuliokuwemo kwenye power corridors tukusimulie.
 
Pamoja na ukweli kwamba ndugu yetu Tundu Lisu alipatwa na majanga makubwa na ya kusikitisha sana pale aliposhambuliwa na majambazi lakini hiyo siyo sababu ya kupanda roho ya kisasi ndani ya moyo wake...
Nani alikuambia alishambuliwa na majambazi?

Yani eneo lenye ulinzi kwa wabunge ashambuliwe na majambazi ulinzi 24/7?

Why tangu hiyo 2017 hatujawahi sikia tukio hata la mbunge kukwapuliwa pesa huo mtaa?


Na unapozidi kujichanganya ni kusema majambazi wengine wanasema wasiojulikana!
 
Nimefuatilia kwa karibu harakati za wakili msomi Tundu Lisu tokea aingie nchini kutoka Ubelgiji hadi sasa anapogombea urais wa JMT...
Kwani Raisi wa bongo inabidi aweje?

Kama Mwinyi ambaye yeye na mke wake walishiriki wizi wa dhahabu,au kama Mkapa aliyeuza mashirika yote ya umma(Rejea NBC,na Tanesco kupitia net group solution), kwa bei ya kutupa?

Au Kikwete ambaye kipindi chake nyara za serikali kama Twiga, walisafirishwa na Ndege za kijeshi kwenda Uarabuni,au huyu jiwe,aliye isigina Katiba ya nchi,bila huruma?

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na ukweli kwamba ndugu yetu Tundu Lisu alipatwa na majanga makubwa na ya kusikitisha sana pale aliposhambuliwa na majambazi lakini hiyo siyo sababu ya kupanda roho ya kisasi ndani ya moyo wake.....
Inashangaza kuona wakili mbobezi ana hujumuiwa kirahisi hivi. Kuna watu wanamlisha matango pori na yeye anabugia bila kutafuna.
 
Mnachekesha kweli kweli mara mmekuwa washauri wa CDM ushauri huu pelekeni pengine sio CDM naona kama wamejitosheleza vile. Naona mnajitahidi kumgombanisha Lisu na Mbowe kwa nguvu zote.
 
Mnachekesha kweli kweli mara mmekuwa washauri wa CDM ushauri huu pelekeni pengine sio CDM naona kama wamejitosheleza vile. Naona mnajitahidi kumgombanisha Lisu na Mbowe kwa nguvu zote.
Walishafeli kabla ya kuanza.
 
Back
Top Bottom