Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 40,527
- 69,435
NRNETAML Mbeba maono, Jiwe kuu la Pembeni.
No Reform No Election Brethrens.
NRNETAML Mbeba maono, Jiwe kuu la Pembeni.
No Reform No Election Brethrens.
HahahaKapuku wee !!
Pia kwa utumishi wake katika jamii ni wazi kama zingelikuwepo kashfa zinazohusiana na maisha yake basi zingelikuwa zimewekwa wazi, labda kwa kupitia uzi huu atokee mtu wa kutuwekea wazi ujinga aliowai kushiriki kama kweli upo.Kwa profile yake ni wazi TL ana elements zote za uzalendo na wala hahitaji kujivalisha maskafu na tai za bendela za taifa kuprove hili.
Waliomfahamu tangu shule za awali uwezo wake kitaaluma ulikuwa juu lakini zaidi alitenda kulingana na anchokiamini. Hiyo ni kwa shule ya msingi, Iliboru, Galanosee, JKT na hata chuo kikuu.
Ukienda katika kuitumikia jamii hasa nafasi yake ya ubunge, hapo tunamrejea Ruge Mutahaba kuwa teknolojia na Mungu havidanganyi kwani maktaba ziko wazi kumsikiliza alichosimamia na kukiamini.
Pia kwa utumishi wake katika jamii ni wazi kama zingelikuwepo kashfa zinazohusiana na maisha yake basi zingelikuwa zimewekwa wazi, labda kwa kupitia uzi huu atokee mtu wa kutuwekea wazi ujinga aliowai kushiriki kama kweli upo.
Kwa maana hiyo atakayejitia kuzima nyota yake anatakiwa awe makini maana anaweza kuzimika yeye.
The living testmony....TAL ✌️
No reforms no election
Uzi wa hovyo sana huu. Mods futeni
Liji Tundu LissuWana JF kuna mahali tulipitiwa na kujisahau.. Tulipaswa kuwa na mada maalum ya Tundu Antipas Lissu.
Mwanasheria nguli, mwanaharakati wa haki za binadamu na sasa mfungwa wa kisiasa wa kesi ya uhaini na mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanganyika
Ana historia yake maalum .. Ana mengi mazuri ya kiwango kaifanyia Tanganyika.. TUMUENZI SASA. NI WAKATI WAKEView attachment 3381742
(7,029) Historia fupi ya maisha ya shule ya Tundu Lissu | JamiiForums Historia fupi ya maisha ya shule ya Tundu Lissu