Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,797
Wewe na unao washabikiwa hawawezi hata kuchaguliwa tuu.Mtu yoyote mwenye akili timamu anaweza kuwa rais wa Tanzania. Kazi ambayo JK na Magufuli wameweza, nani atashindwa?
Wewe na unao washabikiwa hawawezi hata kuchaguliwa tuu.Mtu yoyote mwenye akili timamu anaweza kuwa rais wa Tanzania. Kazi ambayo JK na Magufuli wameweza, nani atashindwa?
Umeshapanic!Huo uhalo wako kamwambie mke wako, Tundu Lissu anafaa kuwa Rais wa dunia siyo Tanzania tu
Mimi ni kada wa kawaida tu bwashee!Na wewe johnthebaptist unapaswa kuwa nani hapo Lumumba.?
Boss pole sana,huyu Lisu amebadilisha hali ya hewa kwa kweli,naona sa hivi hubanduki mtandaoni kabisa..Nimefuatilia kwa karibu harakati za wakili msomi Tundu Lisu tokea aingie nchini kutoka Ubelgiji hadi sasa anapogombea urais wa JMT.
Kiukweli ingependeza sana kama Tundu Lisu angekuwa ndiye mwenyekiti wa Chadema kwa sababu anamzidi sana Freeman Mbowe kimaarifa na kwa kukubalika.
Lakini kwa nafasi ya Rais wa Tanzania bado hatoshi, angejiandaa kwanza labda kwa 2030 anaweza kuwa amejijengea uwezo.
Itoshe tu kusema kwa urais TAL anapaswa kusubiri.
Maendeleo hayana vyama!
Kweli kabisa, rahisi mahili na Magufuli atabaki kuwa Rais mahiri.Huu ni wakati wa kufanya maamuzi, nyuma usibaki mlengwa unayefanya makuzi...
Natoa hoja ili jamii ijadili, tundu lissu atabaki kua rahisi mahili
Siku hizi umekuwa mpanga nafasi za kazi?Nimefuatilia kwa karibu harakati za wakili msomi Tundu Lisu tokea aingie nchini kutoka Ubelgiji hadi sasa anapogombea urais wa JMT.
Kiukweli ingependeza sana kama Tundu Lisu angekuwa ndiye mwenyekiti wa Chadema kwa sababu anamzidi sana Freeman Mbowe kimaarifa na kwa kukubalika.
Lakini kwa nafasi ya Rais wa Tanzania bado hatoshi, angejiandaa kwanza labda kwa 2030 anaweza kuwa amejijengea uwezo.
Itoshe tu kusema kwa urais TAL anapaswa kusubiri.
Maendeleo hayana vyama!
Nimefuatilia kwa karibu harakati za wakili msomi Tundu Lisu tokea aingie nchini kutoka Ubelgiji hadi sasa anapogombea urais wa JMT.
Kiukweli ingependeza sana kama Tundu Lisu angekuwa ndiye mwenyekiti wa Chadema kwa sababu anamzidi sana Freeman Mbowe kimaarifa na kwa kukubalika.
Lakini kwa nafasi ya Rais wa Tanzania bado hatoshi, angejiandaa kwanza labda kwa 2030 anaweza kuwa amejijengea uwezo.
Itoshe tu kusema kwa urais TAL anapaswa kusubiri.
Maendeleo hayana vyama!
Wewe na unao washabikiwa hawawezi hata kuchaguliwa tuu.
Hahahaaaa.......Katambi yuko Shinyanga kwa manka Salome Makamba!Ndiyo lesson ya Lumumba leo baada kupata sahani ya pilau na soda na paketi ya sigara pamoja na buku saba???
Naona kitambi kiko juu hapo , sasa bora kakojowe ukalale
Nyie huku Jf wote mpaka na familia zenu kura hazifiki elfu moja.Kura yangu nampa TAL. Omba tu akina Jecha wakusaidie. Lakini kwa upande wa kura, ni yeye 2020.
Sasa kama hizi ni moja wapo ya sifa basi jamaa yenu Lissu anazikosa, kama ya utimamu.Mh.Lissu hatoshi kwa vigezo gani labda?Urais ni Haki ya kila Raia wa Tanzania,mwenye umri stahili,mwenye akili timamu pamoja na sifa zingine kama Elimu,Uadilifu,Uwajibikaji,Uzingativu na Kufuata Katiba ya Wananchi.Kama huyu wa sasa na waliotangulia walitosha,anashindwaje Mh.Lissu?
Usituletee kisiraniNimefuatilia kwa karibu harakati za wakili msomi Tundu Lisu tokea aingie nchini kutoka Ubelgiji hadi sasa anapogombea urais wa JMT.
Kiukweli ingependeza sana kama Tundu Lisu angekuwa ndiye mwenyekiti wa CHADEMA kwa sababu anamzidi sana Freeman Mbowe kimaarifa na kwa kukubalika.
Lakini kwa nafasi ya Rais wa Tanzania bado hatoshi, angejiandaa kwanza labda kwa 2030 anaweza kuwa amejijengea uwezo.
Itoshe tu kusema kwa urais TAL anapaswa kusubiri.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa.......Katambi yuko Shinyanga kwa manka Salome Makamba!